Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 5, 2011

IKO HIVI.......

Tukiingia....


karibu....


Ramsey akishukuru kwa ukaribisho


Maya akimpaka make up tayari kwa shughuli kuanza...


Uhusika wake haumruhusu kuvaa heleni sikioni hivyo ikabidi atoe....


Maya akiwa makini kabisa kuhakikisha aharibu CV yake....


Kwa umakini sawia....


Majadiliano kuhusu location na setting zake....


Majadiliano kuhusu script tukipitia kila mstari.....


Loh wacha nipate chapati kidogo.....


Akinisaidia kudirect baadhi ya scene huku akihakikisha kama script inafatwa ipasavyo......

8 comments:

Anonymous said...

Safi Mdogo wangu kaza buti.
Mama V

Anonymous said...

Hongera sana kaka Kanumba napenda unavyojituma na nataka nikuambie kuwa kila unapofanya jambo zuri kwenye mind yako put this message; "NOTHING IS IMPOSSIBLE UNDER STRUGGLING" Utafanikiwa

Pia mambo mengine kuhusu tabia jinsi ulivyo hutakiwi kuwa na kashfa muombe sana Mungu uwe msanii wa kuigwa, wewe ni kijana mtanashati ebu jaribu kukaa kwenye njia za kumpendeza Mungu ili akuzidishe zaidi

Mimi huwa nachukia sana unaposemwa kuwa unatabia mbaya ebu jaribu kubadilika kaka yangu, otherwise i wish Good Luck by integrating Ramsey in your movie b'coz i like the Guy

All the best brother

Anonymous said...

Kanumba kaka angu ivi vibinti vyenye majina visupastar a.k.a Pasua kichwa achana navyo vinakuharibia jina yani vinachafua sn sn sn sn na kufanya tukuchukie.Vinakutia hata niksi mana kila m2 anajiuliza Kanumba ana tatizo gani kila mwanamke wanashindwana?? kumbe hujabahatika kila unaepata pasua kichwa.
Mi ni yule nnaeandika comment za kukutukana kuhusu hawa mademu kuna ki2 nimegundua ivo nakuomba msamaha.
Wewe ni mzuri sn usikubali kuharibiwa jina kisa mahusiano tafuta mwanamke ambae hana jina wa kawaida tu yani sio superstar hata km nae atakuwa pasua kichwa ukimwacha hakuna scendo kuliko hawa kina nanihii

Anonymous said...

Hebu Maya awe mwangalifu tusije tukapata kajomba kutoka Nigeria! Maana nikimuona katika hiyo CV yake anayoapply hapo mbona anamsogelea sana huyu jamaa?....Kizito!!

Anonymous said...

safi sana kanumba endelea hivyo hivyo nakukumbuka enzi za jitegemee lakini usushau kitabu bwana kazi na elimu ni bora: nakutakia kazi njema na mungu azidi kukuongoza katika kutuelimisha Watanzania!

Anonymous said...

Safi sna kanumba,komaa hvyo hvyo Mungu atakusaidia.naona cv ya maya nayo inaongezeka ubora kwa kasi,kazen buti

Anonymous said...

kazi nzuri ila ushauri wangu kwa Maya,, wewe ni mwanamke na unaelewa zaidi masuala ya makeup kuliko wanaume na wengineo unaowapodoa,,,,, ila sasa nakushauri ununue brushier ni nzuri kuliko hizo sponge, ujue hata muonekano wake ni

Anonymous said...

whaaooooooo m soo happy for u brotha sina la kusema zaidi yas kukupa hongera na inshallah mwenyezi atazidi kukuongoza,,,