Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 8, 2011

MERCY JOHNSON ANUNUA SHELA LA HARUSI YAKE NEWYORK-MAREKANI

Msanii wa filamu Nigeria Mercy Johnson anayetarajia kufunga ndoa mwezi huu,ameamua kusafiri mpaka U.S.A kwa ajili ya shoping ya harusi yake ikiwemo na gauni au shela atakayovaa siku ya harusi yake.3 comments:

Anonymous said...

Nadhani harusi karibia itakuwa called off kutokana na mambo yanyo jitokeza kati ya mme wake mtarajiwa na x wake. Inadaiwa jamaa amemdanganya Mercy na sasa mkewe kajitokeza anaitwa Lovely na ushahidi kwambayule ni mume wake na Mercy anamvunjia ndoa yake. Case ya divorce iko mahakamani so lets wait and see.

Rik Kilasi said...

Alinunua duka gani usikute kwa chingaline halafu anajifanya kasafiri mpaka USA anyways who wants to know kama kanunua bongo, naija ama USA? Hawa jamaa kujisifia wanajitahidi kila mtu eti mambo safi huko kwao wakati ukweli ni wana mgao tu kama tz!!!!!

Anonymous said...

Mercy ni mzuri sana...napenda shape yake..kama kachorwa vile..big up