Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 8, 2011

NIMESHARUDI TZ...

Baada ya kumaliza ziara yangu U.S.A na sasa niko nyumbani na mda si mrefu ntaanza kazi kama kawaida maana mimi ni kazi tu maneno sijui, Mwaka huu 2011 mwendo wangu utakuwa ni huu wa MBIO tu.....sitotambaa wala kutembea bali nitakimbia na kukimbiza maana naipenda kazi yangu,nimejifunza mengi Hollywood,nimepumzika vya kutosha,nimenunua vifaa vinavyonifaa ktk kazi yangu sasa ni mbio.

27 comments:

Anonymous said...

Kila la heri Kaka.

Anonymous said...

Hongera wachawi lazima wafe kanza buti kaka.

Albert said...

yahoo.fr

Albert said...

Good boy!
Asiefanya kazi na asile Bro...
Albert
WA.

Anonymous said...

very nice kanumba, achana na maneno ya watu, kuvaa kupo tu, wewe fanya kazi, upo juu sana hakuna anae kufikia hata kidogo.Mavazi yapo tu, nimesoma mara nyingi maona ya wadau lakini kuna mdau mmoja anaboa sana badala ya kushauru maendeleo anaongelea kuvaa tu, huyo ana wivu achana nae.
ATOWN

Anonymous said...

Kurudi kwako unakimbia ndo ukamgonge babu wa watu na kumwacha bila msaada??? Shame on you. Nenda haraka kamsaidia acha roho mbaya.

Anonymous said...

Kurudi kwako unakimbia ndo ukamgonge babu wa watu na kumwacha bila msaada??? Shame on you. Nenda haraka kamsaidia acha roho mbaya.

Anonymous said...

Haya Uncle tunangoja tuone hizo mbio, maana wenyewe wanasema mbio za sakafuni huishia ukingoni sasa sijui za kwako ni za wapi. Have a GOod time. Imani from Zanzibar.

SIMON KITURURU said...

Karibu Nyumbani na kila la kheri katika shughuli Mkuu!

Anonymous said...

angalia ukikimbia mbio sana utaanguka bado tunakuhitaji tena mno!

Anonymous said...

hongera kwa kujituma ndugu! as days goes on kazi zako zinazidi kua nzuri especially movie yako ya DECEPTION ni kali ile ile yani to me that is the first movie ya kibongo kuiangalia mara mbili kwa kweli you r good dude.

magie.

Anonymous said...

NAONA KAMA UNANYATA VILE.............

Anonymous said...

Welcome back bro. Katika kazi zako muusishe Coletha, huyu dada tunamzimia sana sana, anajua kuact sana na na mvuto. Pliz do that.

Otherwise keep it up, na umuweke Mungu mbele

Anonymous said...

tunakukubali sn ila mavazi yako bwana hpn mi kila siku sitaacha kuandika hata km hutoi comment zangu najua zinakufikia unavaa vitshirt vya kukubana sn bwana mpk vina kutoa nyonyo kuna body tyt za kiume zimetulia sn na sio vitishirt unavovaa hata ray pia
Suti zako nyingine za kishamba pia yani zina rangi sio quality nyingine km zinameremeta mara mistaristari we hufanyi komedi unafanya drama ivo mavazi yanamata pia
Pensi na tai nayo hii hpn jamani kazi yako ni ya kiwango usiwe km kina kingwendu wanavaa vyovyote umetoka na mamiss wengi hawakwmbii?????

Anonymous said...

Huna jipya zaidi ya kupenda sifa za kijinga ndio maaana mashabiki wako ni watoto. naona ulikuja kushangaa huku US pole sana

Anonymous said...

Mtakufa na vijiba vya roho, jamn mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Wewe unaumia nini Kanumba kwenda US, eti washabiki watoto mbona mi mzee!!! au watoto kivip, describe!!? we mwenyewe shabiki ndo maana kila kukicha hukosi kwenye blog ya kanumba

Watoto wanahela za kununua CD!!! angekua hapo leo!

Zamaradi Mgonja said...

