Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 29, 2009

Bonanza letu lilivyofana siku ya Boxing Day...


Kutoka kushoto Dude, The Great,  Beka, Hartman, Masanja na wadau katika Bonanza letu leaders Club.

6 comments:

Anonymous said...

-Swali moja tu:Kwanini wajiita,"The Great"?

Anonymous said...

ila siku hizi bongo imezidi kuiga,mpaka sikukuu-:boxing day, hallowen,mothers day nk.vitu vingine wazungu watatuzarau hivi hushangai mbona kitu kikifanywa na black people wazungu hawaigi tubuni vyetu sio kuiga kila siku

Anonymous said...

ngoja nimjibu huyo hapo juu. Kwasababu yy ni mwamba ktk uwanja wa filamu za kibongo. Nani unayemuona kazoea camera kama siyo yy? mi katika filamu actual he the great according to me. au mnaonaje wadau? tukizungumzia soko la kibongo

Anonymous said...

anon. wa tatu. nakubaliana nawe 100%.

Anonymous said...

big up the great...

Anonymous said...

-I 've seen wengine wanaostahili kujiita "The Great"zaidi yake na hawafanyi hivyo,they let their talent speak for themselves and their consistent support they get from their fans.
Sisemi that he is not talented but i think Tollywood inataka kuwa kama Bollywood kwani kupata kazi kwa wenzetu ni labda kama uliwahi kuwa beauty queen au kama ni model,talent haiangaliwi kwani kitakachouza movie ni sura.
-Kanumba needs to make more substantial movies na achague cast yenye talent na si Miss anayechipukia.
-A movie's success ni cooperation ya the whole casting crew na hao mamiss wanamharibia tu.
-Atafute watu wenye kipaji halisi na wanaoweza wasilisha ujumbe kama dada mmoja aitwaye Rose Nungu,dada balaa!Si Miss,hakuwa na makeup ya ajabu(if any)na aliingia kwenye skin of the character!
Kwa anayebisha aangalie movie yake ya "Born 2 Suffer" na kuona crew nzima ilivyonyanyasa mbaya hisia zetu!Waliwakilisha sana!I personally would have given them my vote for an Oscar for Foreign Film.
-Last but no least,i think it's high time that we had "Kilimanjaro Movie Awards"!The movie industry has been going on for quite some time now and i don't see why hatunayo bado.
-Haya,chalenge hiyo Kanumba,anzisha awards hizo(bila vigezo unayotaka personally of course)na tutafikiria kukubaliana na wewe kama ni "The Great" au la...
-Anonymous wa Dec 29,2009 3:48 PM