Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 19, 2009

Kaa tayari na Filamu mpya ya Crazy Love

....Steven Kanumba sasa yupo jikoni akiandaa kitu kipya ambacho kwa namna moja au nyingine nadhani kitaleta msisimko mkubwa kwa washika dau mbalimbali wa filamu na sanaa kwa ujumla.

1 comment:

Anonymous said...

Hii itakuwa nayo imekatwa part 1 and 2 maana I hate filamu kukatwa kwa maana ya 1&2 kuwaaibia watu pesa zao,mbadilike jamani,
Maana ya part 1 ni movie nyingine na ya pili ni muondelezo wa movie ya kwanza but inamuonekano mwingine kabisa,
kama ninyi hamtaki kuibiwa basi msiibie watu