Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 6, 2011

NI NANI KATI YA WASANII HAWA KWA MWAKA HUU WEWE KAMA SHABIKI WANGU WA KWELI UNGEPENDA NIFANYE NAE KAZI??

Kwa mwaka huu nimepanga kufanya kazi na msanii mmojawapo kati ya hawa hapa chini(DESMOND ELLIOT,RAMSEY NOUH na VAN VICKER) sasa nakupa nafasi kwa wewe shabiki wangu kunichagulia ni yupi ambaye ungependa kuona nafanya nae movie kwa mwaka huu nami NITATIMIZA AHADI HII,tuma maoni yako kwa kupendekeza jina la msanii,ni wapi utapenda movie hiyo ichezwe yaani TANZANIA,GHANA AU NIGERIA?Lugha ipi itumike?filamu itahusu mambo ya secret society yaani jamii fulani ambayo haiamini Mungu kabisa bali shetani na wamefanikiwa kuiteka dunia kwa power,pesa,umaarufu na technology nk ambao pia wana ishara zao na ibada zao sasa pendekeza ni jina gani litakalofaa kuwa jina la movie?Kwa muonekano na uigizaji wote hapo wanaweza sasa chagua mmoja majibu nitayatoa tarehe 25 ya mwezi huu...kama mkereketwa wa sanaa hii ya filamu unaona utataka kuchangia chochote kwa hali na mali kufanikisha zoezi hili basi wasiliana nami kwa e mail info@kanumba.com (ila sio lazima)shukrani nitaandika katika movie lakini pia kama ni kampuni basi nitaweka tangazo lako katika movie hiyo kulingana na mchango wako iwapo zoezi litafanikiwa maana si kazi ndogo....asanteni.. DESMOND ELLIOT(NIGERIA)
RAMSEY NOAH(NIGERIA)
VAN VICKER(GHANA)..

229 comments:

1 – 200 of 229   Newer›   Newest»
Anonymous said...

Wa kwanza tena mnaweza kucheza km ndugu wa tumbo moja au vingine, na kama wa pili basi chezeni km wahuni wakutupwa wazee wa watoto mwishowe ngoma (UKimwi. Safari hii toa film yenye kufundisha kulingana na hali ya halisi ilivyo duniani kote. Sawa kaka!!? umenisikia? ni jibu basi!!!! hahahaaaaah.
Mdau Biti Shomvi
from- USA-gara

Anonymous said...

Hulali? mbona post imetumwa usiku. Fanya kazi na Desmond ndo itanoga, Ramsy atakufunika kaka

Anonymous said...

fanya na Ramsey plzzzzzzzz.

Anonymous said...

Desmond tafadhali.

neema said...

wao. . .!congrats kaka,unatisha saaaaaaana!duh.!hao vjana mbn wote wanatisha ss. . .!bt mi naona now days van vicker anatisha zaidi,so km vp fanya kazi na mtoto wa Ghana itakuwa pouwah sn pia movie ifanyike Ghana 2.!wsh u ol da best n' Godbless u.

Anonymous said...

Ramsey Noah

Anonymous said...

Ramsey Noah,English language,Ichezwe Nigeria

Anonymous said...

van vicker

Anonymous said...

wow!!!!!good idea bro, but wote wakali kwa mimi naona ucheze na desmond eliot coz kwanza mnaendana nae sana, kisura na kiumbile tho sijajua kama mtacheza kama ndugu au ni familia mbili tofauti.

Said GEE....

Anonymous said...

Tukianza kwa Desmond nampenda jinsi anavoongea..maneno kama yanakuwa mazito ivi basi me hoi!Ramsey is jus Hot ila kanenepa mno kaniboa..lol...Van Vicker!!!!!!!!!!!!omg!!!Mr. Family Man..he is smoking Hot!can do any part!!!!so Van Vicker takes my vote!!!!i salute him!with both hands..lol

Anonymous said...

helo me napenda ufanye kazi na Ramsey nakutakia mafanikio mema!

Anonymous said...

Doh me RAMSEY TU.......

Anonymous said...

Mambo the great,

Mie ni shabiki wako toka the rock city hapa.

binafsi ningependa ufanye na Ramyes Noah na itumike lugha ya kiingereza ili kuifanya Movie yote iwe na lugha moja, coz najua ikiwa ya Kiswahili ni lazima itachanganya na kiingereza sababu jamaa hajaui kiswahili.

Anonymous said...

