Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 9, 2011

MUONEKANO WANGU WA SASA HIVIIIIII.....

NIENDELEE AU NIISHIE HAPO???NILIAMUA KUFANYA HIVI BAADA YA MASHABIKI WANGU WA KWELI WENYE MAPENZI YA DHATI NA MIMI KUNISHAURI KUWA NILINENEPA SANA HIVYO MWILI KUKOSA MVUTO KAMA WA AWALI WALIOUZOEA KATIKA FILAMU ZANGU LAKINI PIA HOFU YAO IKAWA KATIKA UNENE WANGU ULIOELEKEA HATA KUNILETEA KITAMBI KWA MBALI HIVYO KUHISI BAADHI YA SCENE SITOZICHEZA TENA,NDIPO KWA DHATI KABISA NIKAANZA KUFANYIA KAZI MAONI YENU KWA KUPUNGUZA KULA(DIET) MAANA HII ILIKUWA NI UGONJWA WANGU NA HAIKUWA RAHISI,LAKINI PIA NIKAANZA MAZOEZI KWA KASI JAPO NA HII NAYO HAIKUWA RAHISI MAANA UBUSY MWINGI MARA SHOOTING MARA SAFARI ILA NIKAWEKA NIA,NA LEO HAPO NDIPO NIMEFIKIA SASA JE NIISHIE HAPO?AU NIENDELEE TENA?AU NIRUDI KULE KTK UNENE??

85 comments:

Anonymous said...

jamani kanumba iyo picha ya kwanza hapo unakumbuka nini????? ilo pozi km la upo kwenye nanihiiiiii...............

Anonymous said...

ISHIA HAPO HAPO usiwe baunsa hny uwe na mwili wa kawaida usio na minyama km maziwa na kitambi yani weka muonekano wa mwili wa kikakamavu.

Mwili wenye mvuto yani, afu baby mi mashati yale ya kumeremeta km picha iyo ya the shock hapo siyapendi, mavazi km hayo ya kwenye the shock ndo nayataka

Anonymous said...

Ivi siku zote ulikuwa wapi mpk tukwambie???? Huoni km unapendeza???? Ukijitizama kwenye kioo husii raha??? Ukivaa nguo ikakaa vizuri kifuani husikii raha??? jamani waafrika wengi hatujui mwili mkubwa ni matatizo wala sio afya km tunavozani.

Fat Joe kaamua kupungua tena anasema not only 4 himself but 4 his familiy he wants to live longer. SASA MSHAURI NA SWAIBA WAKO MANA NAE ANAELEKEA KUBAYA KBSAAAAAA

Anonymous said...

mmmh! hadi raha ulivyo pendeza yani unamvuto wakutosha na ubaki hapohapo.


jane bomba

Anonymous said...

ishia hapohapo yani nimekupenda jinsi ulivyo hapo kweny image.i hope now utatupa films zenye mvuto.

jane bomba

Anonymous said...

woow! ooh my God. yani umependeza that is real kanumba now.shikilia hapo hapo

Anonymous said...

Hongera kaka, maana kupungua ni kazi kubwa kweli, hapo ulipo uko poa kabisa ila sasa kilichobaki ni ujimaintain ili ubaki hivo hivo though ni kazi ila najua hautashindwa tena Please please usiongezeka tena, unene ule ni nouumaaaa wakati wewe bado kijana mdogo. Keep it up.

Anonymous said...

u look sex guy mi naona uishie hapohapo unachotakiwa kufanya ni kubalance usiongezeke wala kupungua,i lyk it so.. so.. lovely, big up

Anonymous said...

PUNGUA TENA KIDOGO ILA UMEPENDEZA HUYO ACHA TU JAMANI AD RAHA AF UNAKIFUA BRO.AYA KILA LA KHERI UJIPUNGUZE TENA EEH.

Anonymous said...

Hata ukibakia hapo sio mbaya.ila ukiwa mwembamba ni rahis kuwa mnene ila ukiwa mnene unaujua mzik wake...kip it up

Anonymous said...

Hongera sana Kanumba umependeza , na sisi mashabiki wako tunaomba utuambie hiyo Diet yako, maana sio siri umebadilika sana ukiangalia picha kabla ya Diet na mazoezi , naya sasa hivi.

Anonymous said...

safi sana kwakusikiliza ushauri wa mafans wako mimi kwa upande wangu uendelee tu unajua ukipungua ndio unaonekana vizuri zaidi kaza buti kaka ni ngumu lakini endelea kujitahidi japo mafanikio yameanza kuonekana lakini bado kidogo zingatia diet na mazoezi usinywe pombe kwani pombe huleta njaa sana big up kaka kanumba nakupenda sana

Albert said...

