Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 12, 2011

IKO HIVI TENA........

Ramsey Nouah na The great on the set


Ramsey akikamua vilivyo.....


Kutoka kushoto ni Msungu,Tashy na Beka washiriki ktk movie hii


Wakisubiri scene zao location.....


Kazi ikiendelea...


Kwa mapozi tu ya scene utampenda Ramsey....


mmmh???


Patcho mwamba nae yumo humu akiwa na Ramsey


Swahiba alinitembelea location kuonana na msanii Ramsey ambaye amekuwa akimhusudu kwa mda mrefu na wakapata mda wa kubadilishana mawazo kidogo...


Hapo Maya akimsihi Ramsey akabadilishe nguo upesi tayari kwa kuanza scene yake.......

6 comments:

Milka richard said...

Daaah!burudan tosha,lin ss hiyo move natoka kanumba?tunausongo nayo sna,halafu the shock.mmefunika balaaa,kiwango kinapanda kwa kac ya ajabu kaka.kila move mambo mapya,huo ndo ubunifu wa2 watz wanataka.co ndo kwanza unaanza angalia move,unajua na mwisho unakuaje kabla hata haijaisha.Hongera sna,huyo dada nae kajitaid sna,atakuja wafunika akina aunt na uwoya.akaze buti.

Albert said...

Mimi siwezi ku act na huu jamaa kwani ni super star wa siku nyingi sana, naona presha inaweza ikaniua.
Anyway, congratullations kwa kushirikisha nyota huu, I hope picha hii italeta sura mpya kwenye anga la Bongo movies.
Albert
Australia.

Anonymous said...

Kanumba hongera sana na ninapenda juhudi zako, hasa ulipoamua kuact na super star mwenye experience ya kutosha, i like it since you are able to meet challenges.

Napenda kukutia moyo kuwa lugha isikupe shida kwa upande wangu naona unajitahidi sana na nakushauri ukiwa na muda tafuta mtu special atakaye kusaidia kuimprove language au tafuta shule special kwaajili ya lugha.

Otherwise unafanya vizuri na movie zako ziko juu na huwa napenda sana ukiact na patcho, i like the guy naona hii movie itakuwa siyo ya kawaida naisubiri ikamilike.

All the best

Cheers

Anonymous said...

Hongera kwa kuweza kufanikisha ndoto yako.Nashidwa kutoa much comment sababu sijui hata jina la hii move.But wasiwasi wangu ambao ninauona hapo kwenye vipande vya move ni kuwa mmekuwa na sura za uwoga sana na mpaka inaonyesha ramson ameteka move yote.Hongera kwa kajala anaonyesha fika anatambua akifanyacho.

Anonymous said...

Hongera sana kaka hii inaonesha wabongo pia tunaweza kuvuka mipaka kama wanigeria, keep it up kaka unafanya kazi nzuri saaaanaaaa!

Anonymous said...

kwa kweli Ramsey anamapozi jmn anastahili hongera zake ila anawafundhsha na nyie wajua kuna sehemu zingine ukiweka pozi tu filamu inanoga bila hata kuongea kwa kweli natumaini mtapata vitu vingi sana ktk kwake pig u men

meggie impostra