Ramsey Noah wa Nigeria naamini hiyo filamu itakua kali

Anonymous said...

RAMSEY

JACQUE said...

RAMSEY

Anonymous said...

kaka nilikwambia hapo hakuna mjadalaaaaaaaaaaaaa ni van vicker tuuuuuuu ndio tunamtaka sina kingine kaka angu..
mdau wako

dada senny.

Anonymous said...

RAMSEY NOAH(NIGERIA)

Prince Sab - Moorogoro
prince_sab2@yahoo.com
+255 655 655 555

Anonymous said...

FANYA KAZI NA VAN VICKER, CHAGUO LA PILI NI RAMSEY NOAH.

Anonymous said...

hellow kanumba the great!

mimi shabiki wa RAMSEY, hebu fanya kazi na huyo kijana huta regreat.

mama 2 said...

Hey uncleJJ namzimia sana RAMSEY NOAH. Act naye bwana!!!

Anonymous said...

- DESMOND ELLIOT

- ICHEZEWE TANZANIA

- ITUMIE LUGHA YA KISWAHILI

- THE FREEMASONS

Anonymous said...

Fanya kazi na mnigeria RAMSENY NOAH (NIGERIA)

Anonymous said...

Van Vicker

Anonymous said...

ASANTE KWAKUPATA NAFASI HII NINGEPENDA UFANYE KAZI NA VANVICKER
HE FANTASTIC ACTOR

Anonymous said...

VAN VIRKER......is my choice...

Nadhani kwa Mtazamo wangu anza na This Guy..He's Hot !!
Twaleb in DK

Anonymous said...

hello
nimependa idea na nafikiri tukiona mazingira ya ghana si mbaya.well sijaona movie nyingi za Van Vicker il nafikiri ukishirikiana naye mtafanya kitu kizuri

up to the moment unafanya vizuri kwenye industry so keep it up.

Anonymous said...

Mie kwa ushauri yangu Van Vicker atafaa zaidi, na swala la lugha zitumike zote mbili yaani English and Swahili, na Gahna ndiyo itapafaa kwa shooting vile ulishawahi kuact na wanaigeria lete radha nyingine from Ghana I wish you all the best

Anonymous said...

Huyo jamma wa Ghana namkubali sana nimesha ona movie zake mingi kwa lugha ya kifaransa ila na huyo wa kwanza wa Nigeria sio mdogo. kwangu ningependelea huyo Ghana.

Anonymous said...

ahsante kwa kujali mashabiki wako.kwa upande wangu,nilikuwa napenda u act na van vicker kwani he is sooooo hot,na accent nzuri,au ramsay na yeye ana acent nzuri.hiyo filam ni vizuri mui act tanzania,ili ipate soko nchi nyingine mbali mbali.maana katika cover la nje wakiona picha za wa nigeria,itanunulika,maana wanaigeria ni soko lao linajulikana ulimwenguni.baada ya bolly wood,linalofuata ni nolywood

Anonymous said...

i choose,DESMOND because he is the best but also Van vicker.tuta furahi tuki ona movie hiyo sisi kama mashabiki wako.na lugha ni english.hongera kaka

Anonymous said...

VAN VICKER

Anonymous said...

VAN vicker please

Anonymous said...

MI Namkubali VAN VICKER jamani..fanya na VAN VICKER

cul gal said...

van vicker kaka! wow so great.

cul gal said...

van vicker kaka! wow so great

Anonymous said...

Actor: VAN VIRKER
Ichezwe: TANZANIA
lugha: SWAHILI & ENGLISH.

Sababu: Nimemchagua Van Virker kwa kuwa kwa kipindi hiki yupo juu sana .."Hot Cake" na anauza sana kisoko Duniani.
Kuhusu Kuchezea picha hiyo nchini Tanzania ni kwa nia ya kuitangaza nchi yetu katika soko la Filam duniani.
Na suala la Lugha Kama haitokuwa tatizo kuchanganya lugha zote, hii itawakilisha Kiswahili kwama Lugha ya taifa na Kingereza kama 2International language na pia Business language. Kanumba Jaribu kutumia sana kuitangaza nchi yetu kupitia wewe BALOZI...

Anonymous said...

