Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 25, 2011

HUYU NDIYE TABOU FATU....

Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo za kiCongo lazima utakuwa umeshasikia hili jina likiimbwa sana,hata mimi nimekuwa nikijiuliza huyu ni nani?katika albamu ya zamani ya JB MPIANA (Feux de' la amuor)alimuimba huyu dada katika wimbo TOP MODEL,katika albamu ya FALLY IPUPA(Droit chemin)wimbo LIPUTA kamuimba sana,Koffi Olomide na wengine humuimba sana,kumbe ndiye huyo hapo ni mdada mrembo anayeishi Bruxells-Ubelgiji,anasifika kwa uzuri na kupiga pamba ndio maana huitwa Tabou Fatu a.k.a Top model wao hutamka top modele,a.k.a mama na compresso,ni tajiri mwenye maduka makubwa ya nguo Ubelgiji na Paris-Ufaransa,inasemekana yeye ndio alimpa pamba Fally Ipupa katika albamu yake ya kwanza(Droit chemin).Ni mdau mkubwa sana wa miziki ya kiCongo na ameshahusika sana katika kuwaarika wanamziki Ufaransa.

6 comments:

Anonymous said...

Mh! Nadhani wanampenda sababu anawa finance na ana pesa; ila nikiangalia hiyo mikono naona wazi huyu mama si mzuri wala nini; ni full mkorogo kama kawaida yao Wazaire

Anonymous said...

yah! namjua vizuri sana hata madilu system ashawai kumuimba na kwa sasa yupo mbioni kufungua maduka yake hapo bongo tanzania

Anonymous said...

thanks for the picture.some times i feel bored listenning to congo music because of all those names in the music and theatre,and i'm congolese.but i like bongo movies coz you guys don't do such things.
i have a little advice to our brother Patcho,please don't bring thet congolese way in bongo.coz i heard you say Moise katumbi in one movie. pls totika libanga biso ba congolais esalaka bien te...
keep it up Kanumba

Anonymous said...

mzuri lakini mkorogo,ila anaonekana dada mdogo wenye hela

Anonymous said...

sasa uzuri wa mtu unahusu nini hapa jamani.picha haijawekwa ili muangalie uzuri wake bali ni kwaajili ya appreciation ya mchango wake kwa wasanii wa congo.

Anonymous said...

tabou fatu top modele
http://spotistarehe.wordpress.com/2011/10/06/tabou-fatu-top-model-mamaa-na-compressoo/