Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 1, 2012

THE GREAT NDANI YA ACCRAH GHANA TAYARI KWA FESTIVAL KUBWA YA FILAMU YA FOFA AMBAPO FILAMU YANGU DEVIL KINGDOM IPO KATIKA FILAMU ZINAZOONESHWA HAPA.

NDANI YA JIJI LA ACCRAH GHANA NDIO NIPO HUKU NA WASANII,PRODUCER,DIRECTORS MBALIMBALI TOKA SEHEMU MBALIMBALI ZA AFRICA KWA AJILI YA FESTIVAL OF FILMS AFRICA,AMBAPO THE GREAT NDIO NIMECHAGULIWA PEKEE TOKA TZ KUWAKILISHA BAADA YA FILAMU YANGU DEVIL KINGDOM KUINGIA KTK FESTIVAL HII,NIKATUMIWA MWALIKO HARAKA NAMI SIJASITA KUJA,TEGEMEA HABARI ZAIDI.

8 comments:

don silva said...

great kaka.... tukiamua tunaweza.

Anonymous said...

Hongera brother kanumba

faustine mtuma said...

kanumba hongera sana nikiwa kama fan wako mkubwa na mtz nadhan hiyo n hatua kubwa kwa filamu zetu za kibongo kutambulika kimataifa nadhan huo n mwanzo tu so endelea kukaza buti

Anonymous said...

kaka mi unajua huwa sikuelewielewi hivi hako ni kamziziz ulikonako au?......haya bhana have agood journey...says your little brother DENNIS

Unknown said...

HONGERA KAKA.TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI UFANIKIWE,IKIWEZEKANA UJE NA TUZO.

Anonymous said...

gud nyuziiiiiiiii kaka yangu wa ukweeeeeeeeee nakupendajeee wewe

Anonymous said...

Congrats kanumba umepiga hatua kubwa sn na ss umeweza kutambulika kimataifa big up

Anonymous said...

hongera........cha msingi focus na life la kiproffesional......majungu tupa kule.........