RAMSEY NOAH KAKA MWISHO WA MATATIZO TENA UKIWEZA KWA WANAWAKE UMCHUKUE IRENE UWOYA ITAKUWA BONGE LA MOVIE

Anonymous said...

fanya kazi na desmond:

ushauri wa bure:

fanyia Tanzania maana tunasehemu nzuri za kuactia sio lazima iwe dar, unaweza kutumia hata mbuga zetu za wanyama, ziwa victoria, bahari yetu na sehemu zingine kama vile iringa kwenye misitu mikubwa yaani sio lazima iwe kwenye mji mkubwa unaweza hata kuactia porini na uakapata mandhari nzuri.

Chaguo la pili ni Van Vicker.

Lugha:
Tumieni kiswahili kuitangaza lugha yetu ila subtitle iwe kiingereza tena chenye kueleweka au fasaha.

samahani kama nitakuwa nimekukwaza.

fumbele said...

desmond

Anonymous said...

ramsy Nouh itakuwa bomba

Anonymous said...

cheza na ramsy

Anonymous said...

mm nafikiri ucheze na RAmsey nouh anajua sna kuact

Anonymous said...

van vicker..tuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

van vicker jamaniiiiiiiiiiiiiii

Anonymous said...

Desmond anaonekana yupo crac zaidi ukifanya naye utaweza fanikiwa zaidi
ila van vicker naye mkali ungeshirikiana naye pia sio mbaya na ikafanyikia ghana movie za ghana ni nzuri saaana ukilinganisha naza nigeria ghana wameweza kucontroll sauti na movie zao huwezi jua itakuwaje so ukifanya na van vicker wa ghana ingekuwa bomba sana ingawa Desmond naye ni mkali.
Ramsey mmhh hayuko hot sikuizi ilikua zamani.

Anonymous said...

napenda ufanye na VAN VICKER

Anonymous said...

VAN VICKER LUGHA KISWAHILI/KINGEREZA POPOTE PALE IWE TANZANIA AU NIGERIA

Anonymous said...

LUGHA KISWAHILI ILI WWENGI WAPATE TAMU YA FILM I LIKE VAN VICKER

Anonymous said...

FANYA NA VAN VICKER

Anonymous said...

WAOOOOO NI VAN VICKER TU

Anonymous said...

VAN VICKER KISWAHILI NA KIINGEREZA

Anonymous said...

VAN VICKER

Anonymous said...

RAMSEY KAPITWA NA WAKATI PIGA KAZI NA VAN VICKER

Anonymous said...

VAN VICKER ITAKUWA POA

Neema Masuki said...

Kaka wa twanga kote kote Ramsey Noah ndio anafaa

Anonymous said...

HAKUNA MNAGERIA NINAYEMKUPALI SASA HIVI KM JIM IYKE KWAVILE HAYUPO KWENYE ORODHA PIGA KAZI NA VAN VIKER ILA NAKUOMBA JITAHIDI UFANYE KAZI NA JIM IYKE MTATOKA BOMBA SANA NA ITAKUWA POA KINOMA

Anonymous said...

VAN VICKER TU

Anonymous said...

VAN VICKER NAMKUBALI

Anonymous said...

RQAMSEY ILIKUWA ZAMANI SASA NI WAKATI WA WADOGO ZAKE PIGA NA VAN VICKER

Anonymous said...

WAKATI WA MAPINDUZI SASA MWEKE PEMBENI RAMSEY PIGA NA VAN VICKER

Anonymous said...

LUGHA ITABIDI KIINGEREZA KWA VILE WAHUSIKA HAWAJUI KISWAHILI LAKINI SCREEN IONYESHE KISWAHI ILI WATANZANI WAISOME KILIVYO PIGA NA VAN VICKER

Anonymous said...

VAN VICKER (GHANA)

Anonymous said...

CHAGUO LANGU NI VAN VICKER

Anonymous said...

ITATOKA KM ITAKUWA NA VAN VICKER

Anonymous said...

VAN VICKER

Anonymous said...

VAN VICKER

JACQUE said...

RAMSEY

Anonymous said...

VAN VICKER SI MCHEZO

Anonymous said...

VAN VICKER

Anonymous said...

VAN VICKER

Anonymous said...

van vicker

Anonymous said...

RAMSEY HAONI NDANI MBELE YA VAN VICKER PIGA NAYE BONGE LA KAZI NAKUHESHIMU KANUMBA

Anonymous said...

KURA YANGU NI VAN VICKER

Anonymous said...

HEBU TUACHE ZILIPENDWA CHAGUA VAN VICKER PEKEE

Anonymous said...

VAN VICKER TAFADHALI

Anonymous said...

