Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 17, 2011

SIKU ILIYOFUATA TUKAONANA NA RAISI WETU MHESHIMIWA JAKAYA KIKWETE

Siku ya jumanne saa sita mchana mjini dodoma tulipata mwaliko wa kuonana na Raisi wetu wa Tanzania ambapo mheshimiwa alitualika mezani tukapata chakula cha mchana pamoja nyumbani kwake hapo na hapo ndipo tulipopata nafasi ya kuzungumza yetu ya moyoni yahusuyo tasnia yetu ya filamu kwa ujumla,la kufurahisha zaidi Raisi alianza kuyafanyia kazi yale tuliyomwambia hapo hapo mezani tukiwa tunakula akiagiza ufuatiaji wa karibu sana katika masuala tuliyowakilisha kwake..hii ikawa ni siku nzuri kwetu.....

Baada ya chakula mheshimiwa alimwita mpiga picha wake na kupata picha ya pamoja nasi.
PichaaaMheshimiwa akaagiza kupiga picha ya mmoja mmoja akaanza JB..
Richie akafata
The great ikabidi nimshike mkono kabisa Raisi
Odama akiwa haamini kama yuko na Raisi
Swahiba nae kwa kuniiga nae akamshika mkono....
Steve Nyerere na ukatuni wake kama kawaida
Jack Wolper akamaliza...

2 comments:

Anonymous said...

JB utadhani we ndo Mkulu hapo,.hahahahaaaaaaa, tisha mzeiyaaaaa

Milka richard said...

Naona hata rais atakuwa amefulah kupiga picha na ww,kuliko wengine.uhalisia wa hapo sio mchezo