Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 12, 2011

MERCY JOHNSON ANYOA KIPARA KWA NAIRA MILLION 5

Msanii wa movie Nigeria Mercy Ozioma Johnson inadaiwa kalipwa pesa za ki nigeria 5 million kunyoa kipara kabisa ili acheze movie ya Heart of a widow inayorekodiwa Enugu Nigeria na kampuni ya Magic movies,kwa mujibu wa Ramsey Nouah pesa hizo ni sawa na dollar 35,000 au 37,000 piga mwenyewe kwa ki Tz,,,Ilibidi nimuulize Mercy mwenyewe huko Nigeria kama ni kweli lakini aligoma kunihakikishia ni pesa kiasi gani kalipwa lakini majibu yake yalikuwa hivi......''OOOOH Kanumba....yess i got paid well but that was not about money but the script which is awesome.''hiyo ndio ilikuwa sehemu ya ujumbe wake...tizama picha chini.... katika pozi


kipara tayari


akinyolewa sasa


ahahahhaha Mercy??


Katika pozi,dada huyu nimeshafanya nae kazi mbalimbali kwao Nigeria na hapa Tz kama Dar to Lagos,My sister,Cross my sin na The director....

8 comments:

Anonymous said...

yea nimesha watch hii move ni nzuri sana

Anonymous said...

wenzetu kweli wasanii

Milka said...

Dah!huyu dada ni mkal sna,binafs namkubal.mpe hongera zake.

Anonymous said...

is they pay her 37000 dollars.so how much u guys are paid for normally? like nigeria acter for 1movie,how much?

Albert said...

Huu ndoo msanii ninaemkubali sana nchini Nigeria kwani anapojivika role hana masiara hata kidogo; anajua ni nini maana ya kazi anayoifanya na ana kipaji kweli. Movie hiyo nitaifata mpaka niipate. Ninavyoona kwenye picha mambo yatakua bomba.
Unaona je the Great ukifanya nae kazi tena?
Albert
Australia.

Anonymous said...

mbona hii habari ya longi na movie ilishatoka?

Anonymous said...

washukuru make up maana mmmmmmh

Archiect said...

haka kadada nilikafeel sana kwenye she is my sister na filamu nyingine kalicheza km sister,kanumba km padri!sidhani km hapa bongo kuna msichana anamfikia...naomba waige hapo!