VAN VIKER PEKEE KWA KWENYE HIYO FILM ASIKOSE MONALISA/ AUNT EZEK

Anonymous said...

VAN VICKER BWANA AKISIMAMA NA MONALISA AU AUNT EZEKIELY ITAWAKAMATA

Anonymous said...

van vicker m2 wangu yupo juu sana kwa sasa.

Anonymous said...

Acha utoto wewe, usitake kujilinganisha na hao jamaa, wenzio wasomi wa fani ya filamu, utajichora tu, kiwango chako bado, wewe endelea na hizo filamu zako za low budget tu. Halafu utaongea nao lugha gani? mbona english yako mbovu, na hao jamaa wahaongei kiswahili.

Anonymous said...

me ningependa ucheze na ramsey,muigize kama marafiki ww ukiwa na mpenzi wako ramsey aje kukutembelea halafu mpenzi wako afall kwa ramsey aanze kumpenda amfanyie ramsey vitukoo wee avumilie mwisho ashindwe aanguke dhambini

Anonymous said...

nahisi unataka kujifunza zaidi kwani wabongo bado kabisa kwenye filam mko nyuma itakusaidia sana kukupa changamoto ili kazi zako uzitendee haki nakupongeza sana kazi buti utafika pale ulipokusudia piga kazi na van vicker itakuwa poa sana lugha ni kiingereza na kiswahili kazi njema

Anonymous said...

ukiweka nia na malengo utafika tu nakukubali mdogo wangu kanumba jitahidi boresha kazi zako ili watanzania wazidi kuzipenda tua Ghana kwa Vam vicker fanya kazi ya ziada kwani atakufunika

Anonymous said...

Van vicker

Anonymous said...

Fanya Kazi na Desmond,huyu ndiye mnaendana

Anonymous said...

fanya kazi na ramsey

Anonymous said...

Desmond Eliot pleaseeeeeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

Desmond Eliot
Ichezewe Tanzania
lugha kingereza na kiswahili(of course na subtitles kama kawaida)

vivia said...

duuuu,brother umegusa ninapopataka wote uliowatoa nawafagilia kinoma,me naona ucheze na van me namkubali sana ingaawa wote wakali sana

Anonymous said...

tizama usiaibike kwani hao jamaa ni wakali sana na nyinyi wabongo mmezoea kufanya kazi za vichekesho kwani kila baada ya siku 3 mtu anatoa picha mpya mnatushangaza sana ila kiukweli utafanya vichekesho kwenye hiyo film tunakuunga mkono wote hao jamaa wanatisha ila piga na van vicker tuone

Anonymous said...

Km kweli unataka ujishirikishe na hao jamaa itabdi ubadilike sana ili uweze kuendana nao kwani hao jamaa wanatumia akili na juhudi kubwa ndio mana wanatisha ktk hiyo fani sio nyinyi hamueleweke nini mnakifanya ktk kazi zetu ni vichekesho vitupu kila baada ya siku 2 inatoka picha mpya ikitoka ni madudu matupu fanya kazi kwa muda mrefu ili ukitoa kitu mpaka wa2 wanastaajabu na kuuliza hii kazi kweli ni ya kanumba? acha mchezo fanya kazi ili ufikia walipofika hao jamaa. (VAN VICKER) jaribu nae tuone

Anonymous said...

van vicker nimetokea kumpenda sana na sichoke kutizama move zake ananifurahisha jaribu kufanya nae kazi labda atakubadilisha

Anonymous said...

van vicker ndiye chaguo langu japo wote wanafunika sijaona kazi hata moja ukifanya na Rihama yule dada hakuna km yeye kwani anajua uwasilia wote kila utakapomuweka namkubali tena sana

MAMA NANDIPA said...

ramsey ndo poa ichezewe tanazania lugha ya kiswahili

Anonymous said...

hi kanumba mimi kwanza nakupongeza saana kaka yangu kwa kazi nzuri naykujituma saana tuu,Mungu akubariki saana ndgu yangu.naomba nikupe wazo moja na zuuri pia na ushauri mana naona watu woote wanatoa komment just a sifa tuu waonekane humu.nakuomba ufanye kazi na ramsey noah,haijalish ni wasikunyingi kinachomata ni actor mzurii saana anaprofeshional yahali ya juu pia utapata soko saana yani utauza hiyo film mana nikipenzi cha wengi saana hasa wanawake wanamfagilia kupita kiasi namovie zako nyingi wapenzi wengi ni wanawake wanaume wanaongea tuu humu ila niwachache saana wanapataga muda wakuangalia bongo movie,s even nigeria movie wanadai nizawanawake so fanya na ramsey pls.kwanza ukishakamilisha movie tuu hilo kava lake tuu hapo juu wanadada wakiona uko na ramsey utauza mtu wangu hata sisi tulioko ugaibuni tutanunua saana itakuwa changamoto saana kwakweli ramsey anajua kuact jamani acheni woote hao hazeeki huyo kaka.

