Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 12, 2011

PICHA ZAIDI ZA KAOLE DAY-MAGOMENI

Bi Mwenda,Nina,Kemmy wakicheza ngoma

Kwakweli Chopa sijakuelewa bado....

Nami niliingia ulingoni....

Wana wa Kaole haooooo

Wapiga ngoma wakiwa makini

The great na Nina peke yetu ulingoni...chezea ngoma ya asili wewe..

Mzee Pembe na Kemmy peke yao ulingoni

Chopa na Rechal sijawaelewa bado ulingoni

Mboto,Bupe na Kadada sasa zamu yaoooo

Ikafika wakati wa kuimba tukapanda kuimba nyimbo tulizopenda kuimba sana katika bendi yetu ya Kaole kipindi kile,nyimbo kama Pesa position ya Franco na TP ok Jazz,Afro,Dunia tunapita,Kitambaa cheupe ya King Kiki,na Siwema.

Katika vocal nipo mimi,Chiki na MC kenyata....hakika hata mpangilio wa sauti ulikuwa ni mzuri sana japo hatujafanya mazoezi kwa mda mrefu

Johari alikuwepo,enzi zile Kaole alijulikana kwa jina la Naima au Mande kabla ya kuitwa Johari

Maya akaona akae counter kabisa asisubirie kuletewa....

4 comments:

Anonymous said...

asante kutuwekea wakali wazamani, nina nsingemkumbuka. asante zaidi nimemwona dadangu wa damu kemmy´.

kokusima

Anonymous said...

am happy nimemuona maya,napenda kazi zake huwa ametulia hatumii nguvu nyingi wakati wa kuongea kwake like others.nawengine jamani wamuige yeye.

Anonymous said...

nimeiona the shock ni nzuri sana
kwa kweli shady ni binti mzuri sana na amecheza vizuri sana tena sana namfananisha sana na wema sepetu kaza buti binti utafika mbali.

Zubeda.

Anonymous said...

Hi mi naitwa Saida nadhani hunifahamu nami nilikuwa kaole zamani nimefurahi kuona wasanii wenzangu