Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 23, 2012

DEVIL KINGDOM YAINGIA KATIKA FESTIVAL YA KIMATAIFA YA FOFA NCHINI GHANA.

NDUGU MASHABIKI WANGU ILE FILAMU YETU NILIYOMSHIRIKISHA RAMSEY NOUAH TOKA NIGERIA ''DEVIL KINGDOM''IMEINGIA KATIKA TAMASHA LA KIMAIFA LA FILAMU NCHINI GHANA LIJULIKANALO KAMA FESTIVAL OF FILMS,AFRICA(FOFA)TAMASHA HILI LITAANZA TAREHE MOJA MWEZI MARCH HADI TAREHE 4 MARCH JIJINI ACCRAH-GHANA AMBAPO MASTAA MBALIMBALI WA MOVIE TOKA AFRICA NA NJE YA AFRICA WATAKUEPO,KATIKA TAMASHA HILI FILAMU NYINGINE TOKA GHANA,NIGERIA,AFRICA KUSINI,KENYA,DIASPORA nk NAZO ZIMEINGIA HUMO.MENGI ZAIDI NITAWAJUZA MUDA UKIFIKA.

19 comments:

Anonymous said...

Hongera kwa hilo,ile movie ulijitahidi katika kifikiria sana mpaka najiuliza ulikuwa unafikiria mwenyewe au?? kuna wwakati mtu unaghaili kwenda hata kanisani ukifikiria unaweza ukawa unahudhuruia kumbe baba mchungaji nae ni Fremasons dah... inakatisha tamaa1

mkweli said...

all the best kaka, kaza buti tupo pamoja nawe kukusupport

Baraka Mfunguo said...

Kiukweli ile movie ya Devil Kingdom umeicheza katika ukomavu mkubwa . Siwezi kusema ni kwa sababu ulimleta mwigizaji wa kimataifa kutoka Naijeria, hasha isipokuwa mpangilio wa matukio, wahusika, uhalisia wa filamu yenyewe na maisha ya sasa pamoja na muendelezo mzima. Hongera sana mwanzo mzuri.

Albert said...

Sina mengi ya kuongea isipokua tu congratulations!!!!!!
Ila kinacho nishangaza nilisoma comments nyingi kwenye magazeti na mitandao mbalimbali ambapo zilikua zikitolewa comments za kuiponda movie hii, sasa kwa nini imechaguliwa? Watanzania pendaneni kama Yesu alivyotupenda, Amen!
Albert
Australia

Milka Richard said...

Hongera sna Kanumba,kwel kizur kinauzika chenyewe.japokuwa baadhi watz ktk kutoa maon waliiponda,na 2najua kuwa weng wao c wazalendo.hupenda kukatisha tamaa,na c kutia moyo pale panacstahili.PAMOJA NA YOTE HAYO STIL IMEONWA!HONGERA KWA MARA NYINGINE TENA!
Milcah

Anonymous said...

wanaoiponda wivu tu unawasumbua.na bado mbona...hongera sana kanumba upo juu sana na mungu azidi kukuongoza

Caris said...

Nothing stops a strong man to acheive, good goes to a good. Wee mkaaaaree bana. Congrats.

Caris.
www.caristv.blogspot.com

Gidnorah Ziri said...

Congrats Bro may the lord continue 2 bless you

Anonymous said...

hongera kaka yangu, Mungu wangu azidi kukubariki na kukuinua mpaka ushangae.

mariam said...

