Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 16, 2011

THE GREAT KAZINI NA ...''''THE SHOCK''.....

Kama nilivyotangulia kusema hapo mwanzo kuwa mimi maneno sijui ila kazi tu,ndio hivyo nimenza kushoot movie yangu mpya mara baada ya kumaliza ziara yangu HOLLYWOOD(USA),Jina la movie ni ''THE SHOCK'' Katika movie hii nimeendelea na utaratibu wangu wa kutambulisha na kuibua vipaji vipya kabisa ambavyo havijawai kuonekana katika movie yoyote kama ilivyokuwa mwaka jana nilimtambulisha JENIFER,PATRICK NA PATCHO sasa katika ''THE SHOCK''..namleta kwenu SHAZ SADRY kwa mwaka huu ambaye ndiye mhusika mkuu katika movie hii na kwa mwaka huu mtamuona sana katika movie zangu kama msanii mpya na mwenye viwango vyote vya uigizaji bora katika filamu. Patcho na Shaz wakipitia script kidogo

Wakijiandaa tayari kwa kushoot

Kazi ikiendelea vizuri

Picha kidogo..

Standby....

Shaz akiwa kabadilisha nguo tayari kwa kushoot scene ingine...

The great na Shaz Sadry katika scene...

Pozi kidogo la picha....

The great na Patcho Mwamba kazini..

Shaz na The great pioneer kazini tukiitendea haki '''''THE SHOCK''''''

13 comments:

Anonymous said...

kanumba nimenda shati lako la draft limemekupendeza sana otherwise unafanya vizuri hongera god bless

Anonymous said...

Just an opinion, Unatakiwa hata wanaume uwabadilishe maana sasa hivi kila ukitoa filamu na huyu Patcho yupo si kwamba naingilia maamuzi yako ila ni kwasababu tu ni mshabiki mkuu wa movie zako.kwahiyo next time tunaomba hata huyu Patcho umpuzishe kidogo,

Anonymous said...

waooh! i cant wait for this beautiful movie nawafagilia wewe na patcho mwamba

Anonymous said...

waooh i cant wait for this super super movie nakuaminia k and P

Anonymous said...

haya mwenzetu, tunaisuburi kwahamu, bilashaka itakuwa nzuri tu; big up. by daniel from USA.

Anonymous said...

I love her dress code.
keep it up baby, wewe mzuri.

tweety.

Anonymous said...

Shaz uongo usafiri unalipa! ajitahidi kidogo aongeze sabuni na tufutafuta apake, tutamtaka.........Kizito!!

Anonymous said...

yaani hiyo falami lazima niiangalie na familia maana mavazi ya huyo dada ndiyo yanayotakiwa sio wadada watuvalie nusu uchi; bania comment yangu sawa ujumbe umefika

Anonymous said...

napenda sana no comment

Luck Boy said...

Cover ya THE SHOCK siyo mchezo baba hapo umejitahidi ngoja tuone mzigo wenyewe.

Anonymous said...

Heheheheheheheeeeeeeeeee!!!!!!!!!!Hihihihihihiiiiiiiiiiiiiiiiii!Uuuwi jamani mbavu zangu.KHakhakhakhahkhaakhaaaaaaa.............

Anonymous said...

wewew uko next levo! sema ndiyo! kwa hiyo usiwe kama watz wengine tunaopenda kudepend on nature hebu tutumie teknologia kuna kitu kinaitwa inventor kinaweza kutunza umeme hata kwa saa 48 so unaweza kuchaji betri za kamera kuweka mataa kama kawaida nunua hiyo hata ukipiga kambi msituni unapeta nalo tu otherwise all the best

sophia mkumbo said...

kanumba unaweza hiyo the shock naitamani sna fanya itoke jamani by sophia