Mimi naona bado, endelea kidogo tu upoteze tena kama 5kgs hivi, kwani hata sasa kuna dalili ya kunenepa tena. Kwa kweli ulichukua uamzi mzuri hata na mimi nilikua nimesha anza kuwa na hofu kuhusu unene wako. Mimi napenda muonekano wako uwe kama kipindi cha "The Village Pastor"
Albert
Australia.

Anonymous said...

Kwanza hongera umependeza, ila punguza tena kidogo.Nguo sasa inakukaa vizuri, ila pls acha kuvaa mavazi ya kungaa kama unaenda harusini wakati unaigiza ofisini.Na pia hongera kununua gari ni maendeleo makubwa sana, tena gari la 78m. Mimi nakushauri ingwawa najua may be na wewe utakuwa unafanya hivi, unaonaje ukawekeza katika nyumba, ukajenga nyumba yako nzuri ukafurahia maisha mazuri zaidi(sina hakika kama hujafanya hivi)just incase. Magari mazuri yapo na yataendelea kuwepo,napenda siku moja na wewe unatokea kwenye zile hse nzuri kama unazo shot nazo na hse nyingine za miradi etc.najua nyie ni vijana but Ray wakati anawekeza kwenye magari we mjibu kwa kuwekeza kwenye apartments.Hii ni changamoto tuu! love you brother big up.kuwa kama mchaga Kanumba.

Tinah said...

u luk gud ishia hapo hapo usipungue wala kuongezeka

Anonymous said...

SAFI SANA PUNGUA KIDOGO,YAANI UNATISHA KAKA MI PENDA WEWE

Anonymous said...

Dah wewe mwanaume inaonyesha mtamu sana nakutamani kinoma

Anonymous said...

At list sasa mana mimi ni kati ya wapiga kelele wakubwa juu ya vitambi vyenu sasa umejitahidi na jaribu kumkumbusha na best yako aujali mwili kama vile hizo nywele zenu manavyo zijali.Pungueni mana vimo vyeni ni sawa hamtakiwi kuwa na zaidi ya 76Kg.

LINAR said...

UPO VIZURI ISHIA HAPO HAPO! LKN UMEKUWA BAUNSA

sq said...

ishia hapo hapo u kook sexy mpaka nakutamani

sq said...

ishia hapo hapo u kook sexy mpaka nakutamani

Anonymous said...

baby una mvuto wa hali yajuu sana manake ulitaka kuzeeka bure, ila nitoke nje ya mada nimeona kwenye gazeti hamko sawa na Ray naomba mmalize hizi tofauti watu wabaya wanachonganisha tunawapenda sana acheni hizo

Anonymous said...

baby una mvuto wa hali yajuu sana manake ulitaka kuzeeka bure, ila nitoke nje ya mada nimeona kwenye gazeti hamko sawa na Ray naomba mmalize hizi tofauti watu wabaya wanachonganisha tunawapenda sana acheni hizo

carolyn s.k said...

u luk mwaaaa now tena kwa kukuona kwa macho,vitambi havina ishu. chondechonde na swahiba tafadhali atapasuka mwambie. kingine acha mashati ya kumeremeta na suti za rangi za ajabu.

Anonymous said...

umependeza ishia apo ila toa hizo kalikiti kichwani unakuwa kama camerooon

Cess said...

jipunguze tenakidogo hivyo bado uko kama baunsa
cecy

Cecy said...

jipunguze tenakidogo hivyo bado uko kama baunsa
cecy

rosetarimo86@yahoo.com said...

mi nawapenda sana lkn leo mmeniudhi bana.kwa nini hamuelewani na ray?msisikilize ya wa2 bana nyie ni kama ndugu sasa.....kanumba lifanyie kazi hili.

Anonymous said...

mwambie basi na swahiba atoe kile kitambi jaman.

jane bomba

Anonymous said...

Mimi nimeumia saana niliposoma gazeti moja la udaku na nikaona habari zinazowahusu nyinyi maswahiba ,,kanumba na Ray!!1 aisee kumbe bongo usutwa bado upo kabisaa,,hivi nyinyi hamkumbuki mlikotoka jamani?Tafadhali kaeni chini kama wanaume myamalize kwasababu kati yenu hamna tatizo lolote.Ila kuna baadhi ya watu wanaotafuta ugali kwenu wakipiti usutwa,,kutoshilikiana wewe na Ray itawachafulia hali ya hewa uwanjani.Bifu sio nzuli.Please kaeni chini myamalize.

