Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 9, 2011

MARA TU BAADA YA KUANZA DIET NA MAZOEZI KWA NGUVU MUONEKANO WANGU UKAWA HIVI.....

HAPA NIKISHOOT ''BECAUSE OF YOU''ILIYOTOKA HIVI KARIBUNI......
6 comments:

Anonymous said...

Kweli kaka mabadiliko ni makubwa na umependeza sana. Mimi huvutiwa sana na filam zako kwa sababu ya mvuto ulionao, kwa hiyo hatua uliyochukua ya kurekebisha mwili ili kuongeza mvuto ni nzuri na hiyo itafanya uendelee kukamata vilivyo katika tasnia ya filam Tanzania. Big-up brother!!

Eddy - Mza

Anonymous said...

me nakuomba usiweke nywele dawa kuwa natural

Anonymous said...

umependeza sana mkuu - pengine sababu ya kutoa ndevu au labda ni style tofauti ambayo hujakaa nayo muda mrefu - kazi nzuri - tafuta washauri zaidi na soma sana pia.

Anonymous said...

umependeza sana mkuu - pengine sababu ya kutoa ndevu au labda ni style tofauti ambayo hujakaa nayo muda mrefu - kazi nzuri - tafuta washauri zaidi na soma sana pia.

Anonymous said...

umependeza sana knumba jitaidi usinenepe...yani mi nakupenda sana kanumba nikikuonaga kwenye movie zako nachanyikiwa jaman....kip it up unafanya vizuri sana kwenye movie hapa tanzania hakuna anayekufikia....

dorelyn

Anonymous said...

hi bro
you look so sexy and handsome big up and God bless you ........
by shila -a town