Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 17, 2011

KAJALA MASANJA ASIMAMA KAMA GENEVIEVE NNAJI KWA RAMSEY

Katika movie hii msanii Kajala ndiye anayecheza kama mpenzi wa Ramsey hivyo wasanii wengi location wamempa jina jina la Genevieve kutokana na kwamba Ramsey Nigeria movie nyingi hucheza na Genevieve Nnaji...... Wakisubiria action....


Scene imeanza....


Wakifanya rehasal katika scene ingine....


Kajala akimcheka kidogo Ramsey kutokana na maneno ya kiswahili jinsi alivyokuwa akiyatamka


Kajala na Ramsey katikati ya scene wakiitendea haki movie....

5 comments:

Milka Richard said...

Mbona raha!hizo ndo 2nazozitaka watz,I can't wait 2 see dis movie dah!itafunikaje.

Anonymous said...

hiyo movie itakuwa bomba,big up wasanii wetu...
By rukia kilwanda

Anonymous said...

OOOOH MY! I CAN'T WAIT 2 C Da movie. OYA KANUMBA!! sasa sie wa mbali tutapate hiyo copy ya movie, niko USA-gara kwa O. huwa napenda home (bongo) movie tupe detail za kupata mzigo... please!

Anonymous said...

i can't wait to watch this movie.big up kanumba.i luv kajala n ramsey as well.

Anonymous said...

inaonekana bomba sana hii filamu,nimependa location,nimependa mavazi,nimependa kwamba unakubali kufundishika kwa sasa namuona mara kwa mara ramsey ukimpa nafasi ya kurekebisha baadhi ya vitu hapo location,kwa hali hii utapata mengi Kanumba,hongera endelea kuwa hivyo,Eve hapa