Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 22, 2011

RITA DOMINIC APEWA TUZO YA KUWA SINGLE KWA MDA MREFU.

Msanii wa Nollywood Rita Dominic amepewa tuzo ya ''Nollywood best single actress''Hilo limetokana na yeye kuwa na umri wa miaka 37 lakini hana mume wala mtoto na ni mda toka aishi maisha hayo japo alishadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Jimmy Ike. Rita akiwa na tuzo yake,mwenyewe anasema yuko poa tu na life hilo,mastaa wengi tu hata hapa bongo hupenda kuishi hivi au hufikia wakati wakaamua tu kuzaa basi ila suala la ndoa hawataki kabisa kulisikia kwasababu ambazo ipo siku nitazizungumzia hapa.

10 comments:

Anonymous said...

Nilidhani unao upeo mkubwa wa kufikiria,Soma Maandiko matakatifu ndio uje siku moja utuelezee sababu za mastar kupenda kuwa single.Fikiria kabla hujaandika ujue nini maana ya HESHIMA.Ubarikiwe

BQ said...

HONGERA SANA RITA THATS NYC HUWA NAMPENDA SANA ILA SINA UHAKIKA SANA NA HUO U SINGLE WAKE INA MAANA YE HANA BOY MHHHHH, PIA ALIVYOAMUA HIVYO NI POA SOMETYME MAANA NDOA NAZO ZINA MAMBO MENGI SANA YAANI CHALLENGE ZA KUTOSHA

Anonymous said...

mh watu bwana hawana kazi ya kufanya eee? single wakati ni msagaji lol

Anonymous said...

acha sigara, kujikweza, kujifanya unapenda maisha ya juu. mwanamke kuolewa kunaongeza heshima. pia watoto ni muhimu, raha ya dunia ni watoto bwana. mdau DSM

Anonymous said...

ifike muda baadhi ya watu muachane na kufurahisha macho ya watu kuliko kufurahisha nafsi yako na kua mkweli kwako mwenyewe. Eti ndoa heshima!!kwan huezi kua single na ukajiheshimu.km hujafikia maamuzi ya kuolewa co mtu akurupuke tu"JUST IN THE NAME OF NDOA NI HESHIMA" OOOOOh please.

Anonymous said...

Rita wanaigeria wanasema ni mmoja kati ya wasanii wanaojua kupiga pamba za ukweli.

Lakini wasanii wengi wa Kinaigeria ni machangudoa wa kutupwa including their number one female actress yule alofiwa na mumewe na kuolewa na ku divorce sasa hivi anatembea na governer wa jimbo moja huko Nigeria kama kimada. Kinachowaponza ni kupenda maisha ya juu including shoping USA.

Kwa ufupi wasichana wacheza movie wa nigeria ni full mcharuko.

Kwa ufupi msanii mwenye ndoa anajihepusha na makashfa ndio maana kina Ramsy hawasemwi vibaya au kina Omotola (Omosexy)

Anonymous said...

mdau unayepinga ndoa naona unamatatizo, kubali kataa ndoa inamuongezea heshima mwanamke. kama hujampata wa kukupiga ndoa omba sana. ndoto ya mwanamke mwenye akili timamu ni kuwa na ndoa yenye furaha na watoto

Anonymous said...

ukiwa kwenye ndoa heshima inaongezeka kwa kutoonekana malaya, hata wazazi wanafurahi watoto wao wanapooa/kuolewa. pia kwa kiasi fulani inapunguza uwezekano wa kupata HIV

Anonymous said...

kanumba tupe haraka sababu za mastaa kupenda kuwa singo. ila mi ninachojua umalaya ndo unawafanya wengi wawe singo, kwani wanaogopa wakifunga ndoa watabanwa

Anonymous said...

Jamani ndoa au mwenza ameaandaliwa na Mungu mwenyewe, watoto pia ni zawadi kutoka kwa Mungu, tuachane kudanganyana kuwa ndoa ni heshima inakuwa ni heshima kama in baraka za Mungu, sio kila siku mangumi mara nyumba ndogo halafu mnasema ni heshima.Kila mtu ana maamuzi aishi maisha gani unaweza kuolwa na usipate watoto pia inakuwaje hapo?