Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 12, 2011

THE GREAT AWA BALOZI WA OXFAM NCHINI....

Shirika la kimataifa linalosaidia kuondokana na umaskini duniani la OXFAM kwa hapa nyumbani nimechaguliwa kuwa balozi wake nashukuru kwa uteuzi huu naahidi kufanya kazi pamoja kwa nidhamu na ushirikiano.....asanteni. The great pioneer.....


Logo yake....

8 comments:

Anonymous said...

Hongera sana Kanumba.
mwenyezi mungu azidi kukuzidishia baraka.

Anonymous said...

HONGERA SANA MZEE WA TWANGA KOTEKOTE HAYO NDIO MAFANIKIO YENYEWE KAZA BUTI KAKA

Anonymous said...

Hongera sana mzee wa acheni kubeep twanga kote kote!!!

azza said...

hey brothaa! m soo happy for u and i always praying for your good,,,,mie nakuaminia sana na kuombea kila la kheri uzidi kufanikiwa kwani huo ni mwanzo tu kaka goooooooooo.

Milka Richard said...

Hongera sna kakaangu,hayo ndo matunda na baraka za kaz zako unazozifanya.na mungu azid kukufungulia milango,kaza but zaid il ndoto zako zitimie.

Albert said...

Hongera sana Kaka, hope kazi utaifanya vizuri sana!
Albert.

epty said...

GOOD JOB KANUMBA..NATUMAI UTAFIKA MBALI ZAIDI YA HAPO..KIP IT UP!!

Anonymous said...

CONGRATULATION, kip it up kaka