Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 6, 2011

THE SHOCK sasa yakamilika na yamalizika kuwa mtaani jumatatu...

Filamu yangu ya The Shock ndugu wadau imekamilika kwa sasa hivyo jumatatu kaeni mkao wa mezaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kumuona SHAZ SADRY..... Kazini The great na Shaz huku cameraman wangu Zakayo akishoot


camera ninayotumia DSR SONY 390......
Shaz akipiga picha na camera iliyokuwa ikimshoot
mmmmmmh mie sisemi....
Zakayo Magulu(cameraman) na Shaz Sadry mara baada ya kumaliza kazi
Shaz na Afande Kiuno location manager wangu na soundman mara baada ya kazi....

12 comments:

Anonymous said...

Doh dada mkali huyo wema sepetu haoni ndani.....

Anonymous said...

huyo mtoto shazy ni bomba basi kanumba umuache maana wewe kwa kula watoto wazuri fanyanae kazi tu mapenzi NO.maana namjua huyo mtoto wa arusha anashemeji yake wakihindi anawala yeye na dada yake

fulloflyf said...

i love all the three and i watch their movies a lot as well as yours. i think you should work with all of them in different occasion depending on the script or story behind the movie. take best on the person who fits the characters of the story so that they are able to connect well with the story. because thats what is wrong with some movies in Tanzania that make us loose market outside. a person should be able to give people the expression that it happening. thats all hope too see that movie

Anonymous said...

where is the trailer

Anonymous said...

huyu dada ni nyoko!! mzur sana

Anonymous said...

Kaka ni ngumu kudill na watu , ila usijali we muombe mungu atakuongoza ,Hakuna mkamilifu chini ya jua hili, na watu wanakatisha tamaa sana,hakuna anayeweza kukufariji zaidi ya wewe na Mungu wako tu.ila kazi zako ni mzuri sana na unakubalika , usijali tuko pamoja .

Anonymous said...

mzuri mno huyu dada basi asilewe sifa kama wakina wema na aakaanza tabia chafu

Anonymous said...

KWANI UMEAMBIWA APA WANAPAMBANISHWA NA WEMA KWANZA AMEFANANA NAE HADI KUONGEA

Gilo said...

Hi Kanumba, nimefurahi sana kuiona the shock, maana nilikuwa naisubiri kwa hamu sana, movie imeenda shule,huyo mdada nimempenda pia, anavaa kuendana na tukio, mahali na wakati,pia nimeipenda zaidi kwa kuwa unaweza kuiangalia na watoto, nafurahi sana umezingatia maadili, nazipenda movie zako, yani huwa ikitoka siku hiyohiyo lazima niinunue. Big up kanumba, mungu azidi kukung'arisha. Gilo

Anonymous said...

ana tigo balaaa.

Anonymous said...

ana tigo balaaa.

Anonymous said...

mmmmmmmmmmh jaman mm sisemiii huyo dada ni balaaaa yaani yy ndo kafunika kwenye movie, kuanzia kiingereza, mwendo, umbo na pozi zote yaani anaweza kazi big up to her. ila kaka punguza basi kukamua watoto wa watu huyo mwachie ufanye nae kazi akuingizie soko zaidi maana mahala pa kazi ukiingiza mapenzi basi tena yaani kama vile ya wema na ww sasa huyo eshimiana nae ili sanaa ikue kaka. ILA THE SHOCK BOMBA SANAAAAAAA