Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 29, 2012

DON'T MISS ''NDOA YANGU''IN APRIL......

JACK WOLPER main character.
SEE HER EYES......wonderful.......
THAT'S MY CAMERA SONY DSR 390,don't ask when u see quality picture in my movie.
My D.O.P is ZAKAYO MAGULU,agree or not when it come for that camera DSR,ZAKAYO MAGULU is the best and number one cameraman in Tz film making.,we ve been working together since.He doesn't go for small small camera with cheap payment.
Look at this pic careful,,,moja ya vitu tulivyotofautishwa na wanyama na ndege ni Akili ya kujua mema na mabaya,tizama hao ndege na huyo mbuzi hawana akili kabisa lakini wanapendana ndio maana unaona wako pamoja ILA binadamu aliyepewa akili ana roho mbaya sana,katika mafundisho ya YESU KRISTO alisema neno kuu nawapeni PENDANENI.hata uwe na uwezo wa kuhamisha milima kama huna upendo ni bure,mpende jirani yako kama unavojipenda,upendo haujivuni,hauhesabu mabaya,hautakabari,hauhusudu.....nk,1WAKORINTHO 13.Mungu ana akili sana kutuumba kwa mwili huu wa nyama laiti kama angetuumba kwa vioo au sightmirror ili uweze kuona mwenzako anakuwazia nini?anakufanyia nini?anapanga nini juu yako ungekuta ni heri ukaishi msituni na wanyama wakari kuliko kukaa na binadamu,katika tafiti zangu nimegundua kuna dawa mbalimbali mfano ya kichwa,homa,nk Lakini dawa ya Chuki na roho mbaya hakuna,,kama hiki kingekuwa kipindi kama kile cha zamani za Sodoma na Gomora au cha Nuhu ambacho Mungu alikuwa akiadhibu hapo hapo watu wengi sana wangeumbuka hasa wale wanaojifanya wasafi usoni lakini rohoni ni tofauti,Mungu atusaidie sana hasa sisi vijana tujue kusimama katika ukweli na uwazi,tuubebe upendo wa dhati toka rohoni huku mdomoni tukitamka amani ya kweli impendezayo Mungu ili watoto wetu waje watuenzi kwa mazuri na dunia ijivunie uwepo wetu.
MSUNGU AND WOLPER REHASING...
THE GREAT SUPERVISING THE REHASAL
CUTE WOLPER READY FOR THE SCENE
ACTION,,,,,,,
MATRIMONY????
SMILE ALTHOUGH UR HEART IS PAINING
FILM LIGHTS HAS TO BE SET ACCORDING TO THE SCENE MOOD AND TIME JS LIKE THIS ONE,,,,,,,,
REFLECTOR INCREASE MORE LIGHT NEEDED FOR THE OUTSIDE DAY SCENES.JS LIKE THIS SCENE.

7 comments:

Anonymous said...

YAANI KANUMBA HAPO UMENENA,,WEWE NDIOMANA NAKUPENDA UNAONGEA POINT,,KUNA WATU WANA ROHO ZA KWANINI,,ILA USIJALI SIKU IKIFIKA YOTE YATAFICHULIWA SASA SIJUI WATAKIMBIA AU WATASIMAMA,,HAYA BWANA NILIKUWA NAPITA TU SINA LAZAIDI

Anonymous said...

Kaka Kingleza uachege kuandika kama huna dictionary pembeni ya kuedit kwani hutumiagi computer utumie spell check jamani halafu mkikosolewa mnakasirika rudini shule jamani au nenda hata Kenya kajifunze grammar basi kama South Afrika na Uingereza ni ghali. Ukitaka kuboresha kazi yako KIMATAIFA ingia vitani KASOME UJINOE VIZURI

ojs said...

big up kanumba and keep it up men, ur good and u know what ur doing.

Anonymous said...

HONGERENI SANA..NIMEIONA ILE MOVIE YA KIJIJI CHA TAMBUA HAKI...KWAKWELI MMEJITAHIDI NA MLIKUJA KIVINGINE KWA KUELEZEZA UPANDE WA PILI WA SHILINGI BILA WOGA...MMEFIKISHA UJUMBE KWA NJIA YA SANAA AU VIPAJI MLIOPEWA NA MUNGU...MUNGU AWASIMAMIE KATIKA HILO NA TUNGEPENDA KUONA MOVIE NYINGINE AMBAYO ITAONYESHA MAOVU YA MJINI KAMA MAHOSPITALINI NA SHIDA NYENGINE ZINAZOTOKEA KATIKA JAMII..MSIWE WA WAOGA....KINGINE KILICHONIFURAHISHA KWAKWELI MOVIE INA VICHEKESHO NDANI YAKE HASA YULE JAMAA ALIANGUKIWA NA EMBE AKADONDOKA MPAKA CHINI KWA WOGA YAANI KIPANDE KILE TULIKUWA TUNAKIRUDIA MARA 3 AU 4...HASA PALE WEWE ULIPOTOA SAUTI YA UPOLE NA KUSHANGAZA UKIMWAMBIA "NI EMBE HILO BWANA" YAANI PALE NDO ULITUUA MBAVU....KEEP IT UP...

Anonymous said...

TAFUTA SCRIPT NZURI UCHEZE NA IRENE UWOYA KWANI MNAENDANA SANA.NAPENDA COUPLE YENU ONSCREEN KWANI WEWE NA UWOYA MKO CHARMING SANA.KWANI MOVI MLIZOCHEZA NA UWOYA ZILIKUWA NA USHIRIKIANO NA RAY.KAMA OPRAH NA OFFSIDE.TAFUTA YA PEKE YENU NYINYI WAWILI KWANI TUNAWAKUBALI SANA.KAZI NJEMA ILA FANYIA KAZI MAONI YANGU.

Anonymous said...

wow...Kanumba congrats we are waiting for that movie kwa hamu sana.

sheelah
From Arusha

Anonymous said...

DONT PUBLISH THIS NIMEJISIKIA TU KUKWAMBI THOUGH SIKUJUI HUNIJUI


kuna mabinti 2 uliwahi kuwadate afu mkaachana NAKUSIFU japo sijui km mligombana au la ila ulifanya jambo jema mmoja anaongoza kwa kupamba magazeti yetu she is a drama qeen. wasiwe maadui zako ila usikae nao karibu hata kdg hasa huyu mmoja huyu hakawii kukuuzia habari yani msalimie ila mkwepe. MAHOJIANO YAKO KWENYE MKASI NILIYAPENDA SN UNAJIBU KM ULIVOULIZWA KWA KIFUPI KBS NA KUELEWEKA. HUNA HADITHI NDEFU ULICHOULIZWA NDO UNACHOJIBU AND THAT IS HOW U SHUD BE AS A CELEB