Rudi unakimbia tu.. ila 2011 badilisha aina za mavazi.. uanze kuvaa Suti za maana.. suti za mingaro na maua maua achana nazo.. kama umeenda kutafuta ujuzi hollywood nahisi basi hata ujuzi wa mavazi utakuwa umechukua... hizo suti za mingáro kama PIMP its a No No hata kama zinauzwa expensive kiasi gani.. ila bado ni low quality na ni za kishamba....
Bora uvae mavazi ya kitamaduni mara mia kuliko hiyo mingáro ya suti..
kuna mtu keshazungumzia kuhusu vibodi suit.. kama unapenda sana kuvaa vibodi suit fanya diet na mazoezi upungue kwanza ndo utapendeza na body suit otherwise bado sana....

Watu wengine bwana wivu niutoe wapi maisha yangu mie na ya kanumba siwezi hata kufikiria kuwa na wivu km mavazi hayana mana wangekuwa wanaazima zizou si wangevaa tu bora kuvaa we vp avae basi hata km kingendu muone km hamjamponda.
Wasnii we2 wakiigiza maisha ya kijijini au uswazi wanapatia sn mavazi lkn wakishaleta maisha yao ya high class ndo wanavurugaga secretary anavaa kimin cha jeans umeona wapi hata magogoni chuo sio ivo labda viofisi mshenzi lakini ofisi za kina Kanumba kila cku matawi lazima mavazi yamate

una wivu wewe tu,hana jipya wapi.?hiyo machine,mwaya kanumba kaza buti nakuzimikia

Anonymous said...

Kanumba your the best Actor bongo ila usilewe misifa. Ila nikwambie kitu kimoja wabeba mabox wanachonga sana wasikubabaishe kwani wao kazi yao kuponda kazi unapiga uko juu na utazidi kung'ara kaza buti kijana kwani unajengea heshima nchi yetu. Ila angalia comment zenye kukusaidia kukujenga wewe uweze kujiboresha wewe km wewe achana na zenye kukatisha tamaa hao ni wabeba mabox hawana adabu kazi yao kujiona wajuaji kuliko wabongo wamesahau wametoka wapi, kwani wao walivyofika u.s hawakushangaa??? Wananini zaidi ya kushindia burger na biscut hamna mwenye kazi yamaana kazi kuchonga

Anonymous said...

Kama katoka na mamiss wengi kunahusika nini na kazi zake???????????????

mamisi kwa makubaliano yao na starehe zao, hapa tunazungumzia kazi zake ziwe nzuri na afanye nini iliafike mbali na aweze kutuletea mapinduzi katika filamu za wabongo ili tuweze kutambuliwa na sisi kidunia.

sasa mavazi na mamisi hapa yanatoka wapi jamani, muandika hii comment kaka yangu Kanumba inaonyesha ni mwanamke hebu mtafute faragha maana anapenda kutuchafulia hali ya hewa??????????

mtafute mrekebishane pembeni basi maana tunachoka mavazi mavazi mavazi huchoki??????????? Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Kama unaona alikuja kushangaa, basi kashangaa kasharudi hivyo uliumia kuja kwake US au?????????

Tumewachoka sana na kashfa zenu hebu nyamazeni wengine jamani

msipende kuwavunja watu mori wa kazi au kuwakatisha tamaa.

Kama rahisi heb fanyeni na nyie muone kama mtaweza. waacheni wenzenu wamejaariwa na Mwenyezi Mung ndio mipango ya Mungu hiyo, hata musemeje hamuwezi kuwaharibira.

Jamaniiiiiiiiiiiii mbona kazi sana hii ngozi nyeusi mwe!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

ubinadamu ngumu sana!! mnataka kanumba avaaje? mdogo wangu unapendeza sana unavyovaa watu wasikubabaishe hao wenyewe hawana cha kuvaa, usisikilize ya watu we piga kazi kazi zakko ziko juu na zinapendwa na rika lote si wazeee si vijana wote > nachoomba msibadilishe badilishe maactor kwa mimi na pendelea kuangalia filam yako na kuwaona wale wale ma super star, vipi johari hamuact naye now days?

Anonymous said...

kaka wewe noma unaweza anae kukataa shauli yake na maisha yake au sio ?????