Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 22, 2011

THE SHOCK...bado inapikwa...

Tukipitia script kwanza kabla ya kushoot scene..

Rehasal kwanza me na Ben kabla ya camera kuwashwa...

Nikisikiliza maneno ya Shaz katika script jinsi anavyoyatamka kabla ya kushoot

Tatizo la umeme ni kikwazo kikubwa sana katika shooting zetu,kuna wakati inabidi tukae tupige story kama hivi umeme ukikatika,sijui ni lini hili tatizo litaisha?Yaani nchi hii Mungu atusaidie sana na tusali sana maana umeme ni wetu,mabomu yetu,wazee wetu nao wanalalamika juu ya mafao yao,machafuko ya kisiasa Arusha......Wapi tunaenda????

Gari yangu ya production ikiwa imebeba wasanii ikifika location

Nilitembelewa na wasanii wenzangu JB,RICHIE,KUAMBIANA katika kutiana moyo katika gurudumu hili..

Nikiteta jambo na JB na Adam Kuambiana.

Kazi ikiendelea..

7 comments:

Anonymous said...

Kanumba jamani huyo mtoto Jeniffer ni komesaha yaani umegundua kipaji na Mungu akubariki nakuzidi kumbariki Jennifer. I love her

Anonymous said...

Kanumba jamani huyo mtoto Jeniffer ni komesaha yaani umegundua kipaji na Mungu akubariki nakuzidi kumbariki Jennifer. I love her

Anonymous said...

napenda Adam anavyo act sana yani anaijua hiyo kazi maana hata akichanganya lugha inakua imeenda shule sio wale wanaochanganya halafu hawajui tenses.. good work man

Anonymous said...

It seems the film is so good, i reallove your films brother K keep it up!!!
Now dys yuo slim, and look handsome,keep it that way.

God bless you.

Anonymous said...

hongera kwa bidii

Anonymous said...

nyumba nzuri kama hiyo imekosa jenereta ?? mashallah hiyo nyumba kama haiko tanzania

Anonymous said...

mambo kanumba,nakupongeza saana wewe ni uko juu ubarikiwe saana ,alafu nilikuwa sijui kama wewe ndie ulikuwa waimba na kwaya ya afc ya changombe,simchezo kaka unakipaji,Mungu akubariki,pia unaupendo huna ubaguzi,naomba kuliza hiyo nyumba pia ni yako?samahani nimetoka nje ya mada nimeipenda nyumba nzuri,mnanajua na wewe unamafanikio saana ubarikiwe sana kaka.mdau sweden.