Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 9, 2011

MWANZONI MWA MWAKA HUU KABLA SIJAANZA DIET NA MAZOEZI KWA NGUVU..MUONEKANO WANGU ULIKUWA HIVI....

WAKATI WA THE SHOCK...


WAKATI WA DEVIL KINGDOM....

4 comments:

Anonymous said...

yani ulikuwa unaenda kuzeeka wangu,mwambie na swahiba naye apunguze kitambi,ila sasa ivi u look nice wangu.

jane bomba

Albert said...

Hapo unene wako ulikua unatisha kaka. Nadhani hungeweza ku act scene za action ukiwa na unene wa hivo. Kama kipindi cha "Hero of the church" ungekua hivo usingeweza ku act baadhi ya scenes. Endelea na mazoezi na diet nadhani utakua sawa. Hata na mimi nime lose 10kgs kwa muda wa miezi sita tu, so na wewe utaweza!
Albert
Australia.

Anonymous said...

kweli kaka muonekano wako mpya ni mzuri usijaribu kunenepa kbsa kwani unene unazeesha wewe kula kidogo piga kazi na maisha yataenda nguo zinakuendeza ukiwa mwembamba na mrefu,pia nguo zako za kumerermeta uwsiwe unavaa bwana yaan hata mie sizipendi vaa tu za kawaida

sq said...

usirudi kule wangu, ikibidi mwambie na ray maana huko anakoelekea ni balaa