Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 19, 2012

NEXT MONTH ITS ''NDOA YANGU''me and Jack Wolper.

Hey my fans,The great Steven Kanumba always change from one movie to the other,am not too based in one kind of story/movie,see me in KIJIJI CHA TAMBUA HAKI it was in Village but this one wl be in town talking about marriage ppl how they live.grab ur copy next month.....cheers.
Wolper and I.(husband and wife in the movie)See how we do create nice shot from up.
Wolperrr.....

14 comments:

sophy said...

namkubali wolper hope itakuwa nzuri.

Anonymous said...

Hello Steven Kanumba how are you, sisi ni watanzania tunaishi UK tunapendelea sana movie za kitanzania na huwa tunazipata kupitia jamaa zetu wa huko, big up kaka. Ila tumezoea kuona wanawake hao hao kwenye movie tunaomba cheza movie nyingine na yule dada wa kwenye movie yako iitwayo Fake Smile (Batuli) we love her so much! Na anajua nini anafanya tunamkubali sana huku UK kila mtanzania anaishi huku lazima kwake ana hiyo movie inapendwa sana huyo batuli kaitendea haki. Ahsante na tutafarijika ukitusikiliza Fans wako. God bless you.

Anonymous said...

Hello Steven Kanumba how are you, sisi ni watanzania tunaishi UK tunapendelea sana movie za kitanzania na huwa tunazipata kupitia jamaa zetu wa huko, big up kaka. Ila tumezoea kuona wanawake hao hao kwenye movie tunaomba cheza movie nyingine na yule dada wa kwenye movie yako iitwayo Fake Smile (Batuli) we love her so much! Na anajua nini anafanya tunamkubali sana huku UK kila mtanzania anaishi huku lazima kwake ana hiyo movie inapendwa sana huyo batuli kaitendea haki. Ahsante na tutafarijika ukitusikiliza Fans wako. God bless you.

Anonymous said...

Tunamutaka Batuli please tumemumiss no one like her. Mr bunjulo from USA email mrbunjulo_1999@gmail.com ur most welcome Kanumba I live in USA.

Tinah said...

kiukweli kanumba kijiji cha tambua umefunika nimeipenda sitaki kuongea mengi koz neza kuonekana nakuletea uwshabiki na ray lakini umefunika sana.... umejitahidi,sio kama mwenzako katika movie ya I HATE MY BIRTHDAY dah scene zinaongozana utadhaNI NINI then movie ndefuuuuuuuuu

Anonymous said...

dah mzigo huu utakuwa noumaaaaaa nawatakia kazi njema nayenye mafanikio mema .love u guys

Anonymous said...

Kaka hongera kwa kazi, nimefurahishwa na comment za waliotangulia na wamenikumbusha mbali kuhusu Batuli kiukweli yule dada yupo juu kikazi mpe shavu jipya tumemmiss. Karibuni Canada mje mcheze movie huku.

Anonymous said...

Big my young brother, ingawa binafsi simkubali huyo dada hapo, nimekumbushwa kitu kizuri wa waliotangulia kutoa comment its about Batuli sina pingamizi kuhusu huyu dada a'm 46 huwa ni ngumu kumkubali mtu kirahisi mkamate yule tupe kazi mpya ukiwa nae, karibu Paris Naitwa Mr,Harisson J Nchimbi my I'd is mrharisson_nchimbi@yahoo.uk nimatumaini yangu utasikiliza mashabiki wako kwa msaada wowote tafadhali kuwa huru kwa mawasiliano hayo kama pia itawezekana naomba mawasiliano ya Batuli. Thank you

Anonymous said...

Katika muvie ulizo wahi kucheza ndugu yangu ni kijiji cha tambua haki,ki ukweli hiyo inastahil kupewa pongezi na this i the type of the movie we must watch inagusa society zetu esp. Za ki TZ na inaonekana reserch imefanyika kwa mwandishi wa script hata ukiangalia movie za wenzetu wanaongelea kile kinachowazunguka nawe hebu tumia mwandishi anayependa kufanya reserch before writting usi base kwenye interest rather than what people must not only watch but also see,am proffesional writter i can help u on script development kutokana na muda wangu kuwa limited with no payment naipenda sanaa na nainjoy kufanya kazi.nitaku in box ma phone number.

Anonymous said...

samahani nje ya mada.nimeingia website ya bella naija,nimeona nomination za movies,nigeria 52,south africa 45,ghana 17,kenya 14,uganda 5,tanzania 3.jamani tunashindwa hata na uganda?nina amini kinachotuangusha ni kutokujua lugha ya kiingereza,na kwa tanzania ku act filamu,ni kazi ambayo haina malipo mazuri,na kutopata support serikalini.nina amini,mtu ambae anapenda kwenda mbali ni wewe tu,na ndio maana unajitahidi kushirikiana ku act na wanaijeria ili na wewe upate ujuzi zaidi.which is good

Anonymous said...

mmmmhhhhh....hcho ki2 bla shka kitkua kimepkika vilivyo.. baraka zako uzid kufka mbali bro!

Anonymous said...

mambo kanumba napenda sana kazi zako na ninakukubali wewe ni namba moja ktk waigizaji wa hapa bongo your ara at nex level ndo mana wanachukia si unatjua hata mti wenye matunda ndo unapigwa mawe? hongera kwa hilo kaka pia nata kukushauri blog yako unmebadili lugha sikuhizi kwanini usiwe unachanganya? mana tunaoisoma sana ni sisi watz ni hayo tu
Mama Collin ARUSHA

Anonymous said...

Safi sana bro kanumba lengo nikuelisha na sio kuwapotosha kama ulivyofanya kwenye KIJIJI CHA TAMBUA HAKI fanya kazi bro achana na huyo mwenye muvi zake zilizokaa mbele nyuma nyuma mbele imean rey kaharibu sana kwenye IHATE MY BIRTHDAY naongea hivyo coz mimi nina duka la kanda so kila anakuja anaiponda hiyo muvi ile mbaya na tunaisubiri kwa hamu kubwa sana mungu akubariki

liz said...

hongera bro kazi nzuri