Star Times
Mercy Beauty Parlour
May 17, 2011
THE GREAT NA RAMSEY NOUAH KAZI IKO HIVI LOCATION.......
hii ni moja ya scene zilizotia fora location.....
May 14, 2011
KANUMBA THE GREAT FILMS YATEMBELEA OFISI ZA TRAVEL PARTNER-DAR ES SALAAM
The great nikiwa na crew yangu katika production tumetembelea ofisi ya travel partner inayohusika na mambo mbalimbali ikiwemo utalii na ukodishwaji wa magari aina zote chini ya mkurugenzi wake Big boss ERICK MASHA,mbali na kufanya shooting hapo lakini pia kujifunza mambo kadhaa yanayoendeshwa hapo.
Kushoto ni Patcho Lukusa Mwamba,mkurugenzi Erick Masha,na The great pioneer songya mbeli babetakalikofi teh ncha ya kisu haipigwi konzi.......
Kushoto ni Patcho Lukusa Mwamba,mkurugenzi Erick Masha,na The great pioneer songya mbeli babetakalikofi teh ncha ya kisu haipigwi konzi.......May 12, 2011
IKO HIVI TENA........
MERCY JOHNSON ANYOA KIPARA KWA NAIRA MILLION 5
Msanii wa movie Nigeria Mercy Ozioma Johnson inadaiwa kalipwa pesa za ki nigeria 5 million kunyoa kipara kabisa ili acheze movie ya Heart of a widow inayorekodiwa Enugu Nigeria na kampuni ya Magic movies,kwa mujibu wa Ramsey Nouah pesa hizo ni sawa na dollar 35,000 au 37,000 piga mwenyewe kwa ki Tz,,,Ilibidi nimuulize Mercy mwenyewe huko Nigeria kama ni kweli lakini aligoma kunihakikishia ni pesa kiasi gani kalipwa lakini majibu yake yalikuwa hivi......''OOOOH Kanumba....yess i got paid well but that was not about money but the script which is awesome.''hiyo ndio ilikuwa sehemu ya ujumbe wake...tizama picha chini....
katika pozi
katika poziMay 8, 2011
May 5, 2011
PATCHO MWAMBA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO CONGO
Msanii mwenzetu Patcho Mwamba Lukusa jana amepatwa na msiba mzito wa kuondokewa na baba yake mzazi aliyekuwa akiishi Congo Mzee LUKUSA MATADI VALENTIN,sisi kama wasanii na rafiki zake tulikatisha shooting na kwenda nyumbani kwake kinondoni kumpa pole kwa msiba huu....Mungu azidi kumpa amani na faraja ya kweli yeye na familia yake.....
Patcho na watu mbalimbali
Patcho na watu mbalimbaliIKO HIVI.......
Subscribe to:
Posts (Atom)














