Happy ole Ngambi said...

Dah Gud luking!una sexbody nimeipenda kwa kweli sasa ivi embu pungua tena kidogo halafu ki2 kingne nisamehe kama ntakuboa jamani mi cpendi ukiweka nywele dawa napenda ukiwa natural zinapendza zaid au unaweka kwa mbali.

Mimi said...

umejitahidi ulipofikia. usiongezeke tena.

Anonymous said...

kanumba umependeza mwenyewe

Milka Richard said...

Hongera sna Kanumba kupungua c kaz rahic kiivyo,inataka moyo na jitihada za ziada.Jitaid umentain body lako ucongezeka wala kupungua tena,otherwise bigup kaka!

Anonymous said...

safi sana kijana wa kz.

Anonymous said...

upo sawa ss.

Anonymous said...

u look so sexy kanumba..hicho kifua mi hoi kabisa..Am in love with u jaman......mi taman wewe duh

Anonymous said...

now the Kanumba i use to know is back.man u look great
hongera

Anonymous said...

Hapo ulipofikia si pabaya sana.Ila jitahidi usizidi 75kgs.
Kanumba unene si mzuri kiafya waweza pata magonjwa ya moyo/sukari ambayo yatakugharimu na hata kukatiza uhai ghafla kwanini ufike huko???
jitahidi umaintain then upige kazi ipasavyo na kuwa na uhakika na siku za kuishi duniani sio leo panadol kesho diclofenac kwa sababu ya kujitakia.
Pili ushauri wa Bure"maneno yapo na tumeumbiwa wanadamu na moyo wa mtu ni kichaka hivyo kuwa makini kijana maneno yasijekukuharibia na Swaiba wako bali yapuuzeni na mpige kazi"
Mtangulize Mungu katika yote.
Kila la kheri kaka.

Anonymous said...

yaani mm naona umependeza ila umekuwa baunsa bt its good usizidi zaidi ya hapo na jitaidi vyakula una unavyokula,please jitaid muelewane na ray

Anonymous said...

endelea kidogo halafu usipake sana hizo enjoy face upake kidogo. je ni maendeleo gani mengine uliyoyapata kwenye hii kazi yako tofauti na hilo gari pia hujasema mchumba ako

Anonymous said...

Kwa kweli umependeza ila plz acha kuvaa mavazi ya ajabu ya kung'aa na suti za ajabu,pia pungua gel kwenye nywele na lip shine pia,maana saa inginw huwa mnajiremba hadi mnachosha
Kwa kweli kwa pics hizi umetoka kiume hasa

Anonymous said...

Kwa kweli umejitahidi ila unahitaji kupungua kidogo. Pamoja na mazoezi tafadhali jali sana mlo wako. Ila mie huyo anakushauri kwenye muonekano wa nywele, kachemsha hajakupatia. Punguza dawa eeeh

Mey said...

Mwaume mwenye mvuto anakua hivyo ulitisha mwamba bia nini? Ila chunga afya yako sio gari hilo ikiaribika utapeleka matengenezo ukiathirika umekwenda mwamba kuna wanawake na mademu chunga mademu wanaweza kukufuta kwenye gemu awakupendi hao wanataka kukupeleka kuzimu.

Anonymous said...

Ila iyo chata mbna kama freemaso duh

Anonymous said...

Hapo hapo panatosha,usitunishe misuli sana,utakuwa km sanamu la michelini.by tje way mwili wako mzuri sana,na unasifa zote anazotakiwa kuwa nazo mwanaume.ww ni handsome kanumba.

G.SQUARE/Podolski said...

hi bro, iko poa but endelea kutrain upungue tena kodogo at-least cuz ukistop utanenepa tena....
by the way i'm very inspirin' wd your stories so far

Anonymous said...

U LUK NICE BRO U NEED 2 DO LITTLE MORE,

Anonymous said...

pendeza sanaaaa kanumba sasa ushauri mungine STOP wearing zile masuti za kung'aa za zizou sijui hebu ubadilike mpk mavazi basiii kwani huko nyumbani Tanzania huna stylist wako anaekuvalisha mtafute hata yule dogo sheria na mavazi labda anaweza kukusaidia ubadilishe muonekano uwe kanumbaa mpyaaaaa kabisa....

Anonymous said...

Kanumba mwenzio naomba niingie kwenye fani ya kuigiza wala sijawahi kuigiza nahisi sina kipaji ila napenda kuigiza, Nisaidie mwenzio

Anonymous said...

