Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 11, 2011

THE SHOCK IKO SOKONI LEO PATA NAKALA YAKO ORIGINAL SASA.....

13 comments:

king-unit said...

that girl she beautiful. and i like her

mwakyusa76 said...

Kazi nzuri kaka,nimefanikiwa kuiona filamu yako hiyo.Hongera sana.Huyo binti ulieigiza nae amekamua ile mbaya utadhani ana muda mrefu kwenye fani,aendelee na kasi hiyohiyo kwenye filamu zingine.
Kanumba you are always the best katika kuigiza filamu hapa bongo.Keep it up!

Anonymous said...

Nimefanikiwa kuiona filamu yako hiyo,umefanya kazi nzuri sana pamoja na Shazy.Binti ameigiza kama vile yupo kwenye game muda mrefu.Hongereni kwa kuitendea haki filamu hiyo,ina ujumbe mzuri kwa jamii.Kanumba, you did the best as always!

Anonymous said...

Movie Nzuri Sana. Story Pia Nzuri.

Kama ingekuwa mimi mwisho wake ingekuwa hivi:-

Tunaanza plae ulipokutana na yule kahaba, then anakulazimisha umpigie zimu umkatae mtarajiwa wako.

Mimi ningefanya chanzo chote kuwa Patcho. Yaani baada ya yeye kuachwa anaanza kutafuta chanzo kiko wapi na kugungua kuwa kanumba alimshawishi mchumba wake kuachana naye (Patcho).

Patcho anamtuma mtu kufuatilia undani wa Kanumba na Girlfriend, then anagundua kuwa kanumba ni mdhaifu na alitumia ushawishi kumuachisha na mchumba wake.

Patcho, anamtumia Boss wa kampuni ya mchumbwa wake (aliyemuacha) pamoja na yule kahaba (Wote Kwa gharama) kumfanyia kanumba vitu kama alivyomfanyia yeye.

The fiance anapugundua kuwa kanumba ni msaliti, anaeda kwa patcho kuomba msamaha na kurudiana naye, kuoana halafu patcho anamimbisha.

In the mean time, the boss and kahaba wanakuwa wameshamaliza kazi yao waliopewa na patcho.

All this will be revieled on the last scene, baada ya kanumbwa kumkuta yule mwanamke mjamzito.

Best Wishes on upcoming releases.

Regards,

Prince Sab - Morogoro

Anonymous said...

kaka movie umeicheza hongera sana ,ila oe thing nimenote kuna wakati ulikuwa unapata hadi kigugumizi kuongea asa cjui ni mvuto wa anee lucia mh ila big up saana

Anonymous said...

YAP NIMEIONA FILM STORY NZURI BUT UYO SHAZ KUIGIZA BADO DIZAIN KAPOOZA FLANI AU UZURI WAKE ULIKUCHANGANYA BRAZA YAH NIMREMBO BUT UIGIZAJI BADO SANA EBU MUWE MNAANGALIA VIPAJI BWANA SIO UZURI MBONA WAZURI WAKO KIBAO MITAANI TUNAWAONA UKU ALAFU AMEFANANA NA WEMA INONEKANA ULIMKUBALI SANA WEMA MPAKA UMETAFUTA MTU WAKUFANANA NAE LOL

Anonymous said...

Kaka ni hivi mie nimekwasha iona... mmejitahidi kiasi chake.. ila akiba ya maneno ni kwamba.. Punguza kupania sana especially ktk mavazi.. mavazi mengi uyavaayoo hayana uhalisia na mahali ulipo... kwa mfano siku ile ulipoact upo hom wamsubiri bibie ndugu miguo ulovaa ni kama waenda ktk sherehe hadi mokasini mmmh mwenzangu pale uliharibu.. kitu kingine mnaigiza maisha ya kifahari sana ni tofauti na maisha ya vijana wengi hapa nchini.. punguzeni kuact ktk majumba ya kifahari sana haileti maana hata kidogo..Jitahidi sana hiyo sura yako kuifanya iendane na uyaongeayoo maana kuna muda inabidi uwe serious we kama ulikuwa unaleta ukatuni vileee..

Anonymous said...

Kanumba umecheza na huyu binti kwenye hisia kali sana za mapenzi mpaka unakaribia ukweli hata mtu mwengine akiangalia aweza fikikri kuwa mapenzi ya kweli, bibie mvuto anao sana sauti kama wema sura na shep ila yy bado hajakomaa vzr ila amejitahidi sana endelea kumuandaa pia awe wifi.

thks dada yako juddy

Anonymous said...

Well i like the movie...that dada SHAZ kajitahidi sana kuact...she is real am sure akiigiza some more movie she will be the best...Also kanumba you are the best actor ila mavazi yako yanaboa sana unapania mno...kwani lazima uvae zinazong'aa...yawezekana they are your favorite but si kwenye movies also its true mnaigiza kwenye majumba ya kifahari mno...try kwenda kwenye za kawaida tu unless ni tactic ya kuvutia biashara...OTHERWISE YO DOING GUD BRO

Anonymous said...

Hebu mrudisheni Monalisa kwenye Game huyu dada ni balaa tumeshachoka kuona wauza sura..
Huyu dada uliyecheza naye kwenye THE SHOCK hamna kitu kabisa labda ile shepu kuigiza zero sasa kuna ushindani mkubwa sana kwenye game badilika Kanumba vinginevyo utaachwa mbali..........
Akiwa na wewe full english, akienda kwa mama yake Kiswahili mtindo mmoja ndiyo alikuwa anataka kutufundisha nini?
Usipende kusifia sana filamu, matokeo yake ndiyo hayo
Cover zuri
Huyo msichana zero kabisa

Anonymous said...

Prince Sab - Morogoro - una akili sna! bonge moja ya idea! ingefanya movie ivutie zaidi.
kwa kweli story ya hiyo movie sijaipendea..kawaida sanaaaaaaa
kwa ufupi haikumeet expectations za wengi. the girl mzuri ila kapooza dizaini, ila nahisi stori yenyewe haina manjonjo ndo maana ikaonekana ivo

Anonymous said...

Kaka Movie nzuri sana dada huyo ulimuita wa kibrazil ni mkareeeee

mujydebubyz said...

Kanumba hongera sana pamoja na waigizaji wote wa Shock hasa yule dada nadhani ni mgeni ila naona atakuja kuwapiga bao wakongwe kwanza hana swaga za pozi za bata zile pozi za maringo ya uzuri wake, anafanya kazi kiukweli movie mbili tatu atakuwa juu sana mpe ushauri asibadilishe tabia atakuja kutisha sana hapa Duniani sio Tanzania tu anaweza kutumiwa na watu wengi, hata wewe na wengine jitahidini sana, locations ilikuwa poa sana ila punguza kuvaa suti hadi home, vaa zile nguo za kibrothet man full jezi labda za Man Utd au za NBA timu yoyote ile usipendelee suti sana katika sehemu za home.
Ila yote ya yote uko juu kaka hongera sana