Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 4, 2012

Film Director Steven Kanumba @ FOFA Africa Filmmakers Festival in Accra, Ghana

Kanumba Poses after a seminar @ FOFA
African Films Screened @ FOFA 2012
FOFA Panelist Champagnes
Kanumba with Anita Owusu-Host of Morning Ride>Top
Entertainment Tv show in Ghana on Metro Tv & DSTV
Steven Kanumba with his FOFA Champagne
On The set of Morning Ride Live TV show in Ghana
The Great Kanumba & his Int"l Mgr-Prince Richard with their FOFA Champagnes
FOFA Staff & other African Filmmakers@the Filmmakers Workshop In Ghana
Sexy Morning Ride Hostess-Anita with Special Guest Kanumba after the Show
Steven Kanumba Chairs the panel on the "Challenges of Filmmaking in Africa" @ Festival of Films in Africa (FOFA 2012) in Accra Ghana

17 comments:

Anonymous said...

Hongera sana. Endelea kumtegemea Mungu. Achana na kelele za watu, most people are not fond of your success. You are a role model to many. God bless you.

kijah said...

Congrats...........

kijah said...

Hongera saaaanaaaaaaaaaaaaa... we mkareeee!!!1

Anonymous said...

Kaka sijaelewa hapo huo mkao na Anitha in short that girl seems that she fits you. You look attractive with her. Kama vipi kaka chukua hiyo kitu weka ndani achana na maceleb wa bongo pasua vichwa. BIG UP KAKA UPO JUU. Achana na wanaodharau kazi zenu za bongo movie.

Anonymous said...

HONGERA SANA KAKA HUYO DADA MBONA ANADEKA SANA AYA KILA LA KHERI .

Anonymous said...

huku si kupozi baada yazi kaka tuweke wazi bwana.

Women Communication blogspot said...

kazi nzuri sana my brother ....hongera mno

Anonymous said...

good work

Anonymous said...

Hongera kwa kazi nzuri napenda sana kazi zako, Keep it up and God Bless You

Anonymous said...

Hongera sana kanumba. Mtukuze Bwana Mungu wako kila siku uamkapo. Amekupendelea kwa kila hali.

Alice said...

congrats Kanumba

Alice said...

congrats Kanumba Mungu azidi kukuinua

Anonymous said...

Binti anaonekana kakuzimikia, au macho yangu? Wadau?

Anonymous said...

hongera sana,but kwenye hiyo picha uliyopose na huyo shore inaonekana umevaa viatu vyeupe bila socks,du kama ndivyo kwanini hukuvaa socks>

Anonymous said...

weweee naee kaka tuweke waziiiiiiii,chaguua mmoja kakaaa wachakachua sanaaaa mpaka ghana? du we kiboko..

Anonymous said...

weweee naee kaka tuweke waziiiiiiii,chaguua mmoja kakaaa wachakachua sanaaaa mpaka ghana? du we kiboko..

Anonymous said...

Yes Kanumba, Anitha kama anafaa kuwa wifi vile, hebu endeleza utafiti kama vipi tangaza ndoa. Umri unaenda kakangu.Pili Hongera saana umefikia kiwango kizuri endelea kumtegemea Mungu afu hizi sign za vidole viwili nadhani zina maana yake hebu achana nazo, ni ushauri tu