Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 26, 2009

The Great kanisani AIC Chang'ombe


We unadhani mi sikuwepo? Hapa nikiwa katika ibada ya Christmas asubuhi na rafiki yangu wa siku nyingi (Bayuka). Tuliwahi kuimba wote katika kwaya enzi hizo........ yeye alikuwa akipiga kinanda, mimi nikipiga Gitaa la Bass.

9 comments:

Anonymous said...

Eeeh,kumbe ndio maana kwenye movie ya village pastol ulijitahidi sana kupiga gita na kuhubili pia?Yani wewe kanumba nakupenda sana kwasababu movie zako zote huwa zina mafundisho meengi..tena wewe kwenye movie zako huwa zinaonyesha kuwa uliwahi kutumikia mungu.

julytz said...

hongera my kaka

Anonymous said...

Nashkuru kwa kuanzisha hii blog.Natumai utaendelea kuweka yanayojiri bongo katika mambo ya filam.Mimi ni mpenzi wa filam za bongo hususani za kwako, maana nimezi find ni za high quality, actually meseji ni za maana yaani mafundisho yake mazuri. Ninaweza nikasema baada ya kuangalia muvi ntumiwazo na ndugu zangu kutoka bongo mchanganyiko, kuwa wewe Kanumba uko juu mno kwa sasa, ni aidha kipaji au bahati au vyote vimekuweka juu. Sijajua tu jinsi ya kupata movie zako zaidi online ningekuwa nazinunua sana tu.HONGERA SANA KAKA

mdauzzy

asmaa said...

Hongera kwa sana kaka...hongera kwa vipaji vyote ambavyo pia unavitumia kwenye shughuli zako za filamu....tunataraji mambo mengi na mazuri toka kwako...

Anonymous said...

hongera sana kanumba unajitahidi sana katika movie zako upo juu sio siri na admire sana movie zako the way una act inaonekana ni real siokama maigizo na zina mafundisho mengi .ninachokushauri jiendeleze kielimu hasa jitahidi kujifunza lugha mbalimbali na uhakikishe una master English vizuri hiyo itakuweka juu zaidi utaweza kushiriki katika movie za nje bila kusumbuliwa na lugha ndio tunathamini sana lugha yetu yakiswahili lakini nivizuri pia kwa watu kama nyie waigizaji kumaster lugha nyingi.Naomba umwambie Ray ajitahidi zaidi yani the way ana act inaonekana sio realy nikama maigizo so mwambie ajitahidi kuwa smat anapo act

Mama twins said...

Mambo brother K! mi nakupa big up sana broo! Mungu akupe maisha marefu uendelee kuellimisha jamii.
Hongera sana kwa kuanzisha blog yako. Wadau tupo pamoja nawe broo!

Anonymous said...

Kanumba sasa umeingia kwenye ulimwengu wa uwazi na ukweli. Utashangaa kuona pande mbili za shilingi; kwanza jinsi watu wanavyokupenda wewe na kazi zako, na pili jinsi watu wanavyokuchukia wewe na kazi zako. Ushauri wangu kwako, uwe mvumilivu! Fanya dsturi ya kuoitia blog ya JayDee uone jinsi anavisemwaga ovyo na jinsi anavyojua kuvumilia. Utawajua walimwengu thru this blog kaka but usife moyo, wanaokupenda watawazidi wanaokuchukia.... MWISHO NAPENDA KUKUSHAURI KUWA, TAKE ALL BAD COMMENTS AS VALUABLE FEEDBACK AND MOVE ON BROTHER. Manka

Anonymous said...

Hongera sana kanumba kwa kazi nzuri unayoifanya kuelimisha jamii.kitu ninachotaka kukushauri jitahidi kuwa na maamuzi ya busara kwakila jambo unalolifanya.pia muombe sana mungu ili aweze kukuinua juu zaidi.tubu pale ulipoona umeanguka kwani mungu wetu ni mwema hata hawezi kutuacha tuangamie katika dhambi nakutakia mafanikio mema kwa kila jambo unalolifanya.ukirudi kwenye uimbaji kama zamani itapendeza zaidi pamoja na fani yako ya uigizaji kaza buti kijana.

Anonymous said...

ANON. WA 31 DEC. NAKUUNGA MKONO. KILA KITU MUNGU MBELE