Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 21, 2011

MSHINDI WA BIG BROTHER REVOLUTION(KEVIN) NA SHEMEJI YETU KWA DADA YETU ELIZABETH GUPTA HATIMAE NDOA YAO IMEJIBU....wapata mtoto wa kike.

Blog hii na mimi mwenyewe nawapa hongera za dhati Elizabeth Gupta na mmewe Kevin Chuwang Pam kwa kupata mtoto wao wa kike kwa jina ni Baby malaika savannah Chuwang Pam. Kevin &Elizabeth Gupta(Mr&Mrs)


Baby Malaika Savannah Chuwang Pam.


Kevin akiwa kambeba mwanae kwa furaha....congratulation my friend.......Kevin the great ahhahahh.

2 comments:

Anonymous said...

jamani baby malaika what a cutie baby yaan kazuri sana,hongereni sana liz na kelvin,mtoto kafanana na mama yake

Masala said...

Hakika Mungu ni mkuu. Nawapongeza sana Elizabeth na mumewe Kevin kwa kutuletea binti mzuri. Wengi hufurahia matunda kama haya. Namwombea Baby Malaika Savanna maisha marefu yenye heri na baraka tele.
Pia msiogope kuongeza mtoto angalau mmoja tena. Maana wasanii wengi hukwepa majukumu ya kulea.