Anonymous said...

mm ningependelea ufanye kazi na ramsey noah

Anonymous said...

RAMSEY NOAH I WOULD APPRECIATE KAKA.

GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO KANUMBA, THE BALL IS YOURS

aidan said...

van viker
both tanzania and ghana
kiswaenglish

robinwaky fenty said...

van vicker ndo yupo sokoni nwdays kwahiyo itakuwa mpango mzima ilanitafutie name kapart ata chakufagia......lol!uko juu wng

Anonymous said...

van vicker bro ila may be anachukuwa hela kaka fatilia kwanza

Anonymous said...

USHAURI WA BUREeeeee!!

Mnisamehe kama nitakosea kusemakuwa :Nadhani nia ya Kanumba ni kutaka kumshirikisha mmjoja kati ya wahusika watatu hao..Na SIYO suala la KUSHINDANA na kuona ni NANI ATAMFUNIKA MWENZIE..Let's be "wisely" tusibadili mwelekeo wa nia njema ya KANUMBA..Kwa kuwa nahisi kama vile kwa mbaaaaaaali kuna washabiki wanaobadili kibao...baadhi ya comments zinalengo tofauti...

VAN VIRKER..."Let him start" as my choice !!

Grace said...

Mimi ni fun mkubwa wa Ramsey, lakini naona fanya na Desmond Eliot kwa kuwa naona kama mnaendana hivyo hakutakuwa na tofauti kubwa kiivyo. Wa pili Van Vicker lugha iwe english na ifanyike TZ na Nigeria

Nakutakia kila la kheri

Anonymous said...

ramsey tuuu

Anonymous said...

ramsey kaka....

Anonymous said...

UTAFUNIKA NA RAMSEY

Anonymous said...

KWELI WEWE THE GREAT HAKUNA MSANII MBUNIFU KAMA WEWE..PIGA NA RAMSEY MAANA KATIKA KUACT MNAFANANA

Anonymous said...

RAMSEY ONLYYYYYYYYYYYY

Anonymous said...

RAMSY

Anonymous said...

PLZ STEVE FANYA NA RAMSEY

Anonymous said...

RAMSEY JUU

Anonymous said...

I LOVE RAMSEY

Anonymous said...

RAMSEY NOUH

Anonymous said...

RAMSEY MY CHOICE

Anonymous said...

ramsey nouh tuu baba

Anonymous said...

hakuna kama ramsey

Anonymous said...

KANUMBA+RAMSEY=GOOD MOVIE

Anonymous said...

RAMSEYYYYYYYYYYYYYYY

Anonymous said...

MMMh...Inafurahisha kuona kuwa wito umeitikiwa na Maoni kibao yamejiri.Nadhani "THE GREAT" utakapokuwa unafanya Tathmini ya kuhesabu ama kukadiri maoni..basi uwe Makini sana...

USHAURI:
Ni vizuri sana kuwaridhisha washabiki wako, lakini pia uweke sana kipa umbele katika Masilahi na Faida za kiusanii kwako binafsi.Wengi wetu tunafatilia sana film za Ramsey,Desmond na Van Virker...Lakini huwenda wewe kama Actor mwenzao huenda ukawaona kwa Mtazamo tofauti...kuwa mwangalifu kwa hilo..

Fanya kazi na VAN VIRKER....picha ichezwe Bongo,na Lugha zote 2 zitumike....

nelychance said...

ongera sana kwa ubunifu wako mie naona kama ni movieya mapenzi cheza na ramsay kama ni ya kibisho cheza na desmond mdau ni holand

nelychance said...

kama inahusu mapenzi cheza na ramsey kama inahusu pesa au kibishoo cheza na desmond
mdau in holand

Anonymous said...

JINA LA MSANII: RAMSEY NOAH(NIGERIA)
MAHALI PA KUCHEZEA : TANZANIA
LUGHA : KISWAHILI / ENGLISH

UKIFITA USHAURI WANGU UTAUZA SANA HIYO FILAM

Anonymous said...

van vicker kaka yupo juu zaidi

Anonymous said...

