Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 30, 2011

THE GREAT NDANI YA ACCRA-GHANA......

SAMAHANI JAMANI NIMEONDOKA BILA KUAGA ILA KIFUPI NIKO KTK JIJI LA ACCRA NCHINI GHANA TOKA MAJUZI,NIKO KIKAZI ZAIDI..NIKIPATA MDA NITAWAJUZA KINACHOENDELEA HUKU.ASANTENI.

11 comments:

Anonymous said...

ingekuwa na wengine wapo kama wewe,basi tungefika mbali ki filam.unajiamini na unapenda kuona mbali kwa kujitahidi kukutana na wasanii mbali mbali ili kujifunza mengi na kukuza kipaji chako.jamani na wengine waige mfano kama wako,ikiwezekana wajifunze lugha ya kiingereza ili iwape ujasiri wa ku act na watu wa nchi tofauti.tukubali tukakae,nollywood ni ya 3 ulimwenguni baada ya bollhy wood.na wa ghana nao siku hizi wanajitahidi mno,kuna watu wana vipaji haswa.kama majid michael,nadia buari,yvonne nelson,jakie appia,john dumelo na wengineo wengi tu.niliona movie yao inaitwa the game,ki u kweli wamejitahidi mno.na kuna nyengine nimeona trailer,bed of roses inaonyesha ni nzuri pia

Anonymous said...

mi bwana nakusifu sn ila sipendi unavokuwa km unajionyesha ray akifanya ki2 lazima na wewe ufanye mbn km utoto jamani.We kaa kimya watu waone wenyewe ray anaweka picha za move akiwa location we huweki unakuja kutuambia tu ki2 hiki kitayari mkitafute THATS VERY MATURED ila huu upuuzi eti a.k.a mil 78 WAT THE FUCK???SOUNDS SO SO SO CHILDISH. Mtoto wacha kupiga mayowe wacha watu waona wenyewe. NI KM UKIWA NA MWANAMKE MZURI HATA USIPOMSIFIA AKITOA TUU UTAONA RESPOND YA WATU WHICH WILL MAKE CONCLUD THAT U HAVE ........thats why pipo are loloking at...

Anonymous said...

Msalimie John Dumelo. Mwambie kuna Mtanzania anavutiwa sana na kazi zake. Wasalimie na Nadia, Majid Yvone, na Jackie. Waambie kazi zao si mchezo; ikiwezekana wakaribishe Tz. Aah nilitaka kumsahau Van Vicker. Mwambia anafunika mbovu.

Afu nunua DVD ya movie inaitwa Chelsea uone mambo ya John Dumelo na Nadia; Ghana wako mbali sana when it comes to quality. Nigeria wana poor quality ya movie

Anonymous said...

Hata mimi nilimeshaiona movie ya the game through you tube. Kuna nyingine hiyo mwisho wa matatizo inaitwa Chelsea; lakini naona wameizuia but before nilishaiona through You tube.

Waghana wanawazidi wa naigeria kwa quality ya movie. Nigerian movies zina kelele na picha quality ni za hovyo. Even Nigerians wenyewe wanabonda tamaa za ma producer wao

Anonymous said...

Kinachofanya wacheza filamu wa Ghana wawe makini nadhani ni elimu; John Dumelo ni engineer, Nadia nae ni socialogist, Yvone nae ana degree ya HRM. Kanumba kaka na wewe ingia class; huwezi jua mwenye elimu ana elimu. Dumelo japo anafanya movie ana kampuni yake ya real estate na ana Dumelo foundation nimeona juzi amesaidia shule moja kijijini Ghana $40,000

Anonymous said...

kaka Mungu akutakulie katika safari yako iyo na kwa kipindi chote utakachokuwa huko mkono wake huwe juu yako na urudi salama.
Ngoja nikuulize swali la kizushi kaka,katika sms yako ya kutuaga umeandika mengi je IS IT MDA OR MUDA?

Milka Richard said...

Mungu akutangulie ktk safari yako na akuludishe salama.Ndo matuna ya kazi zako hayo baba,hakika Mungu hamtupi mja wake.

Anonymous said...

kanumba unachoniboa hujibu msm hata moja wanazotuma wadau wako,kumbuka bila sisi usingekuwa hapo ulipo jaribu kujibu hata mara moja moja,after all hongera sana kazi zako nzuri wape hi waghana me napenda cku moja uigize na genevier kwy muvie na desmond maana mnashabiana sana above all mshukuru Mungu kwa yote,nakuombea oneday upate contract ya kuigiza hollwood najua ndiyo ndoto zako na zitatimia,

Anonymous said...

woow kanumba iam soooooooooooooooooooooooo proud of you guyz i was even thinking about that one day i my self will go to ghana and look for a job as an actres iam in love with ghana movies kama wadau walivyosema kina jonh dumelo ilove that guy ooh kuna uyu iyvone nelson,iyvon okoro,jack appiah magid michael,nadya buari van vicker wewe chezea ghana mimi ni member wa movie zao kwenye www.africanseer.com utaona film zaidi ya mia 200 za nollywood

Albert said...

Mbona kasi imezidi???

Anonymous said...

Bed of Roses nimeshaiona through website moja mdau alitoa address humu humu kwenye blog ya Kanumba. Ni funika mbovu! Napenda kumshukuru saana huyu mdau; maana you tube wanaweka movie chache na nyingi za zamani. link ya website yenyewe ni http://movies.africanseer.com/Romance/ad1L.asp?blurb=4033 na unaregister free of charge. Yaani kuna movie nyingi kila siku naangalia na haziishi, including Bed of Roses. Sijuhi wanafaidika nini kutuonyesha bure hizi movie BUT am thankful (au search africanseer)