Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 17, 2011

TUKAMALIZA ZIARA YETU BUNGENI KWA KUHUDHURIA BUNGE LA JUMATANO ASUBUHI.

Ziara yetu tukaimaliza kwa kutembelea bunge letu siku ya jumatano asubuhi na kutambulishwa bungeni na spika wa bunge kisha tukarejea Dar....... Mheshimiwa Amosi Makala na The great
Swahiba na mbunge wa mvomero
Steve Nyerere kama kawaida yake na vichekesho vyake kwa mheshimiwa

Tukipiga story na mheshimiwa Shibuda(kati kati yetu)
The great na mama Rita Mlaki tukipata picha ya pamoja,

4 comments:

Anonymous said...

Kumbe wanajua kuvaa nguo za heshima me nilijua hawana cheki walivyopendeza mjistiri madada waume wapo ila mnawafukuza kwa vivazi vyenu mnaonekana warahisi...........
Hongereni kwa kushikana mikono na Raisi........
Mlitoa ya kwenu na mna nini mmekiandaa kuhusu kuwasaidia au mnachekacheka tuu

Anonymous said...

pimeni short term benefits za kujipendekeza na cost zake . you have to be careful sana la sivyo mnapandikiza mbegu za kujimaliza

Anonymous said...

suti hio unaivaa mno kanumba, na that kind f suit hapo haikuwa mahali pake. dont you have a cotton suit in another color...?

Anonymous said...

Tafadhali naomba usinibanie kwani nataka nikupe pole kwa jinsi ulivyoanguka mle ndani mjengoni! Nadhani wengi hawakukuona kwani wangekupa pole. Naomba nikusifie kwamba kweli wewe ni msanii kwani ulivyojikaushaa! wee acha tu kwani ukajifanya umekaa na kutulia lakini tulikunyaka. Pole sana, siku nyingine uwe makini na vya watu!