Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 4, 2012

Hello Fans this is my new movie in the shops, pls grab your copy now. You need to see me fighting for the people against INJUSTICE.


9 comments:

Anonymous said...

which movie we didin't see it

kijah said...

Ni bonge la movie nimeiona tena cku iliyoanza kusambazwa tu.. hongera sana

kijah said...

Ni monge la movie, nimeiona ilipotoka tu, imenivutia zaidi kwa kumuona muhogo mchungu na Hongera sana kanumba..

Anonymous said...

bro uko juu sana katika industry ya filamu unakubalika. hongera sana

Celine said...

Congratulation Kanumba kwa kutoa movie ambayo inaelezea matatizo ambayo yapo ktk nchi ye2. Ww ni kichwa ktk tasnia hii na hauna mpinzan may be Jb ndo anakufuata ktk kuact. Napenda sana unavyoact coz uko serious na si km wengine wanaoact kizembezembe.big it up ma bro

Anonymous said...

mkbwa kanumba u so clever,i like the move vry interestng

Anonymous said...

Hongera Steven. Ni mwanzo mzuri, na MUNGU azidi kukubariki. Usiache kumshukuru maana YEYE ndiye aliyekupa kipaji hicho. Big Up.

Anonymous said...

umetisha kaka

Anonymous said...

you knw wat ur a hero bro hav never comment in this blog but for this mvie u did it honestly ni nzuri all characters take their place wamekamua mbaya