U look so lovely Kanumba, i wish ingekuwa hata boyfrend wangu, utakubali? ila mwenzio sina shepuuuuuuuuuuuuu

alshakir said...

ishia hapo kaka uko poa tu sana

herie said...

You look sexy and more handsome now,jitahidi mantaining it ili ucpungue wala kuongezeka tena..all in all u look awesome!

Anonymous said...

umependeza ila punguza wave kaka unaonekana kama wa kuja kuna style za kunyoa nzuri utapendeza kaka wewe ni handsome hayo mawave bana yanachusha, pungua tena kidogo, af mavazi ya ming'aro ka mzaire kaka hapana kuwa mjanja bana tunakupenda usituangushe.

Anonymous said...

KANUMBA BADILISHA WEKA PICHA ULIYOCHEKA BANA WACHA KUNIANGUSHA,KWA NINI TUINGIE KWENYE WALL YAKO TUKUTE PICHA ULIYONUNA BANA

Anonymous said...

mi naona hapo inatosha usinenepe wala usipungue sana

prisca said...

umependeza sana.kanumba naomba kuuliza hivi kwa hapa dar es salaam filamu za kinaigeria za zamani na mpya zinapatikana wapi?ukiondoa hizo za barabarani zinazorekodiwa

Anonymous said...

hapo safi sana mvuto kwa sana big up usipungue wala usinenepe shikilia hapo hapo mwana!

Anonymous said...

hey Kanumba, u look great but I think you main task now is to balance your food intake with exercises so that you don't gain it all back. Also eat smart because these day there are all sorts of diseases caused by what we eat. Am a big fan of yours! Keep up the good work and don't mind the haters :)

Anonymous said...

1.Endelea uondoe hizo nyonyo
2.Nguo za kung'arang'ara is so gay!
3.No man wears pink clothes..again it's so gay!

Anonymous said...

wow! umendeza mbaya! usiendele tena ila kazania hapo hapo,

yeah Kanumba wekeza kwenye majumba achana na bifu za kijinga

Anonymous said...

kwa kweli kaka yangu ishia hapo u look nice, ukiendelea wala hutapendeza utachusha.

Anonymous said...

uko vzr ila acha na mambo ya wave be natural as African man

Anonymous said...

Bora umebadili muonekano wa hii blog. Maana tulikuwa tukifungua tunakutana na picha za watu wengine utadhani ni blog yao. Looks good now!

Milka Richard said...

Ebwana nimeona nimeiona "Because of U" ni tamu niaje.Mmekamuajeeeeeeeee!hongeren sna,story ni nzuri sna na mmeitendea haki.watz wanataka vi2 ka hv venye ubora c kulipua lipua il uwahi kupeleka sokoni.Tukiachana na hayo, INASEMEKANA WW NA RAY HAZIIVI NOWDAYS.FANYA JUU CHINI, KADRI YA UWEZO WAKO MMALIZE TOFAUT ZENU.MNAJUA NI WAPI MMETOKA,MAMBO MANGAPI MMEFANYA PAMOJA,NYIE NI NDUGU NA KAMWE MSICKILIZE MANENO YA WA2 NA MCWAPE NAFASI?????CO WOTE WANAOPENDA MAENDELEO YENU KILA KUKICHA MKO JUU KANUMBA.KWA KUWAFUNGA MIDOMO ONDOEN HARAKA TOFAUT YENU ILIYOPO NA PIGEN KAZ YA PAMOJA NA MUIPE JINA LA SS NI NDUGU WA DAMU,NA ITABAKI KUWA HIVYO.

Milka Richard said...

Ebwana nimeona nimeiona "Because of U" ni tamu niaje.Mmekamuajeeeeeeeee!hongeren sna,story ni nzuri sna na mmeitendea haki.watz wanataka vi2 ka hv venye ubora c kulipua lipua il uwahi kupeleka sokoni.Tukiachana na hayo, INASEMEKANA WW NA RAY HAZIIVI NOWDAYS.FANYA JUU CHINI, KADRI YA UWEZO WAKO MMALIZE TOFAUT ZENU.MNAJUA NI WAPI MMETOKA,MAMBO MANGAPI MMEFANYA PAMOJA,NYIE NI NDUGU NA KAMWE MSICKILIZE MANENO YA WA2 NA MCWAPE NAFASI?????CO WOTE WANAOPENDA MAENDELEO YENU KILA KUKICHA MKO JUU KANUMBA.KWA KUWAFUNGA MIDOMO ONDOEN HARAKA TOFAUT YENU ILIYOPO NA PIGEN KAZ YA PAMOJA NA MUIPE JINA LA SS NI NDUGU WA DAMU,NA ITABAKI KUWA HIVYO.

prisca said...

kanumba nimeuliza kuhusu filamu za kinaigeria pleas nijibu.napenda sana movie zako especially MORE THAN PAIN naiangalia kila wakati.

