Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 29, 2011

CHINEDU IKEDIEZE(AKI) AFUNGA NDOA....

Msanii maarufu mfupi toka Nollywood,anayeigiza sana comedy Chenedu wa AKI na Ukwa,,jumamosi iliyopita tarehe 26 mwezi huu amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Nneoma Nwajah katika kanisa la St.Theresa-Imo state.The great kupitia mtandao wa BBM nilimtumia ujumbe wa kumpongeza nae akashukuru sana.


oooh Chalee congratulation my broda.....

6 comments:

JigambeAds said...

Wishing him to live happily in his marriage life!

Anonymous said...

Nina mtakia kila la heri katika ndoa yake

Anonymous said...

all the best for your marriage life

Anonymous said...

All the best for marriage life.

Anonymous said...

Yule mwenziye (pacha wake kikazi) yuko hai. Kuna mtu amenambia kafa, sasa jina lake silijuhi nimeshindwa ku google nijue kama ni kweli au uzushi.

Nawapenda sana they are rela comedian

BQ said...

hongera sana Chinedu,weraaa weraaa wat about Osita? Kanumba tuwekee picha bana