Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 22, 2011

CHAKULA HIKI KI TAYARI MEZANI WIKI IJAYO.....

Inaitwa ''BECAUSE OF YOU'' kutoka KANUMBA THE GREAT FILM,nimeigiza mimi,Rose Ndauka,Thea,Grace Mapunda,nk,Mtunzi ni Rose Ndauka na amekamua vilivyo mpaka nikahisi naigiza na msanii wa nje na si Rose niliyemzoea.......BECAUSE OF YOU.....kama kawaida yangu kubadilika ukitazama movie hii utaona mabadiliko sana mojawapo ni hakuna scene ndefu ndefu za kupoteza mda yaani kifupi hakuna scene inayokaa zaidi ya dakika moja na zote zina speed,hakuna uongeaji mwingi kwa characters wameongea kidogo tu ila vitendo kwa sana.Pata nakala yako original bila kuazima au kukodisha. Dah kwa cover hii kwakweli I-VIEW MEDIA big up sana,Kaka yangu RAQUE hongeraaaa kazi moja tu tujitaidi bongo muonekano wa cover zetu huakisi yaliyomo ndani kuanzia QUALITY ya picha,uigizaji,directing,production kwa ujumla.nadhani katika movie hii achilia DEVIL KINGDOM na hii pia nimefanyia kazi mambo mengi.

14 comments:

Anonymous said...

wewe halafu acha kutembea na kila msichana unaeigiza nae, utapata magonjwa unaboa....

emmanuel obeid said...

FOR SURE BROTHER I REALLY LIKE THE COVER BIG UP.

Anonymous said...

hicho kitu lazima kitakuwa kikali, hongera Kanumba, tunasubiri kwa hamu kubwa. we ni mkaliiiii, wenye wivu wajinyonge tu. mdau DSM

Anonymous said...

kaka kazi unafanya vizuri sna big up kweli hiyo cover ya muvie inavutia sana big up i view kwa kazi nzuri,ila i think uje ujaribu kipindi fulani ukipata mda nenda kidogo kaishi hata marekani japo 6 months na wazungu wasiojua kiswahili kbsa ukirudi huku utakuwa umeimprove ni ushauri wa bure tu,above all mnajitahidi sna sna wangu Mungu awabariki kwenye kazi yenu na awaepushie mabaya

Anonymous said...

huyu RAQEY ni noma kwa mara ya kwanza nasema hii cover tayari move ishajiuza. yani its so so so good km mtoni vile walai kanumba hongera yani jamani nimependa mno cover.IMETULIA

Anonymous said...

KWA SISI TUNAONGALIA SN MOVE ZA MBELE (ULAYA) NAWEZA KUSEMA HII COVER KIBONGOBONGO NI MFUNIKO YANI UMEKIMBIZA MBAYA NA KIMAMTONI UMEJITAIDI. kwakweli kanumba kwenye hii game unajitaidi mno nakusifu, na haya ulosema kuhusu sin fupi na kutokupoteza mda km ni kweli SAFI SN NA HONGERA

silvanusm.blogspot.com said...

pamoja kaka...... we can do many tukishirikiana na watanzania wapende vya nyumbani...... actually nimefurahishwa na declaration yako kuhusu cover za movie zetu....THAT GONA BE HOT.... HOPE SO.

Anonymous said...

kwa kweli kama hayo mambo uliyoyaorozesha hapo juu utayafanyia kazi kwa kweli utakua umepiga hatua kubwa sana kwani ni mambo ambayo yanafanya sinema zenu zionekane bomu.mimi ni mpenzi mkubwa wa filamu na huwa sichagui filamu ya kuangalia iwe ya kizungu,kihindi kinigeria nk,lakini nyingi ya filamu za bongo huwa sizimalizi kwa kuboa na kutokana na matatizo uliyoeleza hapo juu.pia kama hamtoachana na mambo ya part one na part two utakua bado hujafanya kitu.mambo yakiwa mazuri nitakuja kuomba audition ya movie.mimi mdau ughaibuni mwinyihija.

Anonymous said...

kwa kweli kama hayo mambo uliyoyaorozesha hapo juu utayafanyia kazi kwa kweli utakua umepiga hatua kubwa sana kwani ni mambo ambayo yanafanya sinema zenu zionekane bomu.mimi ni mpenzi mkubwa wa filamu na huwa sichagui filamu ya kuangalia iwe ya kizungu,kihindi kinigeria nk,lakini nyingi ya filamu za bongo huwa sizimalizi kwa kuboa na kutokana na matatizo uliyoeleza hapo juu.pia kama hamtoachana na mambo ya part one na part two utakua bado hujafanya kitu.mambo yakiwa mazuri nitakuja kuomba audition ya movie.mimi mdau ughaibuni mwinyihija.

Anonymous said...

Haya tunaisubiri kwa hamu tuone hayo maujuzi mapya ya rose ndauka

Anonymous said...

hongera kanumba, i real like ur movies...but huyo aliyesema kwamba unatembea na kila msichana unayeact nae, binafsi kwanza siafiki moja kwa moja coz si rahisi kufanya hivyo but what i can advice u is fanya tu uoe kaka yangu coz kila unapokuwa karibu na mtu unaambiwa ni mpenzi wako, then usioe suparstar, utaishi kwa amani.

Anonymous said...

wewe mdau wa 1 mbn mbea sana amekwambia katembea na rose au ameigiza nae muvie,mmmh acheni kumsema mtoto wa watu wewe mwenyewe ukute una wanawake 10 na zaidi amefanya kazi yake msifie km amefanya vizuri na kama kuna sehemu kakosea mrekebishe personal lyfe yake muiache

Anonymous said...

mh kk ki ukweli huwa nakukubali ile mbaya bigup tunaisubiri kwa hamu sana, kama kawa kama dawa.

Milka Richard said...

Duh! me sisemi,tunasubilia kwa ham kubwa. Halafu we anonymous wa kwanza jalibu kuwa mstarabu,kakwambia kila msichana anaye igiza nae anatoka nae????????????????? tuwen wastrabu jamani,acheni kuchafua watu,au umetumwa nn,Ushindwe kwa damu ya Yesu.