Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 28, 2011

NAWAONJESHA TU.....

Vipi tuanze kazi??????

26 comments:

Milka richard said...

Kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! leten uhondo huo kaka.

Anonymous said...

Kanumba utafunikwa vibaya sana na Ramsey
Hebu angalia mavazi yako na mwenzio
Kwanini unapenda mashati ya mauwa mauwa..............
Ramsey star wa siku nyingi lakini cheki body yake na hela anayo
Anacheza nafasi yoyote,
Wewe actor wa juzi unaonekana mzee
Badilikeni jamani
Wewe na Ray na mmekuwa wazee
Punguzeni kula

Anonymous said...

Big up Kanumba

Anonymous said...

wow bg up kanumba Mungu akubariki na kukuongoza ktk mambo yako.hao watu wanatoa lugha chafu kwanza wasikumize kichwa pia nafurahi saana unawapuzia sana,pia nimefurahi sana kuhusu ramsey kuwamshindi nasubiri kwahamu sana hiyo filamu niko sweden ila najua nitaagizia direct .keep it up my bro u are the best kanumba.dont care about gossip people.

Anonymous said...

anonymous wa pili yaani umesema la maana saana hawa mastaa wa kwetu wamenenepeana...they dont work out kama wenzao wako in shape...

Anonymous said...

jamani kunenepa sianakula vyake mbona watanzania nyie nuksi jamani mtu akiwa masikini shida akipata shida MR KANUMBA nakupa heshima sana na nakuombea mungu hata siku moja uwe kama wao achana na wanfiki

mdoe jr said...

Ok nimaamuzi mazuri sn kuamua kucheza na w2 ambao wapo juu,lakini kuwa makini sana kwani jinsi unavyo cheza unaendana na Ramsey,Badilika Ili2pate Ladha nzuri Zaidi utakapo cheza nae.

Anonymous said...

bg up bro tunasubiri uhondo maana watu wameshaanza

Anonymous said...

mmependeza sanaa me nasubir the ,the, the, and, maana jamaa kiswahili kinamsumbua jamani ,all the best bro.

Anonymous said...

kanumba bana si utuambie tu, tayari movie imeshachezwa na sasa ipo kwenye editing process. by the way hongera sana, nimeipenda sana story nzima ya hiyo movie. waiting to get my original copy.

Anonymous said...

Hivi nyie mbona mnapendwa kudanganywa na vitu vidogooo.. hivi umewahi kusikia wapi unaingia mkataba na star mkubwa kama huyo within 2-3 weeks na muda huo huo kaja nchini??? pls bwana mdogo acha mashauzi ni kweli umebahatika kuact na huyo jamaa ila si kwamba kwa muda mfupi hivi ndo umefanikisha... punguza ushamba na manjonjo we mtoto wa kiume bwana.. haya tusubili utumbo utakao ufanya..

Anonymous said...

kaka unatisha,nipo pamoja nawe daima.achana nao wajinga, we angalia ya kwako wani hawakupunguzii chochote

Anonymous said...

uko juu kaka anza kazi

Anonymous said...

NAOMBA KUHULIZA HV MIKALA YUKO WAPIIIIII??

Anonymous said...

Big up Kanumba nasubiria kwa hamu kubwa hiyo film fanya mambo The Great.

Anonymous said...

we mkali brother.ila uwemakini ramsey asikufunike bro,

Anonymous said...

we mkali brother.ila uwemakini ramsey asikufunike bro,

Anonymous said...

we mkali brother.ila uwemakini ramsey asikufunike bro,

Anonymous said...

Kanumba hilo pozi lako kwenye picha inayoappear hapo juu limekaa ki gay gay.. hebu badilisha bwana.

Dev said...

Kuna msomi wa miaka mingi alisema hivi "Ukiona watu wanakufuatilia na kutaka kujua mambo yote kuhusu wewe, ujue kuwa wako nyuma yako; kwan lait wangekuwa mbele wasingekuona hivo wasingekuwa na time na wewe" Kwahyo kanumba wote wanaokusema vibaya kuna kitu unawazidi, ni wivu tu na roho inawauma. Qn: km roho haiwaumi wala si wivu unawasumbua kwanin wanakufuatilia sana? na kwanin wanatembelea hii blog km si kutaka kukujua zaid?

Achana nao, ongeza bidii kaka ili waumie zaidi na zaid, nitawaona wa maana siku ikifika waache ku-comment pumba kwan watakuwa hawatembelei blog yako. Ninavojua mie hapo hakuna kufunikana watu tuache ushamba jaman, kwan kila mmoja anacheza kulingana na nafas yake, kufunikana kungekuwepo km zingekuwa mbio tena za mita 100.

Stay blessed Kaka!

Anonymous said...

waseme wasemavyo wewe ni mkali tu tumeshazoea maneno ya wakossji hongera

Anonymous said...

Nmekukubali Kanumba i thought u were jocking uliposema utamleta Ramsey mpige nae kazi..eish!am speechless o let me say Ur the best,no one lyk u here in TZ

Anonymous said...

Unasema nawaonyesha tu! Sawa Tushawishi basi ili tujue kuwa nasi tunajua.....Kizito!!

Anonymous said...

Hello
Nafikiri kufanya kazi na Ramsey kuwe kama changamoto kwako,jifunze toka kwake cause ni msanii wa zamani.
kuhusu mwili nafikiri kama msanii unabidi ubadilike kila movie kutokana na uhusika unaouvaa na hii inawezekana tu kama plans za movie zinachukua muda mrefu.
nafikiri mavazi ya kung´aa umezidi kaka punguza kidogo.
otherwise ur heading there,to the top i mean.run run

Manka said...

kanumba wewe ni msanii mkubwa na maarufu kwa sasa. hebu sikiliza ushauri wa kutokuvaa nguo zinazong'aa na maua maua! do not put on shouting stuffs. pendelea kuappear 'mat' sio kung'aa ng'aa kusiko na mpango.
other wise all the best and keep up the good spirit ila badilika kimavazi kaka.

Anonymous said...

kanuuuuuuumba napena kazi yako jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!