Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 25, 2011

KUTOKANA NA E MAIL NA MAONI YALIYOTUMWA MSHINDI NI HUYU..

Ramsey Tokunbo Nouah(Nigeria)....,Filamu iwe katika lugha mchanganyiko(kiswahili na kiingereza,...hayo ndio majibu nami nayafanyia kazi....Angalizo yale maoni au e mail zilizotumwa kwa lugha za matusi na kejeli hazikuhesabiwa kabisa maana humu sio sehemu yake.

32 comments:

lema one said...

kaka tumemuona kaka live in paradise city hotel city splndr karibu sana location hii

Anonymous said...

Usijistukie am sure huu mchakato hakuwa na luga mbaya hata kdg zaidi ya kusema ufanye kazi nanani.
Katabia kako kaumalaya ndiko kanakofanya utukanwe shenzi wewe kuwa mwanaume isiwe tabu utapigwa kipapai shauri zako. haya na huyu shazi nae sijui mataishia pilosi au kwenye ndoa hata sielewi.
Kwanini usitembee na mwanamke ambae hana jina kubwa????????? huisi itakusaidia hata mkibwagana??????? kutaka makubwa ili uonekane kijogoo na yatakushinda kazi kukidindisha tu kila sehemu manina

Anonymous said...

hongera sana kwa hilo,nakuaminia na ni wewe tu huwa unajaribu kwenda kwenye next level.ila kwa nini msingefanya kugha iwe ya kiingereza tu?ili tujaribu kuuza masoko ya nje ya nchi.kwani ghana zamani filam zao zilikuwa wanaonyesha kwa lugha ya kwao tu.michezo iliyokuwa ikijulikana ni ya ki nigeria tu.sio miaka mingi iliyopita wakaanzisha vlugha ya kiingereza,michezo yao kwa sasa inatambulika na ina soko.na ma actors na ma actress wanajulikana na wako juu tu.kuiga kitu chenye faida na manufaa sio vibaya.huku ulaya kuna channel za kulipia micheza ya ki nigeria na ghana tu,nina uhakika lugha ya kiingereza inachangia filam kupendwa na kuangaliwa na nchi tofauti.ingekuwa si lugha ya kiingereza sifikirii hata na sisi watanzania tungeangalia michezo yao

Anonymous said...

u are the best,and we like Ramsey.we hope ita kuwa ni bonge la movie

Anonymous said...

all the best kaka.

Anonymous said...

Hongera kaka huyo ni kichwa ila kwa akina dada wa bongo mchukue mona, shady manake kidogo kidhungu kimepanda wangene vishekesho kila la heri


Mamito

mdau botswana said...

sawa wengi wape ila me nimekuwa disappointed kwani nilimpenda zaidi van vicker nimestushwa kumna ramsey global publishers akiojiwa na waandishi kanumba umenidis

mdau botswana said...

jamani kwani ni kigezo gani kilichomfanya ramse ashinde au ulimpenda tu we mwenyewe maana van vicker ana kura nyingi nimehesabu sasa ivi au hakuwa tayari yani nimekosa furaha kabisa jamani maana uyu kaka namkubali na angefunika saaana remsey tangu nipo primary school jama tushamchoka tulimpenda van vicker zaidi

Milka richard said...

Ahsante kanumba,2nasubil utuandalie ki2 cha ukwel.binafsi nakukubal sna.kaza but.kuhusu hao wanao2ma email za matusi,achana nao wasikuumize kichwa,maneno ya wakosaj 2 hayo.hayawez kukuzuia kunywa maji.na utambue kuwa c kila m2 anafulahishwa na mafanikio yako,cha msing kaza but sna uzid ku2pa raha watz.na umutangulize Mungu ktk shuhul zako zote,utafanikiwa zaid ya ilivyo ss.hvyo vikwazo 2,na havina bud kutokea.unatakiwa uvishinde.

Mimi said...

SAFI SANA KANUMBA. GO GO GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

KAMILI said...

