Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 14, 2011

KANUMBA THE GREAT FILMS YATEMBELEA OFISI ZA TRAVEL PARTNER-DAR ES SALAAM

The great nikiwa na crew yangu katika production tumetembelea ofisi ya travel partner inayohusika na mambo mbalimbali ikiwemo utalii na ukodishwaji wa magari aina zote chini ya mkurugenzi wake Big boss ERICK MASHA,mbali na kufanya shooting hapo lakini pia kujifunza mambo kadhaa yanayoendeshwa hapo. Kushoto ni Patcho Lukusa Mwamba,mkurugenzi Erick Masha,na The great pioneer songya mbeli babetakalikofi teh ncha ya kisu haipigwi konzi.......


Tukiwa tumeegemea moja ya gari linalotumika katika utalii


Travel partner number ONE....


kwa pamoja tukawakilisha....


Erick na Jack Pentzel


Production manager wangu na make up artist wangu wa siku nyingi Maya (kamanda) na mkurugenzi wa Travel partner Erick Masha....

3 comments:

Anonymous said...

wow i'am happy to hear that" songya mbeli babetaka likofi teh" system eza ya satonge bya.lokolo moko liso moko.i like that coz i'am congolese.so that's your name now? nice name.take care

Niyonzima Salum said...

Ila mimi sikuelewa ii lugha,,naona ni lingala ao sio,,maana ata sisi wa rundi lingala hatujui(The great pioneer songya mbeli babetakalikofi teh ncha ya kisu haipigwi konzi)

Niyonzima Salum said...

Ila mimi sikuelewa ii lugha,,naona ni lingala ao sio,,maana ata sisi wa rundi lingala hatujui(The great pioneer songya mbeli babetakalikofi teh ncha ya kisu haipigwi konzi)