Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 5, 2011

SHAZ SADRY AITENDEA HAKI THE SHOCK......

Akirekodi scene za gym

Waoh.....

Kujenga mwili ni lazima..

peace and love...nisubirini mwisho wa mwezi huu sokoniiiiiiiiiiiiii

tukipanda mfano wa mlima kilimanjaro

waoh''''

mmmmmh?

Cute???????

THE SHOCK?

Ebu tushuke chini jamani.......

Katika gari kuna camera ikizunguka na hiyo gari kuuzunguka mlima wote ili kupata shot nzuri katika scene hii..

mmmmh...moving mountains

10 comments:

Anonymous said...

kanumba naona kama akuna chemistry baina yenu hapo,lol

Anonymous said...

KAZI NZURI ISIPOKUWA HUYO MWANAMKE ASINGE VAA HIVYO ANGEVAA KOTI NA RABA KUONYESHA KWELI MKO KWENYE MLIMA WA KILIMANJARO.

Anonymous said...

kazi nzuri sana ila kwenye snow na hivyo viatu shaz sidhani nafikiri kwenye mlima kil kuna baridi so..

Anonymous said...

inatakiwa kuwa wabunifu hasa katika kutengeneza matukio ambayo sio halisia lakini yanabeba simulizi halisia; mavazi yenu yanaweza leta picha tofauti kwa watanzamaji; wale wanaofahamu milima snow, na khali ya hewa watajiuliza maswali mengi na ukweli wa simulizi lako; hivyo hata mnapotumia after effect program iendane na ukweli wa simulizi; hongera kwa kazi nzuri

Anonymous said...

Idea ni Nzuri ila naomba hiyo scene irudiwe mkaulizie wapi mtaweza pata vifaa vya kupandia mlima mlima kilimanjaro ya vazi la kata mikono teh teh teh

Anonymous said...

hongera sana kanumba ubunifu mzuri, ila huyo bibie mnaendana sana kama vp awe mchumba

zainab said...

sijawahi ona watu wanapanda mlima na ndala.. labda mtuambie hapo mlikuwa mnafanya mazoezi.. na mtavaa mountain climbing gears ifikiapo muda wa kufanya scene ya ukweli ukweli....

Beauty Touch in Dar said...

Mambo Kanumba, huyo dada namependaga kweli, tuko nae pale Kampala International University, ni kadada kastaarabu, kapole kweli,
USHAURI
Kama walivyochangia wengine, tunaipenda sana kazi yako,ndio maana tunakushauri, hapo mlimani, mngevaa majacket na raba, ingekuwa bomba mbaya, ss kama vipi mngerudia, ili mkitoa kitu kiwe cha ukweli, au sio kaka
PAMOJA SANA TU!!!

Anonymous said...

I have never visited your blog. Congrats! I believe this is not one of bad blogs it appears more proffessional. I like it. Yah like what others have reccommended, you must reflect the reality even if you are acting. climbing the mount Kilimanjaro requires jackets, boots and other staff, just do alittle research on that. this is gonna be a good movie ever. u are very clever. By Honorable

Anonymous said...

hongera kaka,kwa kazi unayo ifanya sasa,pia umeonesha kukua na kukomaa kwa kazi ya filamu bongo kama vile kujaribu kuinua vipaji kama shaz sadry kwenye the shock imekua nzuri sana naye pia amevutia maana tumezoea kuona majina yaleyale kama uwoya,wema,aunt ezekiel,wolper na wengineo...big up