Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 27, 2011

BONGO FLEVA FC WASHINDA GOLI 2-0 DHIDI YA BONGO MOVIE FC

KATIKA UWANJA WA TAIFA KULIPOKUWA NA MECHI KATI YA BONGO FLEVA FC NA BONGO MOVIE FC ILIYOFANYIKA KWA LENGO LA KUCHANGISHA PESA KWA AJILI YA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO TIMU YA BONGO FLEVA IMEIBUKA NA USHINDI WA 2 KWA 0 HIVYO SISI WAZEE WA FILAMU TUMETOKA NA SAHANIIIIIIIIIIIIIIIII.........HONGERA BONGO FLEVA FC ILA TUNAOMBA MARUDIO. Timu zikiingia

tayari kwa kuanzaCP akitoa burudani huku orijino comedy wakimsindikizaJearad toka STEPS,Me ,Mama Dotnata na Mr.Posh

Umatiii

uwanja ulifurika

Timu zote zikiingia uwanjani

1 comment:

Anonymous said...

kanumba mbona wewe hukuweko ktk mpira umechenga sio?