Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 15, 2011

CHAKULA KI TAYARI KAENI MKAO WA KULA CHAJA MEZANI MDA WOWOTE KUANZIA SASA......NI RAMSEY NOUAH(NIGERIA) NA STEVEN KANUMBA(TANZANIA)

MTAANI MDA WOWOTE SASA..


TUONESHE UZALENDO HAPO KWA KUPENDA VYETU MTAANI MDA WOWOTE..

8 comments:

Anonymous said...

Picture ya cover ni nzuri sana kaka ila ina kasoro kidogo, ukiangalia kwa umakini hiyo picha utamwona Ramsey jinsi alivyovaa uhalisia yaani picha yenyewe inazungumza au kwa kimombo "Tells it all", kwa picha ya kwako unaonekana upo upo tu picha haizungumzi kitu yaani kama passport size picture tu, haifanani na jina la movie, next time jaribu kupata ushauri kwa wataalamu wa picha otherwise iko poa.

Anonymous said...

Tunaisubiri kaka...

Anonymous said...

Kila lakheri kaka, kama nilivyowahi kusema hapo awali nazikubali sana kazi zako.

Wakati huohuo naomba kujua je hamna taarifa za watu wanaouza CD zenu kwa bei ya buku moja kwenye vituo vya dalala? naona kama mnaibiwa na mmekubaliwa kuimbiwa kazi zenu. Mimi kama shabiki wenu sipendezewi na wizi unaofanywa mchana kweupe wa kazi za wasanii.

Nakupongeza kwa kazi zako nzuri,nakutakia kila la kheri kwenye mauzo ya filamu yako hii mpya

Anonymous said...

nakukubali kanumba lakini tunavunjwa moyo na filamu ambazo hazina mbele wala nyuma mana unatoa hela ukienda angalia unajuta kwa nini ulitoa hela kununua, tunaomba wasanii waige mfano wako

Anonymous said...

Twaisubiri kwa hamu, ila Kanumba kiswahili sahihi ni MUDA na si MDA. Naomba kuwasilisha.

Anonymous said...

Kama unamaanisha ufalme wa shetani then it should be DEVIL'S KINGDOM

Anonymous said...

kanumba watu wa uk zinapatikana wapi

Anonymous said...

Du! Kanumba upo juu brother! Nakubali sana kazi zako,pia naheshimu sana uwepo wako ktk game!! Wapo watu wanabeza sana kazi zenu kwa kigezo Cha kuwalinganisha na Picha za marekani,Nigeria au kihindi, Hawa ni wale wanaotamani pepö kabla ya kufa!
Wasiwavunje moyo. wenzetu walianza siku nyingi wakati huo sisi tulibaki ktk michezo ya kuigiza, kombolela na michezo ya kujificha!! Nyinyi ni mashuja kaka, mmeleta mapinduzi ya kweli!! mtakumbukwa daima hata kama wengine hawataki!!
Tunasubiri kwa Hamu kazi yako mpya.