Kiufupi yeyote ambaye utacheza nae hapo ni sawa.sasa tatizo lipo kwako wewe ni kwa jinsi gani utaweza wafunika na kuongeza kiwango chako.Kwanza make sure unaondoa hicho kitambi chako,Dressing code yako iendane na tukio sio masuti yako uliyo zoea mpaka beach.Confidence usifke point ukawa unawashangaa,Make up kaka hawa jamaa huwa hawapaki hizo vumbi zenu never.Uongeaji sio kutooa macho always.Yahitaji ujipange na itakusaidia kutambua level gani ya sanaa unatakiwa kwenda.

Anonymous said...

Van Vicker plzzz,yuko juu now days.I luv him

Anonymous said...

Cheza na Van Vicker,Ramsey ameshapitwa na wakati sikuhizi.Ila kwenye swala la lugha mmmh!ngoja tuone

MAJOY said...

mIMI NI SHABIKI WA WOTE HAO, CHEZA NA RAMSAY...ILA KAMA KUNA SEHEMU UTATAKIWA KUWA NA NDUGU CHEZA NA DESMOND COZ MNALANDANA ICHEZWE TZ NA NAIJA LUGHA IWE KISW NA ENG.
KILA LA KHERI STEVEN I CANT WAIT TO C DA MOVIE...GOD BLESS U

Anonymous said...

Ramsey

Anonymous said...

Ramsey

Anonymous said...

Ramsey funiko jamani tuseme ukweli

Anonymous said...

Van Vicker my bro can you make an actress too can i come to your office actual am interest of be a film maker

Anonymous said...

van Vicker will be a big bomb. wish I can be a part of that movie

Anonymous said...

Mi naona Desmond. Kwanza mnafanana sana. picha iwe nyie ni ndugu wewe unaishi na huyo kaka yako ambae ni Desmond halafu unakujagundua huyo ndugu yako ni fremasson. huo ndo utamu wa picha.

Anonymous said...

Sipati picha. Hapa Desmond. Pale Irene akiwa ndo mke wa desmond. Monalisa dada yenu. Natasha na chilo ni mama yenu na baba yenu. Aunt Ezekiel mdogo wenu. Yule star wa kwenye odama ndo mchumbako. Sijui itakuwaje.

Anonymous said...

Desmond tuuuu.

Anonymous said...

Desmond pale. Grace Mapunda, Monalisa, Natasha Chilo, JB, Magari, Aunt. Pamoja na Irene na we mwenyewe. Full Mzuka.

Anonymous said...

wowwwww!!!!! wala sina lakusema zaidi ya RAMSEY aseeh kama ninavyo kupenda wewe apa Tanzania baasi NIgeria ni RAMSEY kaka usiniangushe bana Uncle JJ fanya ivyo kazi yako itakuwa boumba mbaya

Anonymous said...

Van Vicker maana yupo juu na atauza sana movie yako ,pili ichezwe Ghana na tatu lugha itumike both Swahili and english

bin zalbebe said...

cheza na kigosi ndo supa staa wa bongo

bin zalbebe said...

cheza na kigosi ndo staa wa bongo mpaka sasa

Anonymous said...

Piga kazi na....Van Virker na movie ichezwe bongo,lugha zitumike zote..Swahili na English....

Anonymous said...

Napendekeza ucheze na Van Vicker
Nchini Tanzania
Lugha ya Kiswahili na Kiingereza

Anonymous said...

RAMSEY!!!!RAMSEY PLEASE.IWE HAPO BONGO AU POPOTE BUT AONGEE KISWAHILI.HAO NI MACTORS WANAWEZA JIFUNZA LUGHA YOYOTE ILI WAWEZE KUFANYA KAZI AZO.SO AM VERY SURE HE CAN REARN SOME SWAHILI.

Anonymous said...

Ramsey Noah atakufunika, labda yeye awe muhusika mkuu, Desmond itakuwa nzuri zaidi. Lugha napendekeza kiingereza then subtitle ya kiswahili, place waweza tumia nchi zote mbili (Nigeria & Tanzania)

Anonymous said...

Mimi nadhan Desmond ingependeza zaid..lugha kiswahil kuitangaza nchi yetu.

Anonymous said...

DESMOND PLEASE.....

Anonymous said...