Anonymous said...

KANUMBA JAMANI UMEPENDEZA SANA YANI MIE NACHANGANYIKIW ANIKIONA MTU AMEJAZIA PLZ ENDELA TENA ALAFU UKISHAMALIZA NITAFUTE JAMANI KAMA UKO SINGLE LAKINI NAJUA WEWE NI BROKEN HEART KAMA MIE MIE KWANZA SIO SUPER STARR TUTENDANA ALAf VERY BEAUTIFUL

EMAIL YANGU HII tsalmin@yahoo.co
ukishamaliza ukiwa fiiit kabis aplz nitafute jamani nitarufahi sana niko siriaaaaaaaaaaaaaz

Anonymous said...

nakushauri uishie hapohapo sasa unapendeza na unavutia kwa kweli ila mi nina kitu kimoja hozo style za nywele mi naona hazikufai unakuwa kama dancer , mi nakushauri usiweke hayo sijui ni jelly au wave unakuwa mno artificial ungenyoa tu kawaida ungependeza sana kaka yangu, hongera kwa kazi nzuri ubarikiwe sana

Anonymous said...

yaaah,uko safi mi nakubali kazi zako sana yaani si mchezo nazipenda ki kweli

Anonymous said...

yaaah,uko safi mi nakubali kazi zako sana yaani si mchezo nazipenda ki kweli

Anonymous said...

we nae ndo unapoudhi mambo yale yale mwezi sasa badili basi manake nini au upo busy?

Anonymous said...

nivizuri ungeheleza kuwa zamani ulikuwa na kl ngapi na sasa una kl ngapi

Kat M said...

You look good but I would suggest you just work on toning your body and getting those six packs... another thing that i think you should change is your hair style! you really dont have to go throught that extreme with those hair dye.. stick up to the natural stuff, like a nice low cut or an afro... i think that would suit you more....love ur work so much....

Anonymous said...

Kanumba umekuwa na afya nzuri umeonekana handsome...mtizamo wangu upunguze nywele zisiwe ndefu utaonekana kiume zaidi..hapo upo poa usiongeze tena kifua plz...patana na Ray kama yanayosemwa yakweli PLZ PLZ..juu ya yote nakuombea upate mke mwema atakayekupenda kwa dhati na sio kwa muonekano ama ustar...muombe Mungu atakupa kilicho jema...best of luck, wit luv..fan wako na dada.

Anonymous said...

Hi Kanumba kwakweli ishia hapohapo body imetulia,ila mi uhauri wangu kwenye nywele jaribu kitu kingine kwakweli,you have a gentleman figure but hizo nywele zinaaribu kila kitu.
Nakutakia mafanikio mema na upendeleo wa Mungu uwe juu yako.

Anonymous said...

Umependeza sana ishia hapo hapo

Anonymous said...

Bakia hapo hapo, you look good!

Anonymous said...

Nakushauri upunguze tena.

Anonymous said...

Hapo Kaka naona sasa upo poa ila hakikisha tu hauongezeki zaidi ya hapo yaani endelea na diet lakini pia mazoezi usiache. Hongera sana kwa kupunguza maradhi maana unene ni maradhi hayo. shabiki wako.

Anonymous said...

kwa ss uko fit,yani uko ile mbaya saafi saana

Anonymous said...

waooh! u luk gud brada,hopely hata yule asiyependa kuuza sura kwenye tv kama anavyosema atakkubali tu kiaina. im ua namba one fan and real love ua work.

Anonymous said...

wanakuchora uko mbaya kiukweli huna sura ya mvuto hilo ndilo tatizo hujaniimpress

REHAN KIOBYA said...

Ebana kaka,hapo ulipo imetulia zaidi isipokua suala la hair ni staili tu leo hivi kesho vile ili kuweka vionjo tofauti.SO GOOD BOY.

REHAN KIOBYA said...

Ebana KANUMBA hapo imetulia,just stop there.Suala la hair ni staili tu leo hivi kesho vile ilimradi unahakikisha unaweka vionjo tofauti tofauti kwa watu wako.UKO POA KAKA.