Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 29, 2011

SCENE ZA MWISHO MWISHO ZA THE SHOCK........

Wadau The Shock ndio inamaliziwa maliziwa location katika scene za mwisho mwisho hivyo jiandaeni kwa kuipata tayari .......verry sooooooooooooooooooooon....

14 comments:

Anonymous said...

mdada mzuri kwa kweli,kwa sifa tu tumpe sijui movie itakuwaje.atautetea uzuri wake au ndo...

Mimi said...

TUNAISUBIRI KWA HAMU THE SHOCK I HOPE ITAFUNIKA FILAMU ZOTE. JAMANI ULIPOTEA ULIKUWA WAPI KAKA?

Anonymous said...

Mdogo wangu Kanumba Hongera sana kwa juhudi zako!! Ila mie nina swali UTAOA lini??? Coz unaigiza na wadada wengi warembo nawe ni mtoto wa kiume kweli huingii tamaa??? Kama huyo binti wa sasa hivi kazuri kweli kwa muonekano SIJUI tabia na pia mmeendana sana na mnapendeza kuwa mke na mume kwakweli. Pia ukitaka uwe mkaka mzuri au ubaki kuwa Handsome as you are,usiwachakachue wadada wa kila aina uwe na mmoja tu na uwatolee nje wadada watakao kutaka utona HESHIMA yako itakavyo kuwa kubwa! NO kashfa wala nini!!! Though watakwambia unaringa lakin MUNGU wako ndio anajua!! So uwe na tabia nzuri mdogo wangu!!. Nakutakia mafanikio mema zaidi.

Anonymous said...

kazi inaonekana nzuri sana.

Anonymous said...

Apunguze cream ana rangi nzuri tuu.........
Sylvia kapigwa chini kwaajili ya hicho kidemu unatisha kaka......
Very close nasikia............
mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Tunaisubiri kwa hamu

johari madua luwembas said...

its nice!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Kanumba achana na hao akina Slivia, wema sasa wakati wa w kuwa mume umri unaenda pia ili kazi yako zako ziendelee uwe na ubavu wako chagua mke mwema napendekeza awe huyu kwa kuwa uko nae mda mwingi umsome,
kila la heri

azza said...

mmh! mashallah msichana ni mrembo sana sipati picha kwenye hii movie but naona wanaendana sana wema jamani km twins au mdogo wake vile kaka km vipi maliza kabisa tule ubwabwa sie maana mmependeza kweli like wife and hubby....

Anonymous said...

jamani huyo dada me namjua hatumii cream wala nini!mama ake ni mwarabu na baba ake ni mmchame!!!so plz msiconclude mambo kama hujui!!!

Anonymous said...

duu kweli kaka wewe noma, huyo mtoto mfanye mke kwani mmependeza sana kwa kweli. i like the way you guys look.

Anonymous said...

Kaka ulimpenda sana Wema mpaka umepata pacha wake wanafanana sana, fanya kweli bwana kaka kabla akina Shigongo hawajaanza kumweka kwenye magazeti yao manake hawachelewi wapate kuuza magazeti yao

Anonymous said...

mmmh..jamani binti anavutia kuanzia umbo sura kilakitu...Kaka Kanumba nakushauri kama vp fanya jiko kabisa bibie analipa

Anonymous said...

NISUBIRI KWA HAMU SANA HII FILAMU YA THE SHOCK, MZEE WA TWANGA POTEPOTE FANYA KWELI NA HUYO MDADA NI MREMBO SAA THEN MMEENDANA SANA LIKE HUSBAND & WIFE MAFANIKIO MEMA

EMMANUEL said...

Kanumba The Great!!!Kweli unatisha mkubwa,kwa Kuibua vifaa vya ukweli,huyo binti Shaz/Sandry ni mkali ile mbaya hata Uwoya haoni ndani,vuta awe wife wako,the Shock lazima Ibambe..