Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 6, 2011

JE NA HII UNAIKUMBUKA?..FAKE SMILE''unakumbuka nini?


15 comments:

Anonymous said...

Niliipenda sana hii movie mdada aliicheza vizuri sana, Kweli Neshi ni mwigizaji mzuri sana

Glady Lema

Anonymous said...

Mh, kanumba that was one of ur best moviez!

Albert said...

MMmmmh, movie hii nakumbuka ile scene ulipomchapa fimbo Richard. Kweli ulikua uko serious na wakati mwingine unaweza ukafikiri kwamba ilikua siyo kuigiza tu, bali ukweli. Honestly ile scene niliipenda sana.
Ikiwezekana ufanye kazi na Richard tena kwani ana uwezo wa aina yake kwenye game!
Albert
Australia.

Anonymous said...

dah it was a nyce movie..nakumbuka huyo rich alivyoweza kumteka huyo mdada na aunt alicheza vizuri sana.jamani kanumba cheza tena movie na huyo dada ,me hua namwona decent sana na mzuri sana,huyo dada yake aunt kwenye hii movie,nampenda sana

Flora said...

Mdogo wangu yani kutoka moyoni nasema huko juu katika picha zako. Keep it up.

Yaani nimeangalia Devil Kingdom ndio nimekubali yaishe. Hakuna Tanzania jamani tuseme ukweli. Hongera sana.

Anonymous said...

hii movi niliipenda sana inaelemisha kwa kweli, na ulionekana kijana mwenye busara sana.

Anonymous said...

Ndio namkumbuka huyo mtoto alivyona usafiri wa nguvu. Hasa pale jamaa alivyombeba kumuingiza chumbani.Usafiri ulionekana wa nguvu kuliko.Huyo mtoto wa ukweli sijui siku hizi yuko wapi....Kizito!!

Anonymous said...

hapo juu nakumbuka ulikua unampa mkwara rich.saada.

Anonymous said...

naikumbuka kwahuyu dem ulibuma

Anonymous said...

Hii movie niliipenda sana maana hamkuigiza bali mlionesha reality, and Rich yuko vizuri pamoja na aliyekuwa dada yake Aunty, mshirikishe tena na jitahidi zaidi kujichanganya na waigizaji wa nche. Kanumba uko juu, keep it up!

Kainja said...

naikumbuka kwa sababu- its one of your best movies i ever liked. imetulia mzee keep it up..

Joyce Mahila said...

MOJA KATI YA MOVI NINAZOZIPENDA SANA NA SICHOKI KUIANGALIA YAANI HII NI KIBOKO YA ZOTE YAANI INAMGUSO WA UHALISIA SANA. WOTE MLICHEZA VIZURI SANA.

habiba mlawa said...

bwana kk we acha nakumbuka vibaya, ujue nn unajifanya unamapozi kwa umpendae matokeo yake unaonekana mshamba ndo ivo rich akajilia kiulain, it was wonderful

Anonymous said...

Kanumba huwa napenda sana movie zako uko juu alafu unacheza kiwango na unafiti scene yeyote ile hongera sana.

Anonymous said...

KANUMBA INANIKUMBUSHA ULIKOSWAKOSWA NA H.I.V, KANUMBA MOVIE MOJA MUWEKE MAJUTO ILA ASIWE CHEPE.