Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 5, 2011

ILIVYOKUWA MOSHI NA BONGO MOVIE CLUB.....

Kulikuwa na mechi ya magoli madogo kati ya maveterani na bongo movie club

ni burudani tu...
Kulikuwa na Twanga pepeta pia katika kutoa burudani miaka 50 ya uhuru

Bongo movie tulipanda jukwaani kuonesha vipaji vingine tulivyonavyo vya mziki


Mtunza fedha wa Bongo movie club Richie Richie akitambulisha timu nzima ya Bongo movie jukwaani


Mtunza fedha msaidizi wa Bongo movie club RAY akisalimia mashabiki wake.


Mwenyekiti wa kamati ya mipango bongo movie club na aliyekuwa mmoja wa wakuu wa msafara STEVE NYERERE akisalimia mashabiki kwa staili yake ya comedy.

3 comments:

Anonymous said...

maya ni binti mzuri sana maishallah,ana umbo zuri la kibantu ambalo wengine tunatamani tungekuwa nalo...sasa mbona hajitunzi?kwa nini dada anavaa nguo mbaya ambazo hazilingani na umbo lake na kumdhalilisha...tafadhali kaka mshauri...

Anonymous said...

napenda kujua...lile shirikisho la wasanii na bongo movies ni vitu viwili tofauti?tafadhali naomba nieleweshwe

Anonymous said...

kaka kanumba mimi katika vyote leo nimeamka nikakufikiria napenda sana kazi zako zooooooteeeee. CHA MSINGI NAOMBA UFUNGE KWA MAOMBI AU USALI NOVENA KABISA KWA DINI YAKO YA KIKRISTU MUNGU AKUPE MKE MWEMA NA AMBAE ATAZIDI KUIN'GARISHA NYOTA YA KAZI ZAKO MUNGU AKUTANGULIE KATIKA KILA JAMBO AMEN.TUNAKUPENDA SANA KANUMBA.