Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 26, 2011

HII NI ''''THE SHOCK''''' na huyu ni SHAZ SADRY muigizaji mpya na bora kabisa.

ME na SHAZ ktk scene

Scene ya chakula

Shockkkkkkkk????

Hii mandhari ilibuniwa na kupambwa na Shaz Sadry hii inaonesha huyu dada ni zaidi ya muigizaji.

mmmh?

SHAZ kaziniscene ikiendelea....

8 comments:

Albert said...

Nakuaminia Kaka, huu Dada naamini atafanya vizuri sana kwani kila unaemtambulisha kwenye game anakua ni nyota kabisa. Mfano ni Wema, Jennifer, Patrick, Patcho.
Anyway hii The shock itatoka lini?
Albert
Australia.

Anonymous said...

basi mwisho wa siku lazima utembee nae km kawaida yako ukiwa kwenye mitoko ya kwenda na demu wako unakuwa peke yako km vile huna kumbe una watoto wazuriiiiiii ila unataka kuonekana Innocent wote we na Ray hamuwezitoka na wapenzi wenu kwamana mna wengi utoto huo

Anonymous said...

Huyu binti ni mrembo sana halafu anafanana sana wema sepetu

razos said...

Tunakuamini kaka,tuna kuomba game hii iwe na mafunzo ili nasi tufaidike.Eric-Derrick kutoka Bujumbura

Anonymous said...

Huyu Shaz nae mbona anaanza kutuacha hoi! kaolewa? hebu weka simu yake hapa tuhangaike nae!

Kanumba unajua hawa mademu ni wengi sana wengine tuachie tukupokee, baba!............Kizito!!

amima said...

naisubiri kwa hamu hiyo muvi sijui itatoka lini? inaelekea itakuwa bomba na yenye ladha tamu,huyo dada atakuja kuwavunika wasanii wa kongwe anaonyesha ana kipaji sana ila ajichunge na skendo aongeze juhudi atafika mbali. keep it up brother aminia.

sophia mkumbo said...

jamani mnatakiwa mponde vyenye ukweli ndani yake nyie mnaponda bila kujua sio vyema uko poa kaka mm nakukubali kila upande dont gv up kwasababu ya wa2 wachache wanao kukatisha tamaa

Neema pauline blog said...

hy kanumba shaz iz very cute hope movie yako itakua hot......mi waitin...