Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 9, 2012

PLZ PLZ STOP CREATING FALSE STORY(THIS IS CONCOCTION)

TAFADHALI SANA SIJASEMA MANENO HAYO WALA SIJAHOJIWA LOLOTE KUHUSU HUO MTAFUTANO,SASA HIYO NUKUU IMETOKA WAPI??VIJANA WENZANGU EBU TUJIFUNZE KUSIMAMA KTK UKWELI MAANA HATA MUNGU HAPENDEZWI NA UONGO,,Elizabeth Kunbrah Rose alisema ''Only truth will set u free''

23 comments:

Anonymous said...

thats true kanumba!! ur very wise man i can see udaku wanajaribu sana kuwagombanisha na ray dont give them chance.God be with u

Anonymous said...

Hata mi nashangaa! lakini kama kuna tofauti kati yenu simyamalize jamani. Jamani acheni kumchafulia kaka yangu!

Anonymous said...

polee kakangu mweee,nilivyosoma nikashtuka imekuaje waniangusha kwa kukosa busara hivyo,ila sikuamini sana thanx you proved me right and i should still be counting on you as a real model.....go boy,you are great i can tel..may the almighty keep blessing and protecting ya,much love

www.missfbknitwearlyimo.co.uk said...

POLE MY DEAR NDO WALIMWENGU!!!

Anonymous said...

kwani si uwashtaki?

Anonymous said...

hayo magazeti ndivyo yalivyo.angalau wewe una mtandao wako,wa kuelezea kwa upande wako,ila kwa wengine hawana,na wanaosoma wengine wanaamini.ki ukweli,hayo magazeti ya udaku,yanapenda kuandika story ambazo sio kweli,ili wao wauze magazeti.hawajui jinsi gani wanawaumiza hao wanaowaandika.inasikitisha kwa kweli,na huyo mmiliki wa hayo magazeti,ameokoka.kuokoka gani huko,kila siku kuandika habari za uwongo,na kuongeza chumvi ili mradi wauze

Anonymous said...

HEBU ENDELEA NA ILE SYSTEM YAKO YA :-

1. NO COMMENTS
2. LAUGH
3. NTALIZUNGUMZIA.

Anonymous said...

Wape ukweli kaka wamezidi kuwachafuria mastaa nakukubali kaka usipende malumbano nao fanya kazi kaka

Anonymous said...

safi sana mdogo wangu umewakomesha nawachukia sana hawa blog wachonganishi sana usiwape nafasi wewe fanya shughuli zako

Anonymous said...

siku hz, ukweli umekuwa kitu adimu sana, sio siasa, sio elimu, wala sanaa,
KUHUSU IYO ISHU UKWEL WENU UPO MIYON MWENU ,
Siamini wala kupinga, maneno yyte yale kutoka kwa m2 yyte wala sehemu yoyote.
USHAURI: shirikianen mpeleke mbele tasnia hi kimataifa mmepewa dhamana hii na mwenyez mungu , kama kwel ni wacha mungu, amr kuu kutoka kwa mungu ni UPENDO.
I love u!
Matutu-

Anonymous said...

Waswahili husema mti wenye matunda daima hurushiwa mawe be brave Kanu usikubali kurudishwa nyuma hayo mambo wanataka kukudhoofisha tu ktk kazi yako....Mungu akutangulie ww na wote wanaopenda maendeleo...

Milka Richard said...

Cuwashitaki kaka???????kann unawaruhusu wakuchafue,washitaki ili iwe fundisho kwa wengine.Wanatafuta wauze gazeti kwa nguvu,na watashiundwa na kulegea kwa dam ya Yesu na still utaendelea kuwa juu.

Anonymous said...

Hivi Kanumba wasanii hamna kinga ya kisheria? nakasirika sana wanavyowachafua ili wao wapate hela. pls ebu mjaribu kuongea na wanasheria kama kuna msaada wowote katika hili. Its too much

Anonymous said...

hebu acha kupigizana kelele na wajinga, we fanya kazi kama maumivu na wayapate tu. Acha kujibizana unawapa kichwa na watarudia tena kuandika.

Be blessed Boy.

Anonymous said...

Kanumba uko sawa kaka, jamani watu wa magazeti acheni kuwa chanzo cha kufarakanisha watu, hata kama mko kikazi lakini fanyeni kazi zenu kwa usawa why muongope? nyie ndio chanzo cha tifu kwa wasanii fuateni maadili ya kazi sio kuwachafua wenzenu, kijana wa watu ametulia kazi ni kumtafutia 7bu! why acheni hizo banah sometimez mnabore!

Anonymous said...

hivi kwanini mnapenda kuchafua majina ya wa2 haya magazeti yetu yanaongoza kuharibu ndoa za watu, uraki wa wa2 kwa udaku wao hivi watu wakigombana au kutengana nyinyi mnafaidika nini jamani? jaribuni kuwa wa kweli kwa kila kitu achane uongo kwani haujengi bali unabomoa.. pole sana mdogo wangu kanumba

Anonymous said...

Mkuu Kanumba kukaa KIMYA ni moja kati ya njia ya kuepukana na watu wanaopenda kukuchafulia jina. Si lazima ujibu au kuzungumzia chochote juu ya madongo ya adui zako. Watu kama hao huumia moyo sana wakiona huwafuatilii unafiki wao.
"Talk when necessary" bro.

Dismas Hiza
Administrator (www.tulonge.com)
0713 520 629

Anonymous said...

Mkuu Kanumba kukaa KIMYA ni moja kati ya njia ya kuepukana na watu wanaopenda kukuchafulia jina. Si lazima ujibu au kuzungumzia chochote juu ya madongo ya adui zako. Watu kama hao huumia moyo sana wakiona huwafuatilii unafiki wao.
"Talk when necessary" bro.

Dismas Hiza
Administrator (www.tulonge.com)
0713 520 629

Anonymous said...

Hivi kwanini wasanii wetu wanashindwa kunufaika na hayo magazeti, hiyo ni biashara nzuri sana hasa ukizingatia magazeti ya udaku yanaongoza kwa malipo. Habari kuu inakuhusu wewe na asilimia kubwa ya wanunuzi huangalia habari ya kwanza sasa hapo unashindwa ku-negotiate a deal na wamiliki maana wanauza kwa stori za uongo huku wewe ukifedheheshwa na kubakia mtupu.
Fanya kazi hiyo kanumba hicho kitega uchumi kizuri sana

Anonymous said...

ushasema watu wanasema anapaka mkorogo ila yeye hakakuambia hivyo so acha kuuliza pumba,,namsipende kusikiliza ya watu pia watu wanasema yako ila huyasikii unayasikia ya ray

Anonymous said...

Ray usingewaambia watu wa blogpublisher kuwa hii picha uliyopiga na lulu nikwaajili ya film mpya walishajua ila wanataka kukuharibia jina ,,yaani mm nimeshaona waandishi wa habari ndio wambea wachonganishi tena nawachukia to death,,halafu mijitu inayokoment haisomi vizuri inaanza kutukana yaani nachukia,,wewe ukipigiwa sim kuuliza kuhusu picha zako usiwapokelee,,hongera kwa kazi zako uko juu

fadhil linga said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

waacheni kina kanumba na ray jamani mbona mna wivu!!