tu japo kidogo. ni mimi mdau kivuli. asanteout of topic:
kanumba kiukweli mimi binafsi sio mpz wa filamu za kibongo sababu kubwa maigizo na mizaha mingi kwenye movie zetu, but believe me kwa wasanii wa kibongo ukiacha JB na CHENI hakuna mwingine anaeweza kucheza vzr yaani kupiga mzigo zaidi yako,kiukweli sijaangalia movie nyingi zako but ktk chache nilizoangalia ur the best.
nimeandika hili kukushauri suala la yule mwenzio greatest kusema kuwa hukutenda haki kumuanika baba yako redioni kuwa alikutesa eti maisha ya zamani yako hakuna anaetaka kujua siyo kweli,mzazi anapokosea lazima aambiwe na wewe hukumtusi baba bali ulielezea uhalisia,kumbuka ww ni role model wa mtu ambaye yy anajijua so vile ulivojielezea hata mtoto mwingine amabaye atapitia mateso yawe ya baba mzazi,maam mzazi,baba wa kambo ama mlezi yeyote hatokata tamaa atajipa moyo ipo siku atatoka kama wewe, pia amesahau kuwa qchief alimuimba baba yake je ubaya huo ni kwa kanumba tuu? hii dhana ya mzazi kutokosea ndio imepelekea watoto wa mitaani mana watoto wanaamua kufata njia zao ili wamuepuke mzazi wao lkn kama mzazi akikosea aambiwe ili ajirekebishe na siyo kufuga maradhi.ama umaarufu wako ndio usiseme kuwa ulichunga mbuzi? si kweli kanumba kama baba alikosa sawa ulikuwa mdogo naamini umemsamehe pili wewe hukwenda kwenye vyombo vya habari kuanza kusema baba amenitesa ni swali limetokea katikati ya habari so sioni labdakama namimi sijui ila all in all mungu ni mwema msameheane na baba na maisha yataenda,lkn watu wasitake kupata vichwa vya habari font page sababu ulielezea historia ya maisha yako kiufupi ni historia yako na haitakaa ibadilike hvo waelewe. hii habari ndugu yangu siyo lzm uipublish just kuisupport kazi zako na kuelezana ukweli panapo stahili.

mariam said...

out of topic:
kanumba kiukweli mimi binafsi sio mpz wa filamu za kibongo sababu kubwa maigizo na mizaha mingi kwenye movie zetu, but believe me kwa wasanii wa kibongo ukiacha JB na CHENI hakuna mwingine anaeweza kucheza vzr yaani kupiga mzigo zaidi yako,kiukweli sijaangalia movie nyingi zako but ktk chache nilizoangalia ur the best.
nimeandika hili kukushauri suala la yule mwenzio greatest kusema kuwa hukutenda haki kumuanika baba yako redioni kuwa alikutesa eti maisha ya zamani yako hakuna anaetaka kujua siyo kweli,mzazi anapokosea lazima aambiwe na wewe hukumtusi baba bali ulielezea uhalisia,kumbuka ww ni role model wa mtu ambaye yy anajijua so vile ulivojielezea hata mtoto mwingine amabaye atapitia mateso yawe ya baba mzazi,maam mzazi,baba wa kambo ama mlezi yeyote hatokata tamaa atajipa moyo ipo siku atatoka kama wewe, pia amesahau kuwa qchief alimuimba baba yake je ubaya huo ni kwa kanumba tuu? hii dhana ya mzazi kutokosea ndio imepelekea watoto wa mitaani mana watoto wanaamua kufata njia zao ili wamuepuke mzazi wao lkn kama mzazi akikosea aambiwe ili ajirekebishe na siyo kufuga maradhi.ama umaarufu wako ndio usiseme kuwa ulichunga mbuzi? si kweli kanumba kama baba alikosa sawa ulikuwa mdogo naamini umemsamehe pili wewe hukwenda kwenye vyombo vya habari kuanza kusema baba amenitesa ni swali limetokea katikati ya habari so sioni labdakama namimi sijui ila all in all mungu ni mwema msameheane na baba na maisha yataenda,lkn watu wasitake kupata vichwa vya habari font page sababu ulielezea historia ya maisha yako kiufupi ni historia yako na haiakaa ibadilike hvo waelewe

Anonymous said...

hongera

Anonymous said...

Kanumba me ni shabik wako ktk movie zako. Ur da best n ur ma role model ktk tasnia ya kuigiza. Nikiona movie yako huwa nafeel like nimekuona ww face 2 face. Cku zote kizur ndo kinachukiwa so uckate tamaa na wanaokuponda coz si unawajua waTz huwa hawapend kumuona m2 anaendelea. Nakufeel sana n keep it up bro

Anonymous said...

congratulations ma role model..nakuombea mafanikio zaidi, cha msingi usijikweze endelea kujinyenyekeza kwa Mungu ili akuinue kwa wakati wake...mi love u sana

The Kalija said...

hongera sansa

Celine said...

Ur da best na utaendelea kuwa da best ktk kuact. Lv u!

Anonymous said...

endelea kukaza ucwasikilize watu coz bongo kila mtu anajifanya anajua so we wait for another international film

Anonymous said...

atakae ku diss kanumba,ana matatizo,tena makubwa sn..ya wivu usio na maana...na nadhan atakua anataman kua kama wewe....u r d best actor...ukifuatiwa na JB

Anonymous said...

atakae ku diss kanumba,ana matatizo,tena makubwa sn..ya wivu usio na maana...na nadhan atakua anataman kua kama wewe....u r d best actor...ukifuatiwa na JB