Kanumba ndugu yangu hongera kwa hatua ya kumwalika Ramsey kufanya nae filamu.

Hao wanatukana we wasamehe bure maana wana wivu usio wa kimaendeleo. Matusi yao hayajasaidia chochote kwao.

Mungu akubariki kaza buti, naisubiri kwa hamu Movie hio

vinide said...

hongera kaka yangu kwa hatua kubwa unayofikia, mie kaka naomba nikwambie limoja, unaendelea vizuri na mafanikio ni mazuri kama tunavyoona, sasa la msingi kwa nini wewe usiwe wa kipekee zile tabia ambazo mastar wengi wanafikiriwa kuwa wanazo kwa zizi wewe usiziepuke ili usonge mbele zaidi, tafuta dada mzuri anayejiheshimu ikiwezekana hata sio hao mastar wasiojitambua, uwe nae kwenye mahusiano ya maana. tena anaweza hata kukusaidia kusongesha na life na baadae kujenga familia yako nzuri,

vinide said...

hongera sana kanumba, nakutakia kila la kheri

Beauty Touch in Dar said...

safi sanaaa Kanumba
nawatakieni mafanikio mazuri kabisa lo!, all in all, mkanda wa the shock mmejitahidi sana, shazy nae japo ni mara ya kwanza amejitahidi mno nikimuona chuo natamani nimpe hongera zake lakini mh! miguu Yangu inakuwa mizito kwel.
MMECHEZA, MMEFUNDISHA, NAWAPENDA SANA NATAMANI NAMIMI NIWE MSANII MKUBWA KWELI

Anonymous said...

kaka hao wanaotukana usiwatizame mara mbili na hiyo ya kwanza ni kwa sababu lazima uzipitie hizo comments vinginevyo wanakupotezea muda wako na sisi tunakujua unajua muda ni mali tangu lini matusi yakajenga? we love you so much !!!!!!!!

Anonymous said...

KM umeamua ramsey sawa piga nae kazi ila ungefanya na mghana van vicker ingekuwa poa san kazi njema

Anonymous said...

angekuwa van sijui ingekuwaje hiyo move siseme ila watanzania wangesema

masuka said...

uko juu kaka,nakukubali mno! wasiokubali achana nao sio lazma wakubali wote, kaza but... 2naisubir hiyo bonge ya collable na ramsey

Anonymous said...

big up Kanumba, kwa ushauri tu, leo nilikuwa naangalia kipindi kimoja clouds,(Zamaradi ndo host) nikaona wanatafuta vipaji, kuna watoto 2 nimeona wanaongea lugha ya kingereza vizuri sana, ukiwapata hao na Mona, hautaangushwa kwenye upande wa this and that maana hao wasanii wa kike mmh, sijui ila wasije wakakuzingua.

Anonymous said...

kanumba mi nakukubari achana na hao wanaokutukana, na kukukatisha tamaa, jamani hivi watu wakoje? tuelimike tuachane na matusi. kanumba kazi butiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

mdau usa

Hawa said...

Au labda email nyingi zilimpendekeza RAMSEY?? Kama hvyo sawa. But all in all kila la kheri kaka tunasubir kwa hamu hyo filam na pia usikose kutuwekea vipande vya hyo move wkt wa shooting humu pliz!!

Caris Komba said...

Kaka umetiiisha mzazi. Niko nyuma yako ki-industry.

Anonymous said...

kanumba ur so great.....Van Vicker is so good ila ukianzia na Ramsey sio mbaya......kwa hapo ulipofikia matusi ww fanya mboga tu.....na kama anayetukana ni mkweli basi akimaliza kukuita hayo majina so....and so.....siwezi kuyarudia na yy ajiweke kuwa msafi sana na adress yake na nu ya simu ili tukatafutie uponyaji kwake.......time taking is everything kwa maisha haya ya kibongo.......big up

Anonymous said...