DESMOND PLEASE...

Anonymous said...

Desmond

Anonymous said...

jamani wote wakali... bac anza na remsey

Anonymous said...

kaka hakuna anayempita Ramsey , Gombe hazeeki maini eee gombe.

HITIMANA Berchimas said...

Mi namchagua VAN VICKER kutokana na msimamo wake kwenye muvi ambazo anaonekana.

Zainab Ms. said...

Hujambo? Cheza na |Ramsey Noah, ni mzoefu, na anafit kila sehemu anayopewa, mtauza sana kwa sababu ana wapenzi wengi mno. Lakini nasikia dau lake kubwa sana, sasa sijui itakuwaje. Mchezee Nigeria na Tanzania, na film iitwe "Freemasons" lakini itafsiri kwa kiswahili "Bure...." Washirikisshe Irene Uwoya na wengine. Nakutakia kila la heri. Big up. Mama Zainab M.

bootilicious said...

Truly my brother naheshim kazi zako,am ur big fangirl na hata majuzi tu nilikuona ktk kikao cha harusi tabata nilikaa nyuma but as usual sikuweza kuomba autograph since hapa kwetu ntaonekana mhuni,my opinion is make a movie with DESMOND ELLIOT in short nilishawahi muona live ktk airport fulani nje ya nchi siwezi kusema mengi but as for Van vicker the guy doesn't fit in ur movie kutakua na gep kubwa mno not talking about Ramsey.Language lazima iwe ENGLISH but pls usiweke tanzanian actress hata mmoja coz hatujawahi kuona hata majaribio walau movie moja toka kwako ama ray ikiwa ni english mwanzo mwisho at least to make those girls used to the language,ushauri wangu wapo waigizaji wengi sana tz but wengi wao hawapendi jaribu hilo ili watoke kimataifa.Mfano mzuri angalia nigeria wengi wanao act YORUBA movies hata ktk movies za kiingereza wamo.so the perfect one is DESMOND ELLIOT,ENGLISH LANGUAGE,LOCATION TZ or NAIJA.

frank said...

desmond bra!

Anonymous said...

VAN VICKER(GHANA)fanyakazi kazi na huyu kijana

mdau botswana said...

hi kanumba me naona ucheze na van vica kwani saivi ghana wanatisha wanija tushawachoka fanya mapinduzi na ramseh ni kikongwe tangu enzi za my love me bado nipo la 7 adi leo amekinai tayari mchukue van kijana mwenzi hot hot na ichezwe ghana nafikiri ili watz waipate waghana pia na wanaija pia lugha nataka van aongee kiswahili kidogo km mercy alivyofanya kwenye she is my sister,apo utamaliza km kuna sehem ya msichana mchukue jack appiah km bajeti inaruhusu all the best

Anonymous said...

Ramsey namfagilia sana, lugha tumia kingereza

Anonymous said...

Sina ushauri wa kukuongezea wengi wamejitokeza kwa Ramsey labda kuna mtazamo mzuri fuata kilio cha washabiki mimi nitatundikaushauri wangu ukumbi wa JIACHIE-MICHUZI JR

MICKEY "MIKIDADI" JONES
DENMARK - ONE OF YOUR FANS.

Anonymous said...

Fanya kazi na Ramsey plssssss

Anonymous said...

ukifanya na desmond itakuwa imetulia mkubwa

Anonymous said...

Dasmond meen!!!!

Mary-Dsm said...

Dasmond meen!!!!

Anonymous said...

VAN VICKER ni balaa! ntakufa siku ya kuiona hiyo movie mtakayofanya nae!wote wakali.

sophia mkumbo said...

desmond kaka lugha ni english location Tanzania na Nigeria achana na wanaokutisha hakufuniki m2 unaweza sanaaaaaaaaaaaaa gud idea big up kaka

Anonymous said...

ramsey ni mkongwe katika swala hili la movie na anaweza akakupa ushauri mzuri na wenye ujuzi katika swala la movie zako ila kanumbaUNAHITAJI MAZOEZI MAKUBWA SANA SIKUKASHFU KAKAYANGU ILA NASEMA KUTOKANA NA NINACHO KIONA MANA HAWA WAWEST WAMETUACHA SANA KWENYE SWALA LA UIGIZAJI SO MAZOEZI NI MUHIMU KABLA UJAFANYA NAO MAY GOD BLESS U

mdau uswedi said...

van vicker ni nouma mana mkaka anamapozi huyu na anajua mno kuact so kanumba kaa chonjo baba usije ukamboa kwa low level piga zoezi la kufa mtu wakikuona wanashaa big up u come out with good idea

Ally jr said...

