Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 25, 2009

Michezo; Simba na Yanga


Eeh Bwana daaah! Kweli Papic Noma!! yaani yale majigambo yote ya makocha wawili wa Simba na Yanga jana yalitupa majibu sahihi kwamba nani mkali zaidi ya mwenzake. Papic ndie aliyeibuka kidedeaa baada ya Timu yake ya Yanga kuifunga Simba ya Msimbazi mabao 2-1 na kufanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Tusker itakayofanyika siku ya Jumapili na timu ya Sofapaka ya Kenya. Ambapo Simba itakutana na Tusker ya Kenya katika kugombania mshindi wa tatu mechi itakyopigwa siku ya Jumamosi kabla ya fainali J'2

2 comments:

lema one said...

KAKA WE TIMU GANI MMMH MAANA MIMI YANGA DAMU DAMU

TUMAIN said...

ILIKUWA MECHI NZURI, NA KUFUNGWA NI SEHEMU YA MATOKEO MPIRANI,ANAFUNGWA REAL MADRID ITAKUWA HAWA SIMBA MIE SIONI KWANINI WATU WANABEZA SIMBA KUFUNGWA, KWANI WANA NINI CHA AJABU MPAKA WASIFUNGWE