Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 5, 2011

PATCHO MWAMBA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI HUKO CONGO

Msanii mwenzetu Patcho Mwamba Lukusa jana amepatwa na msiba mzito wa kuondokewa na baba yake mzazi aliyekuwa akiishi Congo Mzee LUKUSA MATADI VALENTIN,sisi kama wasanii na rafiki zake tulikatisha shooting na kwenda nyumbani kwake kinondoni kumpa pole kwa msiba huu....Mungu azidi kumpa amani na faraja ya kweli yeye na familia yake..... Patcho na watu mbalimbali


Tukipiga stori nae za hapa na pale....


POLE SANA SWAHIBA PATCHO....

5 comments:

Anonymous said...

Pole sana kaka,mungu kampenda zaidi.Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.May his soul rest in eternal peace.AMEN

Milka said...

Pole sna patcho,kazi yake haina makosa.Mungu akutie nguvu ktk kipind hik kigum unachokipitia.

Anonymous said...

Kufiwa sio kuzuri, na hakuna msiba unaotokea na sisi kuonyesha kuuzoea yaani nina maana kila msiba ukitokea una mshituko wake. Mpe pole sana jamaa huyu mkongoman, mwambie tupo pamoja, Bwana alitoa na sasa ametwaa jina lake lihimidiwe.......Kizito!!

Anonymous said...

duh pole sana patcho na mungu akujalie nguvu, mbele yake nyuma yetu kila mwanadamu atauonja umauti

Anonymous said...

pole sana kaka mana hilo ni pigo kubwa lakini tuamini kwamba ipo siku tutamwona tena ,kazi kwetu tuliobakia yatupasa tuangaze nyendo zetu mana kila nafsi itaonja umauti.pole sana kaka patcho