Nikiingia mkutanoni huku nimeongozana na Mzee Yusuf Kalala(kushoto) na Dada Sharifa Kalala
DR.Hamza Mwamoyo(katikati) akiwa na mkewe(kulia)walikuepo
The great nikiteta jambo na mheshimiwa balozi(marekani) MWANAIDI SINARE MAAJAR
Maongezi yakawa more serious mpaka tukasahau kama tulikuwa tunapiga picha,maongezi yalihusu filamu zetu nyumbani jinsi ya kuziinua zaidi na mikakati aliyoipanga mheshimiwa juu yake.
Picha zikaendelea
Amisa a.k.a miss temeke,kanumba na mdau katika picha.
11 comments:
Hongera kwa ulipofikia, ila as a star or celebrity you need a stylist hujui kuvaa wewe na RAY, mavazi yako hayaendani na kiwango chako ulichofikia, tafuta mshauri wa mavazi. hilo tu mengine hongera
Kaka hili koti yaonesha unalipenda sana au ndio kauka nikuvae!
Tumepata balozi mpenda watu. Kila Mtanzania sasa yuko huru sasa kuwasiliana na ubalozi na kuweza kusikilizwa. Inafurahisha sana!!!
Uko juu bro, nakufagilia saaaaaaaaaaaaaana
Kama umepungua kidogo, au...
Hivi nyie wachawi mbona hamsikii kila kukicha hajui kuvaa mtavimba majishingo kwa wivu.
Wewe unajua kuvaa! au ndo mchelemchele na moka!
Wewe unayekazania mavazi vua zako unazoona zinafaa avae. Mbona unapenda ku-bore watu na kauli yako ya mavazi. Unataka avaaje na kama ndizo alizonazo je unataka avae nini sasa, Au atembee uchi ndio uone kuwa anavaa sasa
Watu wakitoka kiheshima mnasema hawajui kuvaa, wavae mlegezo nido mujue kuwa wanajua kuvaa??????????????????
Mimi unanibore sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
"Hongera kwa ulipofikia, ila as a star or celebrity you need a stylist hujui kuvaa wewe na RAY, mavazi yako hayaendani na kiwango chako ulichofikia, tafuta mshauri wa mavazi. hilo tu mengine hongera"
USHAURI:
Hebu muonyesheni nguo zenu za ndani nafikiri ndicho anachokitaka huyu kutoka kwenu RAY & KANUMBA.
Tumemchoka hivi ni lazima comment yake itokee hapa anatuchefua bwana mpotezeeni huyu.
hongera sana k na mungu akuzidishie na we acha usukunuku na roho mbaya mbona we unavaa sanda toka basi tukuone
hongera sana k na mungu akuzidishie na we acha usukunuku na roho mbaya mbona we unavaa sanda toka basi tukuone
Post a Comment