Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 13, 2011

KATIKA DECEPTION.....

Patcho Mwamba na Rose Ndauka.....
The great na watoto wakinishangaa

Samm(light man) na mtoto Lauren Johnson katka set..

Hii iliniacha hoi...

Mhh????

mtoto ndauka....

.....

17 comments:

Albert said...

Vipi mbona hiyo THE SHOCK hujaitangaza? Imetoka au bado inaandaliwa. This is a big surprise Bro... U didn't say anything about it.
Albert
WA.

sisy upendo said...

hey Kanumba, jamani mimi nampenda sana huyu binti, hasa kwenye hii picha ya decepion ameigiza vizuri sana ila alichoniudhi ni kuacha maziwa nje jamani kwani hawaambiwi jinsi ya kuvaa na hao wanaovalisha jamani waangalie kidogo basi maana pia kwenye hii picha amevaa kanha moja na chupi tu jamani sio sawa kabisa ila mambo mengine yuko poa ni mzuri sana mwambie pia ajiheshimu kwani ndio itakayo mpa heshima katika picha zake zote atakazo igiza ni hayo tu.

Hawa said...

Move nimeiona ipo poa ile mbaya, Rose huwa namzimikia sana anajua kazi na humu nimependa sana alivyovaa vitenge kapendeza ile mbaya (she is beauty) Ila alivyovaa nguo ya kuonesha maziwa cjapenda kbs to be honest!! Mi nafikiri mkivaa nguo za heshma mnapendeza sana kuliko hzo nguo zingine. Badilikeni kina dada wenzangu pliz!! By ma2 wa2

Anonymous said...

du
uzuri alionao sidhani kama kulikuwa na ulazima wa yy kuonyesha maugo yake tena kishambega na kimalaya namna hiyo. wewe binti ndauka wa tanga acha tabia hizo kwanza sio fani yako kukaa uchi. umenikeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

mkuu said...

you must respectr r self girl

Anonymous said...

Rose Ndauka ukivaa nguo za heshima unajua huwa unapendeza sana,yaan kujiacha uchi hvo alaf kuwekwa kwenye mtandao kama hiv wala c dil, utu na heshima yako ni vya thaman sana,ebu jitunze na ujiheshimu kama mtoto wa kike,mwny maadil sawia ya kitanzania, hiv wazan mzaz au walez wako wakiona hvo wanajisikiaje. mfikirie yule mtarajiwa wako ataambiwa nin na rafik zako, je hao mashemej zako wanaokuheshimu pia wakueleweje....acha kujidhalilisha mamii,
ya too cute for ol dat rubbish, respect ya self before we do
take t for real n change
na hata wengine wote waache tabia hyo

any ways.....think globally n act locally pipoz plzzzzzzzzzzz-- mdau

Anonymous said...

Du kwa kweli dada we ni mzuri tena saaaaaana hlf napenda ngozi yako ni natural wala usidanganyike na mikologo kama wenzio hasa huyo wema alivyojichubua, ila binti langu kwako ni kujiheshimu, muhimu dada sasa unavyokaaga uchi huwa unamaanisha nn? au unauza binti sasa upo sokoni? kwa kweli acha kukaa uchi una keraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

movie imekamilika, unaangalia unatamani kujua nini kinafuata? hayo ndiyo mambo yanatakiwa.
Rose please wewe ni beautiful just dress good na watu watamani kujua nini kimejificha ndani ya mavaz yako.

tweety.

Anonymous said...

nafikiri dadahuyo atatekeleza yalio ongelewa na mashabiki wake. bila shaka atalitendeya kazi kwa baadaye. thanks by daniel from USA.

Anonymous said...

Mwanamke Ziwa Bwana! Tako kila mtu analo.............Kizito!!

Anonymous said...

hongera kaka hii movie ya deception ni kali mno yani ukiiangalia huchoki wala haikuboi.
kazi nzuri sanaaaaa!

Anonymous said...

Me nimempenda huyo Shazy wa kwenye hiyo movie mpya ya shock, kwa kweli ni mzuri huyo dada mwee, mimi ni msichana mwenzie lakini udenda umenitoka. Kanumba angalia uvumilivu usijekushinda ukamtosa miss wako

ALPHONCENE said...

ALPHONCENE GERALD
Mimi katika watu naowakubali hasa katika movie zako ni ww KANUMBA. Unanikosha sana na napenda unavyovaa uhusika.
ROSE huwa namkubali sana anavyocheza movie zake, ila asipende kuvaa uchi anajidhalilisha sana,sijapenda alivyoonyesha maziwa. hawajiamini.
NAISUBIRI KWA HAMU ''THE SHOCK''.

sophia mkumbo said...

sophy said

deception nimeipenda kwasababu ya ndauka na ww ulivyo kuja kitofauti hongera jitahidi ww ni muigizaji mzuri sana hilo halina ubishi bt effort ziongezeke kwenye kutunga

sophia mkumbo said...

sophy said

deception nimeipenda kwasababu ya ndauka na ww ulivyo kuja kitofauti hongera jitahidi ww ni muigizaji mzuri sana hilo halina ubishi bt effort ziongezeke kwenye kutunga

Ras 1 Eddy said...

Jamani mwachieni Rose aringie vitu alivyopewa na mama yake,huyo ni muigizaji hizo nguo ni za maigizo na mwili anao wa kuigiza tena mnataka nini,avae baibui?

Ras 1 Eddy said...

Jamani mwachieni aunty Rose aringie alivyopewa na mama yake,wengine wanaenda kwa mchina,na pia yeye ni muigizaji,nguo ni za uigizaji na mwili anao wa kuigiza tena mnataka nini,avae baibui?

You are looking delicious Rose, mmh,mmh,mmmmh