hivi naomba kuuliza watanzania ukiwa msanii lazima maisha yako personal yaafuatiliwe? maana kuna mtu kaandika personal issue za kanumba hapa sijaelewa kama hapa Tanzania Kanumba tu ndo mchafu? au ndo wakwanza kuwa na relation zinazovunjika? hapa tunaongelea move mijitu mingine inaleta personal life za Kanumba Ndo nini sasa? do you think kuwa msanii ubinadamu unamtoka mtu anakuwa malaika? Kanumba ni Binadamu kama binadamu wengine na yote yanayomtokea katika relation na maisha yake binafsi yanamtokea kila mwanadamu. Lets concentrate in promotion of Tanzania Film Industry and not in ruin Kanumba's credibility in this industry. Ni hayo tu sorry kwa niliyemkwaza huo ni mtazamo wangu. It is not necessary to copy and paste everything from outside to our country.

Anonymous said...

hongera kaka na kaza buti, achana na maneno ya wakosaji hao wano kutukana ni wivu kijinga sana hauna maendeleo. Nakushauri tu achana na wadada ma ster hao wanakuvunjia heshima yako, kama vipi nenda shinyanga katuletee wifi mbona wako wazuri sana na wasukuma wanashima sana, achana na hawa masharobaby!!!

Anonymous said...

hongera kaka na kaza buti, achana na maneno ya wakosaji hao wano kutukana ni wivu kijinga sana hauna maendeleo. Nakushauri tu achana na wadada ma ster hao wanakuvunjia heshima yako, kama vipi nenda shinyanga katuletee wifi mbona wako wazuri sana na wasukuma wanashima sana, achana na hawa masharobaby!!!mdau Atown

sophia mkumbo said...

sijampenda huyo m2 hapo juu kwa kashfa zake kama vp comment usiwe unaziweka kaka all in all gud luck

sophia mkumbo said...

sijampenda huyo m2 hapo juu kwa kashfa zake kama vp comment usiwe unaziweka kaka all in all gud luck

Anonymous said...

GREAT JOB....

Mimi ni mmoja kati ya waliomchagua VAN VIRKER, lakini kutokana na kuheshimu uwamuzi wako...nimefurahi na cha msingi ni kuchagua "kilicho bora"

USHAURI WA BUREEEE...
kutoa maoni ni haki ya kila mwananchi, lakini kuna baadhi ya watu wanatumia lugha za matusi ktk mtandao huu...lengo lao sio zuri na sipendi kuzungumza sana kuhusu wato hao...ila ningetoa wazo hili:

KAMA ULIVYOWEZA KUTUPA NAFASI YA KUMCHAGUA MSANII UTAKAYECHEZA NAYE MOVIE, swali: KWA NINI USITUPE TENA NAFASI NYINGINE YA KUTOA MAONI JUU YA SWALA LA WATU WANAOTUKANA KTK MTANDAO HUU MAONI YAO YAANDIKWE AU YAWEKWE KAPUNI ?

Uncle Kanumba naomba ulifikirie yambo hili,kwa kuwa iwapo hutawabana wanaotukana...itafikia wakati mtandao huu utashuka thamani na kuonekana kama wa kihuni....

Thanx...

Anonymous said...

mr ramsey n poa jaribu kusort out vtu vya ukweli ikiwezekana location ziwe za tanzania na nigeria wanaokutukuna naona hao sio wengine lazma hao n wanafunz 2 ndio hawanaga akili ya kutosha take it easy

Anonymous said...

kanumba uko juu, unafanya vizuri kazi yako ya filamu. be blessed endelea kutoa vitu vyenye mafundisho kwa jamii na jamii inaweza kubadilika kutokana na kuangalia filamu zako,
be blessed saaaaaaaaanaaaaaaaaa

Julie

Anonymous said...

kanumba uko juu, unafanya vizuri kazi yako ya filamu. be blessed endelea kutoa vitu vyenye mafundisho kwa jamii na jamii inaweza kubadilika kutokana na kuangalia filamu zako,
be blessed saaaaaaaaanaaaaaaaaa

mamii c