Inakuwaje mtu mzima? hilo ni wazo zuri sana kwa kuwapa mashabiki na wao waweze kutoa maoni ya kuhusu kitu unachotaka kufanya, kwa hao watu wote uliowaweka hapo ni wataalamu wa kutosha kwenye hiyo sanaa na nimeona movie zao nyingi sana kupitia DSTV. Hao wote ni wakali hatari ila kwakuwa inabidi kuchagua mmoja basi ningependa sana hiyo muvi ucheze na VAN VICKER kama vp muvi ichezwe Ghana na TZ lugha zote zitumike na hiyo muvi iitwe THE LOST WORLD au SATAN WORLD!!! kila la kheri mwana. Ally jr toka Finland.

Anonymous said...

Fanyakazi na Desmond ndiye anayeonekana na aiba ya kiafrika hasa tena mfanyie Nigeria

Anonymous said...

Tafadhali Desmond tu ndiye anayefaa

Anonymous said...

fanya na viz

Anonymous said...

fanya na van vicker

Anonymous said...

Van vicker anatisha sasa hivi

Anonymous said...

van vicker anakubalika kila pande nenda ghana tu

Anonymous said...

ni ghana van vicker

Anonymous said...

mi naona chaguo tunalo sisi na wewe pia ni zaidi yetu piga van vicker au ramsey

Anonymous said...

mbona hao wanangeria hawataki kufanya kazi na sisi wanafanya kivyao vyao nawatoka kwanini sisi tujikombe kwao tuzidi kuwapa umaafu? maamuzi yako Kanumba ila nampenda sana Van vicker

Anonymous said...

ni van vicker hureeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

van vicker

Anonymous said...

van vicker tu

Anonymous said...

van vicker tu

Anonymous said...

wote nawakubali (1) van vicker (2) ramsey

Anonymous said...

van vicker

Anonymous said...

Ghana usikonde

Anonymous said...

badilisha upepo nenda Ghana

Anonymous said...

van vicker (Ghana)

Anonymous said...

ifanyike Ghana tu van vicker

Anonymous said...

van vicker nakukubali

Anonymous said...

mwaka wa van vicker huu

Anonymous said...

van vicker

Anonymous said...

i like Ramsy sana hope movie itakuwa nzurijeeeeeeee

Anonymous said...

Ramsey

Anonymous said...

Ni sinema ambayo ina hadithi ipi kimaisha,mapenzi,mali,utajiri/umasikini,ugomvi,vita,chuki binafsi au ipi?????,kwani hao uliowataja kila moja ana aina yake katika kuigiza,mwingine ni mzuri sana kwenye love story,mwingine naye anayakwakwe,sasa kati ta hayo ni ipi?????? the I can put down what I think who is good for what/which

Anonymous said...

We mkali kaka piga mzigo na VAN VICKER alafu kaka fanyia TZ

Anonymous said...

in young billionare you acted like Ramsey...so do with him...although Van vicker is the star now.....

Hawa said...

Van vicker yupo juu namzimia sana!!

Hawa said...

Van vicker namzimia sana. Achana na hao wanakukatisha tamaa!!

Anonymous said...

mkuu itakulipa ukifanya kazi na RAMSEY NOAH(NIGERIA) na mazingira yawe ya nigeria siyo tu kwa maslai bali movi itafana nakuaminia sana maan huwa unanikuna kwa movi zako vile vile ramsey huwa ananitifuatifua swali langu je mkekaa pamoja na kuisuka itakuwaje? nahisi ni noma from dar L.MWIGULU

Anonymous said...

mkuu itakulipa ukifanya kazi na RAMSEY NOAH(NIGERIA) na mzingira yawe ya nigeria siyo tu kwa maslai bali movi itafana

Anonymous said...

Mi nadhani wanaosema Ramsey Noah si waangaliaji wa movie za nigeria zilizo current. Kaka kati ya Van na Desmond itakuwa bomba ukicheza na Desmond kama ndugu maana mnaendana sana.

annas said...

kaka unatisha!fanya kazi na Ramsey Noah.itapendeza sana.

Anonymous said...

Desmond Elliot /Tanzania /kiingereza

«Oldest ‹Older   1 – 200 of 229   Newer› Newest»