Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 27, 2009

TUNAOMBA MAONI YAKO





Naomba utusaidie kukuletea taarifa haraka bila ya usumbufu wa kusubiri taarifa kwa muda mrefu. Je! kuna uchelewaji wa Page hii ku-load? au inashindwa kabisa ku-Load? au Afadhali? au Safi sana?  Akhsante sana!

8 comments:

http://abebedorespgondufo.blogs.sapo.pt/ said...

Good.
Portugal

Mzee wa Changamoto said...

Amani, Heshima na Upendo kwako Kaka.
Kwanza NIKUKARIBISHE katika ulimwengu wa ku-blog.
KARIBU SAANA
Pili niseme naamini blogu ni zuri tu na ndivyo wengi tulivyoanza. Kisha vikorombwezo vingi vitaongezeka. La muhimu ni kujua nini wapenda ama wataka kisha uwasiliane na mwenye nacho naye atakujuvya wapi pa kupata.
Lililo kuu zaidi si muonekano, bali MAUDHUI
Nakutakia kila lililo jema katika harakati hizi za KUIELIMISHA, KUIBURUDISHA NA KUIKOMBOA JAMII KUTOKA KUONDOKANA NA UTUMWA WA KIAKILI UNAOTUREJESHA NYUMA
Blessings

asmaa said...

Mie naona iko faster kama kiberenge....haina tatizo ina muenekano bomba ni wewe tu sasa kupata muda wa kutupostia vitu kila siku ili tupate muonekano mpyaa kila tunapofungua..nakutakia kila kheri kati safari hii ndefu ya maisha na ya kublog.

Tanzania Models Organisation said...

mambo vipi bro hope your fine ktk shughuli zako za kila siku na mungu azidi kukubariki.sas swali hivi kwanini nyinyi masupa staa wa movie mnapendda sana kujirudia ktk kila movie hambadilishi waigizaji? inamaana hakuna watu wengine wanao weza kucheza vizuri hizo movie?kwa maoni yangu mshirikishe vipaji vipya ili tuone utofauti katika kazi huo ni ushauri tu na sio lazima ukitunga movie lazima wewe uwe mchezaji mkuu wateuwe wengine uone uboa ktk kazi

poWEROFGODFIRECHURCH.BLOGSPOT.COM said...

IKO JUU NO ANY PROBLEM SO FAR HUKO MBEKLE NIKISEMA JUU NITAKUWA NIMEKOSEA KAKA

Martharita said...

Hongera Sana kanumba kwa kuzidi kupiga hatua, nakupongeza kwa kujiajiri na kuachana na dhana ya vijana wengi kuwa akimaliza shule tu anataka kuajiriwa. Hongera sana blog yako ni nzuri na ipo fasta. Jitahidi tu kuwa up to date.

Anonymous said...

jaribu kutafuta mpiga picha wa ukweli ama ujifunze kwa mtaalamu wa steel picture coz kuna vitu hapo kanisani vimekwenda sivyo ckwambii kwa unafiki ila kurekebisha chetu kiwe bora zaid ya hapa.usishindane boresha chako tupo wadau.by HERI ALLI SHABANI

Anonymous said...

jitahidi zaidi kutuletea habari mbalimbali za kisanii kuliko kujionyesha wewe tu blog nzima....kwa mfano kuna movie mpya gani, nani kasema nini kuhusu movie industry na vitu kama vile..badala ya kujionyesha we mwenyewe global nzima